CMT
Senior Member
- Apr 29, 2016
- 172
- 87
Clouds fm ni station ambayo siielewi, kuna mtangazaji nimemsikia anawadhihaki vijana wetu eti kama ulivaa joho na mpka leo hujapata kazi basi hilo lilikuwa dela, msilete masihara wakati vijana wetu wako mtaani na hawana ajira, huna ethics za utangazaji mpuuzi sana siyo kauli za kuongea kwenye media.
na bado upo nyumban.