huyu ni nani??

Mwamvita makamba....na mumewe wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya vodacom tanzania...Huyo ni mumewe....
 
Mh, mzazi akila zabibu mbichi meno ya watoto wake ndo yafe ganzi?

Haswa...bila baba yake asingekuwa Vodacoma(ya Rostam)....bila baba yake nduguye asingekuwa mbunge....bila baba yake huyo mzungu pengine asingemuwowa...siasa na nguvu za utawala
 
22.jpg

Mwamvita Makamba akiwa na mumewe
 
Hivi jina lake la KIDHUNGU aitwa nani???... Maana huyo Mkwe wa Ma-rope hawezi kulitamka jina hilo... Duh!
 
Haswa...bila baba yake asingekuwa Vodacoma(ya Rostam)....bila baba yake nduguye asingekuwa mbunge....bila baba yake huyo mzungu pengine asingemuwowa...siasa na nguvu za utawala

swadakta: bila baba yake mzungu asingemuwowa kwani huyumzungu alikuwa mme wa mtu (mnigeria) alivyoanza infidelity na huyo mzungu yule mama (mke wa mzungu) alivyo lalamika akawa deported- nguvu kubwa ya dora ilitumika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom