huyu ni nani??


geophysics

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
905
Likes
2
Points
35

geophysics

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
905 2 35
Ni mtoto wa mzee mmoja anaeamini katika ushirikina sana nchini. Baba ya huyu binti ni mwenyeji wa Tanga.... Baba wa mtoto huyu amewaandikia makatibu wa chama fulani kuwahimiza madiwani na wabunge walioshindwa katika viti vya ubunge na udiwani kufungua kesi mahakani,,,, Baba wa mtoto huyu ana mtoto ambae ajishinda Ubunge jimbo fulani nchini... Baba wa mtoto huyu aliwahi kuwa mkuu wa mkoa na kukomalia suala la tabia mbovu za ukahaba...... Nadhani umemjua sasa.
 

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2007
Messages
3,073
Likes
45
Points
135

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2007
3,073 45 135
si mwengine ni Slaa

nimepata ?
Angalia!
Usije mtukana Mjomba wako Makamba kwamba alisaidiwa?
Hata cheti chake tu hapo kimeandikwa Mwamvita Makamba wewe unamwingiza Dr Slaa hapo?
Blaza,Dr Slaa alisha wahi kuwa Mkuu wa Mkoa??

Hiii! Hiiii! Somo la Historia hata F hukupa wewe ulipata Z.
 

bitimkongwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
3,055
Likes
241
Points
160

bitimkongwe

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
3,055 241 160
Wacheni kumnyanyasa binti wa watu kwa kuwa tu baba yake hamumpendi.

Binti ni mchapa kazi mzuri na mwenye bidii, na huyo mzungu aliyepo hapo ndiyo mumewe kwa mujibu wa blog ya michuzi.

Heko Mwamvita tunakupa hongera na endelea na kazi yako nzuri, achana na hawa wapambe ambao hawaoni jema kwa mtu.
 

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
1,106
Likes
7
Points
135

Shomari

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
1,106 7 135
nilipoangalia hilo domo tu! nikajua lazima huyu atakuwa ni mwamvita, mtoto wa nyoka ni nyoka : Kamati Kuu + RA = Vodacom
 

Forum statistics

Threads 1,204,561
Members 457,375
Posts 28,162,959