Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Huyu bwana alisoma Forest Hill Secondary School,Morogoro kati ya 1983-1986 na akaishia hapo.Wakati huo akimiliki na kucheza timu ya mpira ikiitwa Dubai Sports na pale opposite na stand ya zamani walikuwa wanauza ice cream(cone??) on behalf of Bakhressa pale Morogoro.Sijui uhusiano wake na Bakhressa ukoje.Inadaiwa kuwa hiyo nyumba ya consul wa Comoro anaimiliki.Ikumbukuwe kuwa miaka ya mwanzo ya 2000 mabinti wawili(Mamiss) walikutwa wamekufa katika swiming pool ya jumba hilo na mpaka leo hakuna aliyeshtakiwa kwa vifo hivyo.Very controversial guy.He is very obese these days but alikuwa a talented footballer during schooldays....his ADC is on Ipyana Mwandambo
SPELLING MISTAKES:Huyu jamaa CV yake mbona ni kubwa lakini hajawahi kuandikwa magazetini? au kuwekwa kwenye any website for any reasons?
Labda kama spelling imekosewa, lakini kwa sifa mlizozitaja kuanzia kumiliki vituo mpaka kununua timu, lazima alitakiwa apatikane kwenye internet. Ukitumia google search unalipata JF forum tu, kwenye hii thread ya MKJJ!
If so, then sijajua hiyo report ina nini, ila kutopatikana kwenye media kwa mtu 'prominent' kama yeye is real alarming! Tabia za kutopigwa picha hovyo na kuficha ficha habari zako ni tabia za kigaidi.
Ndio huyo, pia anahusishwa na kuwatembelea wanaume (tena maarufu hapa mjini) kinyume na maumbile... kasaidia "chama chetu" pia
Kwa hilo fedha zake za mashetani. Labda ananunua na mikono ya albino
.
Ni Hubert, but this guy is young, bright and briliant, but licha ya kuwa ni one of few young self made millioneirs, he is very humble na down to earth. Anamiliki redio station na sijawahi kusikia hata akitajwa kwenye redio yake. Wapambe wake ndio wanaishi top life na maferari, vogue na hammer zao.
Hata Osama Bin Laden is old, bright and brilliant and down to earth. Wapambe wake ndio wanaishi top life.
Ukimwondosha Albert aka Hurbet na "uozo" uliotendeka ndani ya TPDF (Mboma era) utakuwa unatenda dhambi kubwa kwa TAIFA letu tukufu Tanzania!
Huyu kijana bright ni hatari sana kwa nchi hii!
Umillionare aupate lakini isiwe kwa njia za kutuibia kwenye kanchi ketu haka maskini wakati wenyewe wanahold uraia wa nchi mbili i.e Comoro na bongo.SPELLING MISTAKES:
merey balhabou, i think its the correct one!.
Mbona unamtetea huyu fisadi???au na wewe ni mmojawapo wa hao wanaume wanao..........kinyume na maumbile??tujuze tukuelewe mukulu.Allegations without evidence is jeuolesy...na huko ndiko unakoelekea.
mwanakijiji namsubiri alete accusation zake ndio tujadili
kwa sasa wacha jamaa awe millionare kwa nafasi yake...
Tanzania mafanikio ni juhudi yako and the sky is the limit hiyo Tanzania tunayoitaka siyo ya enzi za mchongo uchoyo uchoyo na ubinafsi..
kama hajaiba let him be rich..
Huyu bwana alisoma Forest Hill Secondary School,Morogoro kati ya 1983-1986 na akaishia hapo.Wakati huo akimiliki na kucheza timu ya mpira ikiitwa Dubai Sports na pale opposite na stand ya zamani walikuwa wanauza ice cream(cone??) on behalf of Bakhressa pale Morogoro.Sijui uhusiano wake na Bakhressa ukoje.Inadaiwa kuwa hiyo nyumba ya consul wa Comoro anaimiliki.Ikumbukuwe kuwa miaka ya mwanzo ya 2000 mabinti wawili(Mamiss) walikutwa wamekufa katika swiming pool ya jumba hilo na mpaka leo hakuna aliyeshtakiwa kwa vifo hivyo.Very controversial guy.He is very obese these days but alikuwa a talented footballer during schooldays....his ADC is on Ipyana Mwandambo
Waberoya; kuna majina tutakapoanza kuyashusha tunaweza kuitwa wahaini; Hivi hamjajiuliza Balozi wenu mpya kule Burundi ana husiana vipi na huyu jamaa?
TISS humu wamo kibao na mara nyingi wamekua wakichomeka yao kutupotosha. Washindwe walegeeee......!Halafu tukisema watu wa TISS mmejazana hapa mnabisha.. gademu!
Mbona unamtetea huyu fisadi???au na wewe ni mmojawapo wa hao wanaume wanao..........kinyume na maumbile??tujuze tukuelewe mukulu.
NJAA MBAYA.
Tanzania ikiwa na akina tumain millioni tumekwisha.
ndio sababu ku move nchi hii imekuwa taabu tupu. Naililia nchi yangu.
.Hata Osama Bin Laden is old, bright and brilliant and down to earth. Wapambe wake ndio wanaishi top life.
Ukimwondosha Albert aka Hurbet na "uozo" uliotendeka ndani ya TPDF (Mboma era) utakuwa unatenda dhambi kubwa kwa TAIFA letu tukufu Tanzania!
Huyu kijana bright ni hatari sana kwa nchi hii!