Pia ni mmiliki wa chain ya Supper Markets kwenye vituo vyote vya TIOT.
He is a powerful man with connections among the axis of powers za nchi hii, Ewura walipofunga petrol station yake pale Moro on Friday moja, the following Monday lawyers wake wakafile suit under the certificate of urgency, by Wed, Petrol Station ikafunguliwa kwa amri ya mahakama, issue iliyoleta malumbano makubwa kati ya Sitta na CJ.
Inasemekana familia yao inamiliki visima vya mafuta Arabuni, meli za kuyasafirisha mafuta hayo ni zao, clearing agents ni kampuni yao. Surface transport ni malori yao, na huko DRC, ana miliki petrol stations kadhaa.
The man is filthy rich, ila pia ana roho nzuri kama walivyo matajiri wa Moro, pesa nje nje, ikitokea misiba, usafiri wa kwenda mazikoni bure na ubani wa maana.