Je, ni nani aliyejenga jumba la mawe pale Morogoro Msamvu?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,529
Reaction score
42,832
Pale Morogoro msamvu kuna eneo la starehe panaitwa jumba la mawe ni magofu ya zamani sana inasemekana toka 1986 na mpaka Leo hapajaendelezwa ila kuna bar na wanapika kitimoto. Je nani alijenga eneo lile wakazi wa Morogoro mtusaidie kujua.
 
Weka picha
 
Back
Top Bottom