Huyu ni nani? Abdulhakim Mulla - katika biashara ya Usafirishaji wanyama...

Uongo wa kupanga na majungu yasiyo na mpango.

PSRC hawauzi shirika lolote la umma lenye faida. Walishindwa kuliendesha Mulaa kanunua linaingiza faida wanalitamani. Mengine yote ya matusi na nini ni pumba tupu za kuwatia watu chuki. Nyie ndio wanga wenyewe, huwa mnauchungu wenzenu wanapoweza mliposhindwa nyinyi na ndio maana mpaka leo hamuendelei na kwa roho kama hiyo hamtaendelea maisha, wataoendelea ni wale tu wataobadilika na kustaarabika ki ukweli.

Nambie kuna shamba lipi la umma au shirika lipi la umma lenye faida inayostahili likauzwa? Wacha Uongo.

FaizaFoxy, kwa ufupi familia ya MULLA ni zaidi ya majambazi, lakini pale Lupembe amepatikana, utanunuwaje kiwanda bila ya kulipa, na shauri alilofungua mahakama kuu mbona ameshashindwa? Kinachofanyika ni kuchelewesha hukumu kwa kuwahonga MAJAJI wa Kitanzania. JK ameunda tume ya kushughulikia matatizo ya kiwanda hiki, lakini kwa uswahiba uliopo baina yao hakuna maamuzi yoyote yaliyofikiwa huku chai ya wakulima ikiharibika kwa sababu kiwanda kimefungwa kwa zaidi ya miaka 5 sasa.

FaizaFoxy, unajuwa hawa MULLA walimpora KONOIKE vifaa vya ujenzi kwa kufungua kesi ya madai ya ajabu ajabu mahakama kuu wakati wanajenga barabara ya Kilwa, ambayo imejengwa kwa kiwango cha chini mno. Magari na mitambo yote ya Konoike wamevifungia kwenye godown yao iliyopo nyuma ya kiwanda cha Aluminium Africa.
 
Ili kunipa hamasa ya kuchukua kwa umakini mambo muhimu ya maisha, mama yangu mzazi alikuwa anapenda kuniambia 'Usione Vyaelea,Vimeundwa'. Mullah hana rekodi safi na hilo linaeleweka bayana. Sasa mbona anapewa mpaka uenyekiti wa chama? Ile vita ya Rujewa ilisababishwa na nani? Barabara ya kilwa road ambayo Magufuli alikataa kuipokea imejengwa na nani? Hivi Tanzania ya leo ukiona vyaelea ujue vimeibwa????
 
<br />
<br />
mi mwalim wa kisw,asante kwa methal mpya
 
Kwanini hajafikishwa mahakamani kuhusiana na lile sakata la wanyama "wetu" waliotoroshwa na dege la jeshi la Qatar?

He is still at large!! Kisilani (Vithlani) yule wa Radar pia!!

Mkuu hawa huwa hawafikishwi mahakamani zaidi zaidi kama ameshiriki katika uporaji huo tutamuomba aturudishie wanyama wetu yaishe. Na si lazima tujue kwamba amerudisha bali itatosha tu kuambiwa kuwa jamaa wamerudsha wanyama wetu basi. Hatuna haki ya ku verify kama wamerudishwa ila tu kauli ya serikali itatosha. Una kumbukumbu gani kwamba watu wenye asili hiyo wanafikishwa mahakamani hasa mahakama zetu za hapa nchini?
 
Usafi utoke wapi? wasifi wote hawapo kwenye siasa, wakija kama ni wasafi basi UPINZANI. CCM ni chaka la majambazi na waporaji wa nchi na watu binafsi.

Ili kunipa hamasa ya kuchukua kwa umakini mambo muhimu ya maisha, mama yangu mzazi alikuwa anapenda kuniambia 'Usione Vyaelea,Vimeundwa'. Mullah hana rekodi safi na hilo linaeleweka bayana. Sasa mbona anapewa mpaka uenyekiti wa chama? Ile vita ya Rujewa ilisababishwa na nani? Barabara ya kilwa road ambayo Magufuli alikataa kuipokea imejengwa na nani? Hivi Tanzania ya leo ukiona vyaelea ujue vimeibwa????
 
nasikia amenunua lile jengo la molel lilioko karibu na stand ndogo ya daladala arusha mjini, ni mpakistani, anaishi kwa mrefu na ofisi yao iko karibu na aim hotel..mwezi mmoja uliopita alituhumiwa kwa kutaka kumtwa risasi mfanyakazi wa hotel iliyoko molel house..
 
Uongo wa kupanga na majungu yasiyo na mpango.

PSRC hawauzi shirika lolote la umma lenye faida. Walishindwa kuliendesha Mulaa kanunua linaingiza faida wanalitamani. Mengine yote ya matusi na nini ni pumba tupu za kuwatia watu chuki. Nyie ndio wanga wenyewe, huwa mnauchungu wenzenu wanapoweza mliposhindwa nyinyi na ndio maana mpaka leo hamuendelei na kwa roho kama hiyo hamtaendelea maisha, wataoendelea ni wale tu wataobadilika na kustaarabika ki ukweli.

Nambie kuna shamba lipi la umma au shirika lipi la umma lenye faida inayostahili likauzwa? Wacha Uongo.
Kumbe unamjua eh??

Mwaka huu nguo zote zitavuliwa na kila mmoja ataona undani wa mwenzake

to be honest... the circle of evil shall fall!!!

tic tac... yeah dont stop!!!!!!!!!!!
 
jamaa Ana Ranchi King'ori alitaka ajenge kiwanja Cha ndege mawakili wakakosa parmit Hata wanyama kanyimwa kuhamishia pale kama unatoka KIA Utaona majumba ya thamani mlimani ni yake &#8626;
Nakuja na data zake hadi kampun ya uwakili inayomfanyia mambo
 
Anamafungamano na kampuni moja ya Kingereza , mara nyingi amekua akihusika kama wakala wa uwindaji wa kampuni hiyo, na bila shaka hawezi kukwepa kuwa mmoja wa watu wanaihujumu raslimali ya Tanzania Huru .
 
It clearly shows you are not conversant with the language used. Where you have highlighted in red talks about the future. Poor you.

Tatizo lako unapenda ligi, kukubali jambo ulilokuwa hulifahamu ni uungwana haya nakuwekea maandishi makubwa usome tena. Nani asieelewa hapa wewe au mimi, uwe unaona aibu wakati mwingine!!!!!!!!!!!! Facts will always stay as facts shame on ya!

Due to the size, power, asset value, and profitability of this bank, along with the good will that the bank will continue to soar in the next five to ten years,

Kinachozungumwa hapo kuhusu size, power, asset value na profitability ya NMB ndiyo zilikuwa strengths zake kabla hata haijabinafsishwa. Kilichowekwa as a future ilikuwa ni strength nyingine ya ziada.
 
mulla wanauhusiano wa karibu sana na RA maana nimarafiki na wezi wa uchumi wetu kwa kumweka mfukoni mkuu wetu wa nchi baada ya kumfadhiri kwenye changuzi za kumuweka madarakani.
 
Abdulhakim Mulla ni waburushi wa mbeya na wanaishi iringa njini.Gangilonga.
Huyu jamaa ana umri wa miaka 48 ni mtoto wa Pirmohamed Mulla
Pirmohamed mulla na Nawab mulla,mwenyekiti wa ccm mbeya ni binamu.
Na ni ndungu wa rostam Azizi
Hawa jamaa walianza na wizi wa pembe za faru na tembo wakijifanya ni wakulima.
Wakianzisha biashara ya malori,kisha wakanunu vitalu vya kuwindia.
Kutoka hapo wakaingia siasa.(ili wawe jirani naserikali)
Wakaanza kutengeneza bara bara na konoike,na wanatengeneza mpaka leo.

Piri mohamed amewahi kufumaniwa nyumba ya wageni na mtoo wa miaka 12 pale iringa
Kesi yake ikaishia hewani.
Miaka kama mitano iliyo pita gari la mwenyekiti wa ccm mbeya Nawab mulla lilikamatwa
Njiani iringa likielekea dsm na pembe za tembo,kesi ipotelea hewani.

Pia serikali walisha ambiwa na cia kwamba hawa jamaa wanauhusiano na osama bin ladin
 
nilikuwa napiata tu lakini hapo kwenye red paninigusa. Maana wengi tumeaminishwa kuwa aliyenacho ...'kajaariwa na mnyaz'Mungu'.

Back
Top Bottom