Huyu ni nani? Abdulhakim Mulla - katika biashara ya Usafirishaji wanyama...

huyu jamaa ni mbulushi wa Rujewa na mali zake ni za kifamilia. zaidi zilitokana na pembe za tembo zamani miaka kati ya 1970-1983 ana magorofa pale uhindini mbeya alinunua kampuni ya uwindaji tanzania pamoja na nyara zote serikali zilizokuwepo rejea ubinafsishaji wa awali zaidi hii ilikuwa 1996 bila kukusea alipewa majumba yote kampuni
baada kupata dili hii kazi yake kubwa ni wanyama anasadikiwa ana mazoo uarabuni hata ulaya :drum:

:frown:
:teeth:
:drum: :whoo: :gossip: :mvutaji:
 
Kuna habari mbalimbali kuhusu huyu bwana hususan hata kuhusiana na wanyama waliotoroshwa na biashara ya wanyama kwa ujumla. Lakini sidhani kama ni miongoni mwa watu waliofikishwa mahakamani... Jina lake liliwahi kutajwa na CNN mwaka 2001 kuhusiana na uuzaji wa Tanzanite SOMA TRANSCRIPT HERE

Lakini pia anahusiana karibu na viongozi wengi tu wa serikali na wenye madaraka na ndani ya chama tawala. What do we know about him and his relations to major gem and wildlife resources...

Vipi bado hujaacha ile campaign yenu mliyoanza kwa jina la waraka...

Campaign mission "operation chafua (loud) muslims businessman.women and politician" in Tanzania?

Campign mission " keep silence to badirifu christian businessman.women and politician" in Tanzania? because people will not here will forget

Ulianza kuwa bitter na mitambo ya dowans (muislam) walipowauzia Symbion (christians) silence kama maji ya mtungini

Michezo yenu hiyo tunaijua ..acheni wivu na roho mbaya enzi za roho mbaya ya nyerere (sorry st.) imekwisha ok..

Sasa hivi tunahangaika kuwafundisha kwamba hakuna tena upendeleo utakaodumu ..like MoU ok..soon mtarudisha pesa za umma
 
you have said it all .. mkuu..... ! ....
 
Tunahoji si kwasababu ya imani yake na wala imani yake sio tatizo kwetu,mbona kima Mramba,Yona na Mgonja wako mahakamani......kwako wewe wangekuwa ni muslims..ungesemaje????
 
TOPICAL na NJIWA

Najiuliza kama nini ni watu ambao mko makini na issues ama mka makini kwa kuwa mna manufaa binafsi. Siamini kama wapo wenye dini mnazosema ambao wananufaika na upuuzi wa wanyama kuibiwa au ndowaniz kuwatapeli watanzania? Niambie kama wakritu/islam wanapopewa mgawo wa umeme unatenga dini? Niambiee kama umasikini wa kipato na tofauti zake zinaoneshwa vijijini zimejigawa kidini! ACHENI HIZO NYIE

Mkuu nahoji logic of thinking ya mwanakijiji

Hajawahi kuwa-blame hao wakristo uliowataja kuwa ni mafisadi..sana sana ali-personalize issue around RA why? utajaza

Hajawahi kufanya character and personality assisanation zaidi ya waislamu wafanyabiashara na wanasiasa wali-excell why? utajaza

Ki-ufupi logic of thinking yake ni ya mfumo zaidi ya ki-waraka

Sijawahi kuona akisifia chama zaidi ya chadema ...why kuna Padre pale

Hana lolote zaidi ya majungu kwa waislamu..please tell him we know all this nonsense hypocratic movement...

Ufisadi upiganiwe in a holistic way siyo on "selective bases of character assisn" based on religion

hivi symbion vipi mbona kimya mwenye kanzu kauza kwa mwenye suti ....tuli kama maji..acheni hizo nyie
 
Huu ndio uongo wa waziwazi na Mungu kakusuta, siku uliyobandika huu uongo wako, siku ya pili tukaona Magufuli na Balozi wa Japan wakitangaza kuwa barabara ya Kilwa itarudiwa kujengwa na kampuni iliyoijenga si hii uliyoitaja wewe. Hivi uongo unakusaidia nini?

Wengi wa wana JF wameshauona huu uongo wako na humu JF imebandikwa hiyo habari na jina lipo sikuwekei mpaka uombe msamaha uongo wako na useme mwenyewe kuwa ulifanya makosa.

Faiza kula tano...mijutu mingi majungu kila kukicha..
 
Hebu tumtendee haki huyu Bwana.Sasa RA amewaachia nchi,sasa kwa nini bado anatajwa?Kama kweli huyo Mulla Jambazi,kwa nini hatumpeleki mahakamani.Acheni majungu yenu na ubaguzi.Mwenyezi Mungu haradhi,semeni ukweli.Loh!!!!!!
 
Iran na Pakistan hazipakani.

a8d99114c67ceed610fb8c293105d4bc.jpg

usimkosoe mwenzio pasi kuwa na ushahidi
 
Back
Top Bottom