William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Mzee Sam,
Heshima yako mkuu, nimekusikia inatia uchungu kwetu wananchi kuendelea kuchezewa na ukweli tunauouna, tena mimi ninasikia uchungu zaidi kwa sababu ukiongea na viongozi wake JK, in private wanacheka kila kitu anachokifanya kuwa ni mazingombwe, sasa imefikia hata viongozi wa nje ya nchi yetu wanashangaaa kwamba what is going on!,
Kiongozi mmoja wa nje alikuwa anauliza hivi majuzi in private, hivi hawa viongozi wenu wanachaguliwa kwa vigezo gani? Huyu ni kiongozi toka London, unajua nilikuwa hapo majuzi, sasa alikuwa anauliza balozi hapa mmeleta wakili wa kujitegemea, na sasa nasikia katibu mkuu mpya wa foreign amewahi kufanya kazi ubalozi wa Zimababwe tu, sasa haya mambo ya diplomasia atayaweza vipi? Ilikuwa aibu maana hata mimi sikujua kuwa huyo katibu hizo ndizo CV zake na bado siamini!
Viongozi karibu wote walioko karibu na Muungwana JK, huishia kucheka kila kitu anachokifanya na kusema, je hiyo inasema nini kuhusu maendeleo ya nchi yetu? Hiii ya Richmond ndio aibu hata kusema ukiwauliza wote hucheka sana kuwa ati ni kichekesho cha mwaka!
Sasa Mzee Wangu JK, madaraka uliyataka mwenyewe, umeyapigania weeeeee kwa udi na uvumba, sasa sisi wananchi tufanye nini? Umetaka kura ukatuambia wengine wote hawafai, unayefaaa ni wewe, sawa mwanangu tukakupa na kukupigia kampeni nzito, sasa sio siri mambo yamekushinda mwanangu, siku njema huonekana asubuhi, sasa miezi 11 ya kwanza wananchi hatuna hamu, tena sasa hutaki misifa tena, sasa kuna viongozi ambao wameshaanza kumuomba Mzee JM, asiondoke maana wanasema akitoka tu basi huu usanii serikali sasa utahamia kwenye CCM pia, na ndio basi tena, NO mimi ninasema huyu mzee ni lazima aondoke ili huyu Rich-Monduli Lowassa, anayekilalia macho hicho cheo anyimwe na apewe mtu mwenye uwezo, ambaye ataweza kuikemea serikali na labda hata kubadili muelekeo wa sera za serikali. In private wanasema inaonekana the goal ilikuwa kumpa ukatibu wa CCM a standing comedian of Makamba's calliber, sasa why not Meya wa zamani wa Dodoma, Mzee Mavunde ambaye wanasema ni more of a true comedian than Makamba?
Ninaweza kwenda on and on, maneno ya viongzi wa karibu yako Muuungwana, fanya mabadiliko ndugu yangu, hao wenzako wakaribu wanakucheka hao, rekebisha nji, rudisha umeme kwanza tuonane usiku, sisi wazaramo wa mjini gazeti la kesho husoma usiku wa leo, sasa hatuwezi tena mwanangu tuleteee umeme!