Miaka ya kampenijakaya ni mtu wa vitendo ,mjasiri ,asiyesita, mwenye kujaribu mbinu mpya za kuinua maisha yetu......miaka miwili baadae ninamtafsiri JK kama mtu asie weza kuthubutu, asie na wazo lake,mwenye aibu,asie na dhamira ya kweli kuinua maisha yetu, mwenye tabia ya kujikana,mtu anaeweza kugeuza maneno katika muda mfupi.
Jakaya rafiki yangu umesahau hamasa ya watu wakati ule wakampeni ukiwalisha tumaini la maisha yao. kuwa kwa Tanzania yenye Neema maisha bora yanawezekana.
Umeamua kumfukuza rafikio , mwenzio , na kigogo wa serikali kwa awamu iliopita na yako mh. Daud Balali, asante.
ila sikupongezi, kwasababu ulikua unamuogopa na dalili zote zilionyesha kuwa ulikua tayari kumlinda na kumshawishi apambane na matatizo yake......... haiingii akilini taarifa wazipate kina DR SLAA kikwete na system yake yote wasiwe nazo.... hii haikubaliki, bila pressure ya wapinzani na wahisani leo tungeongea lugha nyingine. ni juu yako sasa kumwajibisha WAZAIRI WA nishati na madini aka mzee wa Buzwagi, pamoja na washauri wake wote. kama hawawezi kuachia ngazi wafukuze ila mahakamni usisahau kuwafikisha ili wakafungwe.
Tafadhali nakusiii usiwaache wale walio sign IPTL NA Wale wahalifu wote....
kwaheri JK