suala sio kuongea kila wakati ila mambo ya msingi ni muhimu kutoa msimamooo ueleweke..kiongozi kuongea ongea hakuna maana kuwa ni mtendaji mzuri. Naweza kuongea mengi lakini uteelezaji 0, anaweza akawa kimya kabisa lakini uongozi wake na utendaji wake ukawa unaonekana wazi kabisa. Nani anaongea kama makamba hapa tz, utendaji wake je?
Ni lazima kuangalia jinsi wanavyodeliver bila kujali wanayoongea.
Juzi kikao na wizara ya nishati wametoa makubaliano mojawapo ikiwa sheria ya manunuzi isiwe kikwazo cha uwekezaji katika maeneo muhimu....
Media wameripoti kwa kuunganisha na suala la dowans kawa mbogo salva kasahihisheeee.....anaogopa nini??? Tumempa heshima kubwa bado muogaaaaaaaaaaaa...
Yeye mambo yasiyo na tija anapenda kuyapigia gumzo kubwaaaaaaaaaaaaaaa....tunazidi kupata ugeni mkubwaaa eti twaheshimikaaa..hotuba ya mwezi hiyoooo...
Achambue mambo ya msingi na aongee sio press release na conference za akina salva..
We should see the president available talking on key issues like energy crisis....