Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

Kikwete had a point mpaka alipoanza kuongelea ratio ya lectures to students. Ratio hiyo ikiwa kubwa sana inaweza kuathiri quality ya taaluma na wakufunzi.

All in all ameanzisha mjadala mzuri, na tumpe hongera zake.

kwani Hiyo Hotuba kaandika yeye ama ameandikiwa?
 
Yebo Yebo,
Sayansi kweli si mali kwa Tz sasa- labda kama unapenda kuwa mwalimu! Na ualimu haulipi kwa sasa!
Kuna jirani yangu ana mtoto alimaliza intern udaktari 6 years in traning- MUCHS ndo akapta kazi 1st appointment akawa analipwa kama 450,000. sasa pia hapo jirani kuna mtoto mwingine alichukua BCOM 3 years akpata kazi KPMG - akaanza na 900,000. By the time yule dactari anaanza kazi- yaule wa KPMG alikuwa amenunua gari na anamelizia kujenga! Watoto wadogo pale jirani wakwa waauliza- hivi yule dactari kwa nini nae hajengi nyumba na kununua gari? Au alifeli shule?
Kwa sasa kwa kweli mazingira yaliyopo hayaencourage watu kependa masomo ya sayansi!
Comments za JK saa nyingine maneno tu- and wishful thinking! Populist thinking!
 
Yeboyebo

Nakuunga mkono. Huyu bwana anataka kuwa kila mahali na hapo ndiyo mapungufu mengi yanaonekana. Inabidi kuprioritise mambo na kuhakikisha unayafanya hasa ukizingatia kuwa watendaji wake wengi wanachofuatilia ni deal tu
 
Na sasa huitaji kusoma hata hiyo Bcom, unachotakiwa ni kujiunga na mtandao tu vuuuupu! gari, nyumba na maisha bora. Yanamwisho haya hata kama yatachelewa kuja.
 
Mzalendo halisi umenikuna na maneno yako!! "vipi daktari..alifeli mbona hana baloon"/ Huuuu....maneno yana ujumbe mzito mno.....lets talk about it...sayansi bongo ni michosho..namuomba Mungu amfunulie JK huu ukweli..auelewe (kama hajajua bado)..sasa huyo ni Doctor..hao akina archtecturers, civil engineers, mechanical...ndo hoi kabisa......ingawa siku hizi madini na Tanroads inawasaidia kidogo....Kama una mdogo wako mwambie ajibane na Kiswahili na History...period.
 
Haahaa au tena kama umemaliza hiyo form six na una hamu sana ya kuwa Engineer wakasome Microsoft MCSE au Cisco CCNA, Oracle n.k
 
Mikuki,
Kuna mjomba wangu pia alifaulu vizuri sana (alipata A 7 O level)- walimu wakamshauri achukue sayansi- wakaja kwangu na dada kuniomba ushauri- mimi nikamwambie achukue HGE kama anataka kuanza kuwazaidia wazazi wake mapema! Mtoto ndo 1st born na wazazi wana uwezi kidogo na wana watoto wengine.
 
Hivi hao lecturers wa kufundisha vivyo vyuo vyote wanatoka wapi?

Serikali imeshindwa kupanua vyuo sasa inawapa watu binafsi. Kama education itakuwa commercialised then I am sure it will comprimise with quality. Sasa kama hata technical colleges zinakuwa vyuo vikuu sasa nani atakuwa technician. JK alitakiwa pia atoe mifano ya how many graduates kwenye chuo kama Harvard wanaajiriwa baada ya kugraduate kulinganisha na hao anaotaka kuwa-synthesize bila mpango ili 2015 aseme amekuza elimu bongo.

Kama anataka kuwasaidia wananchi ajitahidi kuinua standards na qualities za Vocational colleges na technical colleges. Huko ndiko unapoweza kafanya mass production kwa vile wanapewa knowledge ya kujitegemea. Graduates siyo watu wa kujiajiri wanafundishwa kwa ajili ya kuajiriwa. Ndiyo sababu baaada ys degree utakuta vijana wanabanana miaka wakisubiri ajira za serikari wakati Vocational ana kageregi kake chini ya mwembe.
 
Mr. Sifuri,
Nakupa 5! Kama emphasis ni ajira- the vocational training and education is emphasis! Ukienda China emphasis ya ufundi ni juu sana- yaani kuna eneo kubwa kama Feri hadi Kimara ni vijana wnajifunza tu ufundi- baada ya darsa la saba. Ndo wanatengeneza hizi pc chips tunaziona huku! Hapa Tz Saa ingine mtoto unamwangalia unaona hata form II hamalizi- yet unasisitiza elimu ya juu- je ni kwa wangapi?
Tatizo la very high education- inaleta brain drain- Tanzania tunaproduce zadi madaktari 200 kwa mwaka yet over 40% ya Waganga wakuu wa Wilaya sii madaktari! Wakishasoma vizuri ndo wanaishia Botswana, Namibia, ZA. Ndo maana ile emphasis ya waganga wasidiszi- ilikuwa nzuri.
On the other hand- tuwe na critical mass in higher learning then we become net exporters of human resources in Europe, USA etc. Then we get foreign currency. Hili sii baya likiangaliwa vizuri!
 
Mzalendo umeongea

Labda tumpe taarifa Rais wetu kuwa asilimia zaidi ya 80% ya engineers, waganga, na wengineo wote waliosoma sayansi Tanzania wamekimbia fani sasa wanasoma MBA vyuo mbali mbali hili wapate angalau pesa maisha ya sayansi yamekuwa magumu mno.

Pili Kwa taarifa kwa sasa hivi walimu wa sayansi hata wa kufundisha vyuo vyetu watapatikana wapi? Nijuavyo kwa sasa ni vigumu vijana kuwaweka wafundishe vyuo vyetu.
 
Mr. Sifuri,
Nakupa 5! Kama emphasis ni ajira- the vocational training and education is emphasis! Ukienda China emphasis ya ufundi ni juu sana- yaani kuna eneo kubwa kama Feri hadi Kimara ni vijana wnajifunza tu ufundi- baada ya darsa la saba. Ndo wanatengeneza hizi pc chips tunaziona huku! Hapa Tz Saa ingine mtoto unamwangalia unaona hata form II hamalizi- yet unasisitiza elimu ya juu- je ni kwa wangapi?
Tatizo la very high education- inaleta brain drain- Tanzania tunaproduce zadi madaktari 200 kwa mwaka yet over 40% ya Waganga wakuu wa Wilaya sii madaktari! Wakishasoma vizuri ndo wanaishia Botswana, Namibia, ZA. Ndo maana ile emphasis ya waganga wasidiszi- ilikuwa nzuri.
On the other hand- tuwe na critical mass in higher learning then we become net exporters of human resources in Europe, USA etc. Then we get foreign currency. Hili sii baya likiangaliwa vizuri!

You are right hapo mwisho "kama linikiangaliwa vizuri"...lakini tujiulize leo hii pale Mzumbe kuna walimu wangapi wana Degree Feki...then tujiulize kama kwenye chuo kama Mzumbe hawa wenye degree feki wameingia humu kwenye vyuo vingine vidogo, vyuo binafsi, mashuleni n.k wapo walimu wangapi wasio na sifa ya kuwa walimu. Then, tujaribu kuangalia kama tutaweza kweli kutoa wahitimu waliohitimu kweli.

Hiyo ni kabla hata ya kutegemea kupewa heshima na nchi zingine duniani...wahitimu wa Tz waliopo nje ya nchi kwa sasa ni wa aina 2; Wale waliosoma Tz elimu ya awali na kusoma elimu ya juu nje au wale waliosoma Tz enzi hizo elimu yetu ina hadhi ya kimataifa.

Ukiondoa makundi hayo 2; miaka ya karibuni elimu yetu imeandamwa sana na matatizo ya kuzuilika yaliyopelekea "morale" ya walimu na wanafunzi kushuka, na walimu wengine (wale wa aina ya 2 niliyowataja) kukimbilia nje ya nchi.

Hao wahitimu wa kuwapeleka huko ngambo sijui watakuwa wamefundishwa na nani katika vyuo vipi.

Mimi naona nchi inahitaji hao mafundi wa kati kama alivyogusia Mr Zero; hawa ndio ambao wanajenga sera ya kujitegemea.

Mafundi Bomba, Seremala, Wajenzi, Wahunzi, Wasanii, Mekanika n.k kundi hili kwa uhakika Tz ni kama halipo wengi ni wababaishaji wa kutupwa.

kakindomaster

take 5 hapo kwenye suala la MBA....yaani naona kama hilo linaweza kuwa na mjadala wake mwingine mrefu zaidi.
 
Yote tisa; kumi ni hili suala la kuzalisha wanafunzi wanaofundishwa na walimu wa kasi mpya! hao wanafunzi baadae watakwenda sekondari; watekwenda hivyohivyon hadi vyuo vikuu; viko vingi kwa hiyo litakuwa ni suala la kupata wanafunzi bila kuangalia pass mark zake. Tutaishia kuwa na wasomi half-baked kiasi kwamba kilio kitageuka kuwa sio tena degree fake, ila ni elimu fake. Huko tulikosomea sisi wa zamani elimu ya primary hadi sekondari ilikuwa makini; na kuingia chuo kikuu ilibidi kweli mtu awe amefaulu; na bado tuko hivi tulivyo; sasa itakuwaje wanafunzi wanaofundishwa na waalimu waliosomea ualimu miezi mitatu? Hili linanisumbua akili. Inabidi JK aangalie namna ya kuboresha na au kuanzisha vyuo vya ualimu ili kwenda sambamba na ongezeko la shule za msingi na sekondari, vinginevyo tunatangeneza Taifa la wasomi feki..
Imagine wataalam waliopo sasa wamesoma shule na vyuo makini, tena kwa merit, sio mchoromchoro, na bado Raisi analilia wafadhili kuwa nchi yetu haina wataalam; huko baadae kilio chake sijui kitakuwaje...
 
Mwendapole,
Nakuambia tunakoelekea- yaani Mungu tu asaidie. Sijui kama nchi tutajivunia nini? Kwa sasa tunajipiga kifua kuwa tumeweza kuattract wafadhilili kwa wingi! Ndo national pride! We are proud of HAND OUTS!
Juzi tu EL alisema tusiseme tena "Poleni kwa Kazi" -iwe "Hongera kwa kazi!".
Yaani hata kama no productivity, hujafanya kazi, wewe ni mwizi na mbadhirifu kama BoT scandal- sasa Tunasema- HONGERA! yaani TUPONGEZANE!
Je Uko hapo?
 
Our schools are so advanced, prefects are heads
KARL LYIMO

What they call education development in Tanzania is already a farce — and threatens to become a tragedy unless things change drastically on the ground. How, when and by whom the changes will be initiated is difficult to tell.

THIS IS largely because the authorities who should be doing this are yet to see the looming problem. Or, if they see it, they are unwilling, unable or unready to acknowledge it.

But, the writing is already on the wall: the time to tackle the problem is not tomorrow, not today but “yesterday!”

Examples of the education-sector-gone-haywire are legion. Graphic images of the highly unsatisfactory state of the sector — courtesy of the mass media — are staple fare in the nation’s day-to-day life.

DILAPIDATED SCHOOL buildings, broken-down furniture — or none — as well as inadequate or non-existent laboratory and library facilities are the rule. Classes held under the shade of the nearest tree, or in roofless, door-less and window-less structures, are the norm.

A DIRE shortage of text books, reference books, laboratory equipment, teaching/learning aids and similar facilities is an everyday story. And so, too, are “classrooms” which should ideally hold 40 schoolchildren, but are bursting at the seams, holding anything up to 100 pupils.

This is not to mention a universal shortage of teachers, fully qualified or even half-baked.

For example, Mkugilo Secondary School in Mkuranga District of the Coast Region to the south of Dar es Salaam, has 130 students in all. The school is a government establishment that sprouted recently in response to a clarion call by the government for every ward in the country to have a secondary school of its own. In itself, this is a noble decision; but it is not so noble a development.

MKUGILO HAS only one teacher, who doubles as the school head and class master for the subjects being “taught” at the place. How, pray, does he manage to administer the establishment and, at the same time, conduct classes for the 130 charges under him? In this, it is impossible for mortal man to give sterling performance.

The farce comes to the fore when, for some reason or another, the headmaster is away from his workplace. That is when the school head prefect comes out from behind his desk — assuming he has one — and moves to the head of the class, donning his two other caps.

THESE MAKE him a de facto acting school head and “teacher of all trades” to his fellow students — at none of which he is a master! This is the kind of thing that seemingly can only happen in Tanzania.

WERE MKUGILO a privately-owned school, the government would have closed it with little ado, if any. In the event, it is not — and it will not be closed down. Not by the present government, anyway.

Mkugilo is not an isolated case, there are thousands such across the land.

Admittedly, Rome was not built in a day; nor can education. Nonetheless, Rome was at least laid on a sound foundation, and took off on a sound footing. Unfortunately, both are lacking in Tanzania’s extant education system.

THE PITY is that the authorities will not acknowledge this fundamental flaw. You can never have sound education if the relevant systems are flawed from day one. And the upshot is bound to be tragic for the nation. This, the government must realise, admit and rectify.

Karl Lyimo is a freelance journalist based in Dar. E-mail: lyimokarl@hotmail.com
 
Mrisho Jakaya Kikwete and Edward Ngoyai Lowassa were not even among the 1000 most qualified people to lead the country. It is an inescapable fact that all doubt has been removed that the Kikwete Presidency is a tragically failed administration.

Some people may wonder about the [political] feelings that I've expressed, and I won't get into all the particulars. I think it is now overwhelmingly evident, if you're honest about it, even if you're a CCM cadre, if you're honest about it, this is a failed administration. And no honest CCM would say that Kikwete and Lowassa were among the 1000 most qualified people to lead Tanzania. That's not based on political leaning. If opposition disagrees with CCM, they can still respect that person's competence and the integrity of their point of view. This administration can be rightly criticized by a fair-minded person smack in the middle of the political spectrum on a hundred different counts, and by now they're all self-evident.
 
sasa kilichokufanya umuone ni intellectual ni kipi hasa katika hili? hebu nisaidie! kwa lugha ya mwafrika wa kike "lete evidence"
 
Wapinzani wataka serikali ikodi walimu kutoka nje

2007-07-10 09:42:28
Na Danstan Bahai, Dodoma

Serikali imeshauriwa kukodisha walimu kutoka nje ya nchi ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wakati ikiendelea kufanya utaratibu wa kukabiliana na tatizo hilo.

Ushauri huo ulitolewa jana Bungeni na Kambi ya Upinzani wakati ikiwasilisha mapendekezo yake kuhusu makadirio ya matumizi ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka 2007/08.

Akiwasilisha mapendekezo hayo, Msemaji Mkuu wa kambi hiyo, Bw. Saidi Amour Arfi, alisema serikali imekuwa ikijitahidi katika ujenzi wa shule sambamba na uandikishaji wa wanafunzi wengi, lakini shule hizo hazina walimu.

Alisema ili kuwa na walimu wa kutosha na wenye sifa ya kukabiliana na ongezeko hilo la wanafunzi katika ngazi zote za walimu hapa nchini, ni vema serikali ikafanya utaratibu wa kukodisha walimu kutoka nje ya nchi kwa mkataba wa muda maalum.

Msemaji huyo alisema hatua hiyo itatoa mwanya kwa serikali kufundisha walimu wake kwa utaratibu iliokuwa ikiutumia zamani.

``Kuna tatizo gani kuwa na utaratibu wa walimu toka nchi jirani, mbona majaji tuliwachukua kutoka Nigeria kwa mkataba maalum,`` alihoji msemaji huyo.

Bw. Arfi alisema kiini cha elimu bora sio darasa jipya, bali ni mwalimu aliyeelimishwa kikamilifu, mwenye nyenzo za kufundishia na mwenye mazingira mazuri, salama ya kumwezesha kufanya kazi yake.

Alisema bila walimu kupewa kipaumbele na kuwa na walimu makini wanaoangalia vema mazingira ya ufundishaji kwa wanafunzi, mabadiliko yote katika sekta ya elimu ni kazi bure kwani walimu ndiyo roho ya elimu.

Aidha alisema shule nyingi za sekondari zinazojengwa kila kata zinafikia tu kidato cha nne hivyo ni vema ujenzi huo ukawa na mikakati kabambe ya kujenga pia kidato cha tano.

Alisema kulingana na wingi wa shule zinazoishia kidato cha tano na sita, hazitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wote wanaofaulu.

Kutokana na ongezeko la michango shuleni, msemaji huyo aliishauri serikali kutoa mwongozo uliowazi nchi nzima ili wazazi wajue wanatakiwa kuchangia nini.

Alisema kwa sasa serikali inazungumzia ada ya sh. 20,000 kwa shule za kutwa, lakini hali halisi ni tofauti na maelekezo hayo na badala yake wazazi wanachangishwa fedha nyingi na wengi wanashindwa.

Bw. Arfi alisema serikali imekuwa ikiweka mkazo katika kuangalia wingi wa wanaokwenda shule za msingi na sekondari bila kuzingatia ubora wa elimu.

Kambi hiyo iliipongeza serikali katika kuweka mkazo wa elimu ya msingi na sekondari.

``Na hapa kambi ya upinzani inapenda kusisitiza; sisi kambi ya upinzani hatupingi elimu kuwa kipaumbele muhimu kama baadhi ya watu wanavyotaka kupotosha,`` alisema.

SOURCE: Nipashe

Sasa hao walimu wa kukodi wanatafundisha kutumia lugha gani? Na kasi ya vyuo vikuu naona inabidi pia tukodi lecturers!!!
 
Haya, hizi habari ni za kukatisha tamaa, hazipendezi kuzisoma lakini ndo ukweli wenyewe.

Life goes on
 
Ni kweli kuna tatizo la maslahi kwa watu waliosomea fani za sayansi lakini hilo haliondowi ukweli uliowazi aliousema Rais kwamba vijana wetu wanakimbia masomo ya sayansi.

Tunaweza kuipigia kelele serikali iboreshe maslahi kama ilivyofanya kwa madaktari lakini kuwaambia vijana waachane na sayansi kwakuwa hawawezi kuwa na 'Baloon' ni uoni wa karibu mno. Maisha na elimu ni zaidi ya hapo.

Ulizeni walimu shule za sekondari (O level) wakuambieni jinsi vijana wasivyopenda mfano Physics kisha mpime athari zake huko baadaye.

Kama ilivyo ukweli kwamba serikali haijawathamini sana wasomi wa sayansi, ni ukweli pia kwamba kinachotukimbiza kusoma fani hizo ni uvivu wa kusoma vitu vigumu. Kwa mtazamo wangu hili ni moja ya matatizo yetu makubwa - Uvivu wa kufanyia kazi akili zetu.

Tunataka kusoma vitu vyepesi vyepesi tu. Achilia mbali sayansi chukuwa somo la kiswahili waambie vijana wa sekondari wafanye uchambuzi wa vitabu vya Shaban Robert,wachache sana ndio watamudu; Aibu!

Tatizo linaweza kuwa kkubwa kuliko tunavyodhani ndio maana Wa Tz wanapenda kusoma magazeti ya udaku na michezo! AU nenda kwenye blogu maarufu za Wa Tz uone ni mada zipi watu wanachangia sana!

Serikali ina mengi ambayo haitendi sawa lakini yapo mengine yanatokana na sisi wenyewe na hatuna budi kukiri. Tubadilike!
 
Mhe Nungunungu

Nimefurahishwa na mtazamo wako tofauti. Ni kweli jitihada zinatakiwa kufanywa ili wanafunzi wavutiwe na masomo ya Sayansi lakini hebu fikiria formula ya kumshawishi mwanafunzi asome somo ambalo anajua halina maslahi kwake na familia yake huko mbeleni. Zamani kulikuwa na formula ya kuwa mzalendo katika mambo kama kulipa ada ua upe, kulipa kodi...siasa za ujamaa na kujitegemea...unakumba fanya kazi kwa bidii tujenge taifa letu wenyewe...Leo hii na mijizi yote ilivyo kaa mkao wa kula hiyo keki ya Taifa ni mwanafunzi gani atakusikiliza tena.

Kwa kifupi; hizi ni zama za kibepari (au .com generation); Uwepo wa Soko unatawala kila mahitaji dunia nzima. Iwapo soko linasema ukisoma Sayansi maisha ni mazuri basi watu watasoma Sayansi; tena bila hata ushawishi wowote.

Mwisho: Kabla hujasema Watanzania ni wavivu kusoma vitu vigumu; hebu fikiria ni Shule ngapi leo zina Maabara nzuri za Biology, Chemistry na Physics...lakini bado wanafunzi wapo japo wachache (21% kwa mujibu wa JK) wanafaulu hayo masomo.
 
Back
Top Bottom