Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

Mkuu, hata kama ungekuwa wewe ungeianzaje hotuba? Embu tupe demo ungetuambia nini!.

kuna points za maana sana aliziongelea jana hasa lile la mafuta. Watu washaanza kugombania mafuta wakati watafiti kwa zaidi ya miaka 56 hawajaona dalili.
Wakati mwingine tupunguze chuki binafsi.
Wananchi unaowangoza wanapoamua kuangalia mpira wa ulaya badala ya kusikiliza hotuba ya kiongozi wao wa nchi hapo ujue kuna walakini wa uongozi na sio chuki binafsi kama unavyodhani. Kiongozi anatakiwa azungumzie mambo yanayowagusa maisha ya wananchi kwa mfano; jinsi serikali inavyosaidia kupambana na ugumu wa maisha badala ya kusifu umahili wa mbwa wapolisi wakati wa sherehe za muungano!!
 
kuna points za maana sana aliziongelea jana hasa lile la mafuta. Watu washaanza kugombania mafuta wakati watafiti kwa zaidi ya miaka 56 hawajaona dalili. Wakati mwingine tupunguze chuki binafsi.

Hata mimi nilipenda sana huu ufafanuzi alioutoa kuhusu mafuta.

Tusipende kuridhishwa na maelezo marahisi, wakati shina la tatizo halijatatuliwa. Swala ni kwamba katika makubaliano ya muungano, swala la mafuta limo? Mgawanyiko wake ukoje! Kama miaka 56 mafuta yameanzwa kutafutwa na kulikuwa hamna makelele kwanini makele yaanze leo? Watu hawawezi kukurupuka tu na kuanza kulumbana kuhusu mafuta tena ambayo hayajapatikana! Hiki ni kiashiria kikubwa juu ya mwelekeo wa muungano wetu, na kama raisi anapaswa kutizama hilo na sio kuzodoa wanaopigia kelele mafuta.
 
Jana nilisikia wimbo wa taifa ukiimba, nikakurupuka kutoka nje nilipokuwa naoga.......

Kufika tu nakuta Mkubwa anaanza kutoa hotuba zake kama kawaida....

NDUGU WANANCHI HIVI PUNDE TUMETOKA KUSHUHUDIA SHEREHE ZA MUUNGANO, KWAKWELI ZILIFANA SANA NA NAMPONGEZA PINDA KWA MAANDALIZI MAZURI, TOFAUTI NA MIAKA MINGINE TULIKUWA NA MAONYESHO YA MBWA, WALIKUWEPO WATU WALIOZALIWA MIAKA 45 ILIYOPITA WAKATI WA UHURU....... MARA SWEETHEART AKAKURUPUKA HUKO ULIKOKUWA "wewe twende tukalale unasikiliza upuuzi gani? Mwanaume badala ya kuongea vitu vya maana kama dhana nzima ya Muungano anasifia sherehe.........." TV IKAZIMWA........ SIKUJUA KILICHOENDELEA MWENYE POINTI/PUMBA ZAIDI anaweza kutuambia nini kiliongelewa????

Sore, lakini mkeo alikuwa na zaidi ya hiyo hotuba kwani kila kitu kina preamble. She was horny! si vingine. Hotuba ilikuwa ya muda mrefu tu na kuna vitu vingi viliongelewa humo na vya maana tu. msimhukumu JK!!
 
Wewe mkeo akiwa HORNY huwa anakuelezaje? Do your homework PREAMBLE TU inatosha kujua kama kinachofuata ni PUMBA au MCHELE
 
Hata mimi nilipenda sana huu ufafanuzi alioutoa kuhusu mafuta.

WoS, mwambie azungumzie kuhusu ufisadi wa EPA, Kiwira, Richmond/Dowans, Meremeta, Deep greens n.k. basi hapo atasema yeye hahusiki!
 
Hebu tujikumbushe utabiri wa wanaJF kuhusu huyu JK

Utendaji wake mpaka sasa hauonekani na wanaCCM walivyo na akili za kizamani eti wanamuacha agombee tena

Huu ni up****zi
 
Hivi JK huwa anazisoma hizi mada zinazojadiliwa Jamvini??? au ndo kazi ya Salva?? na huwa anamwambia kinachoandikwa????
 
I love this forum.... na shime turudi kule 2006/7 na tupekenyue yote aliyosema tulinganishe pumba na mchele
 
Tangu mkuu wa kaya aingie madarakani, ukifuatilia sana hotuba zake utakuta zinarudia kuelezea suala lile lile. Hii ndiyo kazi ya CCM na succession plan yao.
 
Ni kweli kuna kasoro kadhaa ambazo zimejitikeza katika ungozi wa JK ila nafikiri hayo ni mapungufu ya kawaida ambayo kwa kiasi kikubwa yamechangiwa aidha na baadhi ya watendaji ambao wamekosa umakini au walichelea kutimiza wajibu wao hivyo kusababisha yatokeee hayo yote. Mimi nionavyo Jk bado ni kiongozi anayejitahidi kutimiza majukumu yake ila huenda ana watu ambao hawatimizi majukumu yao sawasawa hivyo kumfanya Rais adhalilike bila sababu za maana:frusty:
 
Ni kweli kwenda sambamba na watu ambao hanakurudisha nyuma na kuonekana hufai ni sahihi? mi
nadhani kuna suala la kuoneana aibu kwa viongozi wetu tatizo kubwa hapa ni uovu uliotendwa kabla ya hapo.
 
Ni kweli kuna kasoro kadhaa ambazo zimejitikeza katika ungozi wa JK ila nafikiri hayo ni mapungufu ya kawaida ambayo kwa kiasi kikubwa yamechangiwa aidha na baadhi ya watendaji ambao wamekosa umakini au walichelea kutimiza wajibu wao hivyo kusababisha yatokeee hayo yote. Mimi nionavyo Jk bado ni kiongozi anayejitahidi kutimiza majukumu yake ila huenda ana watu ambao hawatimizi majukumu yao sawasawa hivyo kumfanya Rais adhalilike bila sababu za maana:frusty:

Hiyo red ni moja kati ya udhaifu wake. Utashindwaje kuwadhibiti wasaidizi wako wakawa makini badala ya kufanya kazi kishikaji. Hauwezi kufanya kazi nzuri ukiwa umezungukwa na safu ya washikaji badala ya watendaji wazuri.
 
Jamani njii hii ni ngumu kutawalika ukifanya jema kosa ukifanya baya kosa labda aje malaika kutoka mbinguni kutawala BRAVO KIKWETE
 
Ama kweli huu ni Usanii!
Sasa hawa mawaziri waliotufungia kanyaboya mndio wameisha save au sio. Msabah na umeme bandia alitakiwa kuchukuliwa hatua na sio kuhamishwa wizara. Navyofahamu Wadanganyika wepesi wa kusahahu na kusamehe, kesho utasikia watu wakimlaumu Karamagi.

Katika hatua hii ya nmwisho ya awamu ya JK tunahitaji watu waadilifu kweli kweli, siyo marafiki. Watu hao wapo. Marafiki watamuangusha kama alivyofanya Edo and Company.Kura zetu tuzielekeze kwa watu hao.
 
but let me ask you one thing guys. Hivi mnajua kwamba hata ashuke malaika kutoka mbinguni kuja kuwatawala watanzania bado hali hii ya manung'uniko, ho sijui viongozi ni wabaya na mengineo, haitakwisha? watanzania tuwe serious na maisha especially katika level ya familia na katika jamii inayotuzunguka. Kitu kimoja ambacho mimi ninaamini katika hicho ni kwamba hata wanoongozwa wana asilimia 90 ya kufanya uongozi uwe mbaya na wa kuchosha kwa wale wanaowaongoza. Sasa niulize tena swali jingine ni nani mnayemzania anaweza kuiongoza hii tanzania kuelekea kwenye kilele cha mafanikio? ni wewe au ni yule? mwizi au polisi magereza? mgonjwa au daktari ni sisi sote achane na mambo ya kupoteza wakati na badala yake fanya kazi kwa bidii na pale inapobidi chukuwa hatua ya kuwa wewe kiongozi kuzuia matukio ya kizembe.

mfano mzuri ni huu hapa kikwete na serikali yake ndio huwa ina agiza wauwaji wa wa albino kufanya vitendo vya kishetani? au yeye ndie anaye apanga njama na wote wanafanya ushenzi ushenzi wao na hatimaye wanalalamika maisha magumu kutokana na uongozi mbaya.
Nasema wewe mwananchi tena mkulima na mfanyabiashara iweni waadifuli kwanza ndio viongozi wenu watakuwa waadilifu
 
Naona timu ya Uhuru publications sasa imetia nanga JF.

Huwezi kuamini kuwa mtu mwenye uelewa wa kiwango chochote kile anaweza kuandika utumbo kama huo hapo juu. Hivi unakataa kuwa si Kikwete na serikali yake ndio waliziwezesha Richmond, Kagoda, Deep Green, Tangold, Kiwira, Meremeta and oh, the list goes on !

Unawataka wakulima na wananchi kuwa waadilifu kwanza ndio viongozi wawe waadilifu, kweli una akili timamu na unajua kweli unachosema - jamani ni uenda wazimu gani unaweza kumfanya mtu atamke maneno ya kijinga kama haya. Unajua kweli wajibu wa serikali ama umeamua tu kuongea kama aliyetoka kukamata matap tap yakamkaa kisawasawa - unadai kwa mfano viongozi wetu wataacha tu kutibia kama nicolson naye ataacha wizi wake !

Naona JF inaanza kuwa kama kokoro kwani na akina nicolson nao wamo, tumpate wapi Ole tip tip atoe adabu !
 
Back
Top Bottom