Huyu ndiye mume wangu

Ni muhimu sana kwa wanandoa yaani mume na mke wafahamu majukumu yao katika familia
Bila kusahau kutoa msaada panapo tokea dharura maana dharura haziepukiki
Lakini isiwe nongwa kukusaidia majukumu yako siku moja tu ndio unigeuze bushoke
 
Nimepata majibu, hana stamina. Kidume kinafanya yote ila kunako 6x6 hawezi chochote, unaishia kuguna tu, hata hivyo vyombo anavyoosha na kufua havikupi furaha..teeh, nimewaza tu dada sky..

Unaweza shangaa he is a beat in bed na anafanya hayo kumpoza mkewe.😁😁😁😁
 
Doohh sasa kama anajifulia, anapasi, makolokolo yote ulosema anayafanya.

Huo muda anaupataje?? Au ikifika weekend ndio anafua nguo zooote alizofaa, na kunyoosha nguo zote atakazovaa, na muda huohuo aende sokon n.k ?.au ye kila asubuhi akiamka ndo ananyoosha nguo,, za kwenda job??

Huyu mumeo ni Bachela?? Yaan anaishi kivyake naww unakaa kivyako??? Tuseme sasa ndio anakuja weekend kwako anafanya hayo??

Nakama mnakaa pamoja, naww unaacha kabisa afanye?? Hata km ni uzingu, Obama anampenda mkewe sababu anamfanya apendeze nakumpunguzia majukumu.


Infact, Majukumu yako niyapi ? Umeyaacha ?!


Daaaahhh hii noma, kuna kusifia, ila hapa umepitiliza mkuuu .haya yanaitwa Mapenzi machoni mwa watu,, lkn ndani sasaaaaa, ni Mungu nipe uvumilivu .
 
Shida iliyopo hapa ni kuwa Wanaume wengi sana siku hizi huwa tunapenda kulelewa, na hapa ndipo penye chanzo cha kujikuta tunasimamia hata yasiyotuhusu ktk familia zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…