Hakim Seif
Member
- Mar 28, 2015
- 20
- 9
Hakuna aliyekamilika. Jifunze kuyakubali mapungufu yake na ufurahie mazuri yake. Kama anakukwaza mueleze. Mahusiano yenu yanajengwa na nyinyi wawili. Kama hamuongei hizi mambo unakuja kupost huku ni mapuuza na inapaswa uadhibiwe.!Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Hahahahah we jamaa bhana... dahUpande wa pili anapenda vya uvunguni a.k.a kutatua lindas
Huna lolote... uchoyo tu.Hapana babu picha siwezagi kusoma naweza maandishi tu
Suala la kwenda sokon mwenyewe huenda anaogopa akikupa pesa ya mehemez nyingine utamla ganji.Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiiiHuna lolote... uchoyo tu.
Hahaha Wangu kazidi wako kidoooogo.Huu hautoki
Mimi simo chichemi hata hapahapa au pembeni, chichemi.Upande wa pili anapenda vya uvunguni a.k.a kutatua lindas
Sasa babu mbona hapa Unaonekana kama umefurahia vileHahahahah we jamaa bhana... dah
Haaaaaaaaaaaaaaaa mme wenuNi m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Babu kwa heshimu na taadhima naomba unichagulie waridi moja zuri linalonifaa ila lisiwe ni mchepuko wako.Baada ya hapo.... ndio hapo tunasemaga kila ua sio waridi. Kwenye kitanda wema wote hupotea...
Maandamano hayana mahaba
Vitu adimu hivyo sheikh wanguSasa babu mbona hapa Unaonekana kama umefurahia vile
Maendeleo hayana chama
Nitajie watatu ambao mtima wako umewatunuku nikuchagulie mmojaBabu kwa heshimu na taadhima naomba unichagulie waridi moja zuri linalonifaa ila lisiwe ni mchepuko wako.
Maendeleo hayana chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaahhhh kumbe babu na wewe ni bahariaVitu adimu hivyo sheikh wangu
Nimeupenda huo mguno. Sasa tuufanyie kazi kwa vitendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiiii
Hapana sheikh wangu. Labda itokee tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaahhhh kumbe babu na wewe ni baharia
Maendeleo hayana chama