Huyu ndiye mtu sahihi kuiokoa CCM 2015

Huyu ndiye mtu sahihi kuiokoa CCM 2015

Wakuu heshima kwenu. Baada ya kutazama kwa kina mwenendo wa siasa za Tanzania kuelekea 2015, nimekuja na mtazamo kuwa mtu pekee anayeweza kuivusha CCM kwa "halali" katika uchaguzi ujao ni his excellence Benjamin W. Mkapa. Hivyo basi, badala ya kucheza rafu zisizo na msingi, CCM ingepeleka pendekezo kwenye maoni ya katiba kuruhusu vipindi zaidi vya urais. Mkapa ana uwezo wa kuinusuru CCM na Tanzania kwa ujumla.

Yeye ndie wa kwanza kututia DOA na kuharibu MENGI ya NYERERE aliyoyaweka kuleta AMANI na ATI alikuwa Mwanafunzi wake ati NYERERE ndie aliyependa na kumchagua awe RAIS... sidhani kama KIKWETE angechukua wakati huo wa MKAPA

--- NYUMBA za SERIKALI zingeuzwa kama KARANGA
--- VIWANDA vya NGUO haswa Dar vilivyokuwa vinawapatia AJIRA Vijana wengi wenye ELIMU ndogo VINGEUZWA kwa bei chee na kutofunguliwa tena hivyo kusababisha CLASS STRUGGLE
--- Mikataba ya MADINI haswa GOLD yeye ndie kiongozi wa kwanza kuingia hiyo MIKATABA uchwara na kugawa FREE TAX kwa hao Investors... halafu pia kutowahusisha na Maendeleo ya Maeneo hayo kama ilivyokuwa SOUTH AFRICA au BOTSWANA... kujenga Barabara Safi; Hospitali; Shule; Maji; Umeme kwa Wananchi wanaoishi Maeneo hayo... ILI KUWABORESHA... SERIKALI ya MKAPA haikutaka hayo sababu ilikuwa IMEFUNGAMANA na IMF & WORLD BANK...

** Sasa sijui kwanini Ungetaka kurudisha hiyo PAIN to THE PEOPLE...
 
Mkuu tatizo kubwa la CCM sio recycling but ni mfumo hata mbovu uliokimbia uzalendo na kuweka ujamaa midomoni mioyoni wakiigiza ubepari machoni ni wabinafsi na wezi masikioni wakiburudishwa na ufisadi. Mkapa ni matapishi tena ya mbege hatuyatamani. Nakupongeza kwa kukiri Ccm haina mtu makini tena basi ungana nami kueneza ukweli huu kwamba tukiunge mkono chama kingine makini kama CHADEMA kichukue dola kitufikishe tuendako, over.
 
Wakuu heshima kwenu. Baada ya kutazama kwa kina mwenendo wa siasa za Tanzania kuelekea 2015, nimekuja na mtazamo kuwa mtu pekee anayeweza kuivusha CCM kwa "halali" katika uchaguzi ujao ni his excellence Benjamin W. Mkapa. Hivyo basi, badala ya kucheza rafu zisizo na msingi, CCM ingepeleka pendekezo kwenye maoni ya katiba kuruhusu vipindi zaidi vya urais. Mkapa ana uwezo wa kuinusuru CCM na Tanzania kwa ujumla.

Kama ili lina ukweli ndani yake, ingekuwa vyema kama angelengeshwa kwenye uchaguzi wowote Arusha ili watu waone kama anaweza mikiki hii. Ataaibika na EPA yake, bure atulie tu. Hivi yule nani....Siyoi sijui Sioi (mkwe wa Richmonduli) ameishia wapi vile?
 
Wakuu heshima kwenu. Baada ya kutazama kwa kina mwenendo wa siasa za Tanzania kuelekea 2015, nimekuja na mtazamo kuwa mtu pekee anayeweza kuivusha CCM kwa "halali" katika uchaguzi ujao ni his excellence Benjamin W. Mkapa. Hivyo basi, badala ya kucheza rafu zisizo na msingi, CCM ingepeleka pendekezo kwenye maoni ya katiba kuruhusu vipindi zaidi vya urais. Mkapa ana uwezo wa kuinusuru CCM na Tanzania kwa ujumla.

muulize ben kilichompata arumeru wakati wa uchaguzi wa ubunge!
 
Wakuu heshima kwenu. Baada ya kutazama kwa kina mwenendo wa siasa za Tanzania kuelekea 2015, nimekuja na mtazamo kuwa mtu pekee anayeweza kuivusha CCM kwa "halali" katika uchaguzi ujao ni his excellence Benjamin W. Mkapa. Hivyo basi, badala ya kucheza rafu zisizo na msingi, CCM ingepeleka pendekezo kwenye maoni ya katiba kuruhusu vipindi zaidi vya urais. Mkapa ana uwezo wa kuinusuru CCM na Tanzania kwa ujumla.
huyu mzee walishirikiana na Chenge ku-sign mikataba ya ulaghai. kwanza yaliyokuta kule Arumeru - hataki tena mambo ya kupanda jukwaani.
 
Hivi kuna watu bado wanawaza kuiokoa ccm badala ya Taifa?
Kwa akili hizi safari bado ni ndefu.
 
Huyu jamaa katawanya mali ya watanzani,kasimamia zoezi la ubinafsaji pasipo hata kuwashirikisha wataalam mfano ni benki ya taifa ya biashara kawapa makaburu kwa bei ya kutupa ambayo haifikii hata dhamani ya jengo moja tu lile la makao makuu
 
Yeah, nimepata mtazamo wenu wakuu msijeniua buree. Tuko pamoja, nilikuwa napima reactions kwa faida yangu.
 
yani kuna watu wanawaza kuzima upinzani tu.eti membe ndo kiboko ya upinzani! are you serious?!! watu wanataka kiongozi wakulitoa taifa hapa lilipo we unawaza kuzima upinzani.
 
malcom x wa bumbuli.....

57913_115995758456393_100001379073127_97631_7958957_n.jpg
images
huyu kuchamba kunamshida ndo awe rais, labda wa mirembe. Watu wengine mnaleta mada za kitoto hadi kuzidi.
 
Tatizo la CCM ni vita ya madaraka, kila mtu anataka, hasa baada ya JK kuwa rais kila mtu ameona inawezekana!!

"wait and see..."
 
Hivi amesharudisha MGODI wetu wa Kiwira?

Vicent Nyerere sio wa familia ya Nyerere kwasababu Nyerere hakuwahi kunitambulisha! Mkapa 2012

Eti huyo ndiye wa kuivusha CCM!? mbavuuuu zangu
 
Wakuu heshima kwenu. Baada ya kutazama kwa kina mwenendo wa siasa za Tanzania kuelekea 2015, nimekuja na mtazamo kuwa mtu pekee anayeweza kuivusha CCM kwa "halali" katika uchaguzi ujao ni his excellence Benjamin W. Mkapa. Hivyo basi, badala ya kucheza rafu zisizo na msingi, CCM ingepeleka pendekezo kwenye maoni ya katiba kuruhusu vipindi zaidi vya urais. Mkapa ana uwezo wa kuinusuru CCM na Tanzania kwa ujumla.

Wazo zuri je ulituma maoni ktk uundwaji wa katiba mpya?

1.Ipo ktk rasimu mpya ?
2.Kama haikuingizwa kwa nini?
3.Je unaujua umri wa Mkapa wa leo?
4.Je akifija salama 2015 atakua na. miaka mingapi?
5.Tatizo lako liko wapi?
@.Ccm tu ndio wenyewe hati miliki na. nchi hii.?
b.Je wewe binafsi huna maslahi na. Ccm?
c.Je unataka akiingia Mkapa kwa. mara ya tatu akimaliza nae Kikwete. atake kurudia kwa mara ya tatu.?
d.Je mwenyewe Mkapa karidhia?

Nijibu hayo kwanza niweze kukupa mtazamo wangu .
 
Wakuu heshima kwenu. Baada ya kutazama kwa kina mwenendo wa siasa za Tanzania kuelekea 2015, nimekuja na mtazamo kuwa mtu pekee anayeweza kuivusha CCM kwa "halali" katika uchaguzi ujao ni his excellence Benjamin W. Mkapa. Hivyo basi, badala ya kucheza rafu zisizo na msingi, CCM ingepeleka pendekezo kwenye maoni ya katiba kuruhusu vipindi zaidi vya urais. Mkapa ana uwezo wa kuinusuru CCM na Tanzania kwa ujumla.

Unadhani Watanzania ni wajinga kiasi hicho?
 
Nimeona like ya dr slaa.. Kwa nn kalike post ya kumpendekeza january makamba???
 
Kutokea katika utawala wake haimaanishi kila kitu aliinjinia yeye.

yeah ni kweli, mfano naweza pishana nawe unatoka toi na mi naingia nakuta mwaikimba amepaki service road. kwa haraka nitawaza ni wewe ndo umepaki huo mzigo pembeni, lakini hata we unaweza kuwa uliukuta ukauchunia haukuuflashi, kwa hiyo bado kosa ni lako.
 
Nisome Artical zangu na ujuwe kama mie wa kununuliwa Chips. Mie Mshamba wa Sikonge, hizo Chips ntanunuliwa wapi?

Huku kwetu ni Matobolwa tu yanatosha, hizo Chips kuleni nyie wa Mujini..... Hapa lete Gongo na Nyama Pori, kama Kipepe vile.

kipepe2.jpg

kununuliwa chips kavu tu ushalainika ?
 
Back
Top Bottom