Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,843
- 10,765
Wakuu heshima kwenu. Baada ya kutazama kwa kina mwenendo wa siasa za Tanzania kuelekea 2015, nimekuja na mtazamo kuwa mtu pekee anayeweza kuivusha CCM kwa "halali" katika uchaguzi ujao ni his excellence Benjamin W. Mkapa. Hivyo basi, badala ya kucheza rafu zisizo na msingi, CCM ingepeleka pendekezo kwenye maoni ya katiba kuruhusu vipindi zaidi vya urais. Mkapa ana uwezo wa kuinusuru CCM na Tanzania kwa ujumla.