Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,236
Meeku, next time READ ME BETWEEN THE LINE. Ukimsoma Sikonge juu juu tu, utaangukia Pua. Ona sasa ulivyochemka.
Anyway, kwa leo nakupa usome Sahihi yangu tu na kukuachia uende zako bila madongo.
Anyway, kwa leo nakupa usome Sahihi yangu tu na kukuachia uende zako bila madongo.
huyu kuchamba kunamshida ndo awe rais, labda wa mirembe. Watu wengine mnaleta mada za kitoto hadi kuzidi.