Huyu ndiye mtu sahihi kuiokoa CCM 2015

Huyu ndiye mtu sahihi kuiokoa CCM 2015

Malcom X wa Bumbuli.....

57913_115995758456393_100001379073127_97631_7958957_n.jpg
images

Rais wa Bumbuli...hahahahaha!
 
Copy kwa Nyenyere

Hebu uliza biashara gani alifanyaga na utapata jibu.
Huyo Mkapa ni wa kitanzi tu!

Alifufua uchumi uliokufa akajimegea kipande cha keki. Aliichukua nchi ikiwa choka mbaya akaiinua.
 
Last edited by a moderator:
Komboka ndugu kama bado unawaza ccm kipindi hiki you need a Psychologist.
 
Maneno ya utumbo yawe yanaishia kwenye supu za utumbo si kuleta utumbo hapa JF.
 
Madudu yote haya unayoyaona na usiyoyaona mf EPA RADAR 80% yalifanyika kipindi cha Mkapa Kikwete yeye kayarithi tu Mkapa yeye hakuruhusu uwazi ndo maana haya hayakuonekana kipindi chake

Na Nyumba za Selikali Wakagawana!!!!
 
huwezi kuokoa ccm hapa ilipofikia , utajisumbua bure , fanya shughuli zako kijana .
 
nchi hii nimegundua wananchi wengi ni vilaza pia sikio la kufa.mtajiju
 
Madudu yote haya unayoyaona na usiyoyaona mf EPA RADAR 80% yalifanyika kipindi cha Mkapa Kikwete yeye kayarithi tu Mkapa yeye hakuruhusu uwazi ndo maana haya hayakuonekana kipindi chake

halafu JK akamalizia 20%? Na kuanza yake kwa 100%bagamoyo Port ,gas mtwara..etc
 
AT LEAST MEMBE, SITTA A LITTLE CAN COMPETE BUT ALL REMINDER HAS GOT A CHAINS of BEAST,SURBOTEUR,MASTERMINDERS,EGOISTER, 20 PERCENTERS,AND MUCH MUCH UGLIES.
 
Wizi: sijapinga juu ya hili, lakini chanzo chake ni katiba ambayo inatoa mianya.
Wizi na katiba? Hapana Nyenyere, nitajie kipengele kimoja tu kwenye katiba hii tuliyo nayo kinachomruhusu Raisi kuwa mwizi. Hata hivyo naweza nikakubaliana na wewe kama utasema wizi ni sera ya CCM n kama ni hivyo swali linalojitokeza ni kwa nini unataka kuliokoa hili genge la wezi?
 
Ninafahamu wewe ni mzee lakini ujengaji wa hoja zako unafanana na vijana wa BAVICHA.

Umesema hakuna kipengele kwenye katiba kinachoruhusu wizi kitu ambacho ni kweli.

Halafu hapo hapo unakuja na fikra za kibavicha kusema wizi ni sera ya CCM huku ukiwa hufahamu kuwa katiba ni sheria mama na kwa maana hiyo, chama chochote hakiwezi kuwa na sera zinazopingana na katiba ya nchi.

Hoja zako zina nafasi kwenye ofisi za BAVICHA lakini siyo kwenye jukwaa la siasa JF.

Au ndiyo mwendo wa brain diminishing returns!
 
Back
Top Bottom