Ungekuwa msomi mwenye kiwango ungetazama chanzo cha yote hayo na jinsi ya kudhibiti hali hiyo isitokee tena.
Yeye mwenyewe elimu yake ya kuunga alafu anasimamia watu wenginewawe na elimu nzuri ,majangaTatizo huna elo usomi wa kiwango tutautoa wapi na elimu ya Tanzania kakabidhiwa Mulugo...
Mkuu nini kimekusukuma kutoa mapendekezo haya uliyoyatoa.
Tukubaline hakuna mtu safi aliyebado ni CCM
Wakuu heshima kwenu. Baada ya kutazama kwa kina mwenendo wa siasa za Tanzania kuelekea 2015, nimekuja na mtazamo kuwa mtu pekee anayeweza kuivusha CCM kwa "halali" katika uchaguzi ujao ni his excellence Benjamin W. Mkapa. Hivyo basi, badala ya kucheza rafu zisizo na msingi, CCM ingepeleka pendekezo kwenye maoni ya katiba kuruhusu vipindi zaidi vya urais. Mkapa ana uwezo wa kuinusuru CCM na Tanzania kwa ujumla.
Ungenilisha mawazo yako nitoe chalii angu.