Uzuri wake ni mtu wa vitendo tu. Akiahidi kitu anatekeleza. Hao wenye CV nzuri wamefanya nini?
juzi nilikua moro,nimeona lami toka iringa road -mazimbu campus,,,,LILE LILIKUA FUPA
Uzuri wake ni mtu wa vitendo tu. Akiahidi kitu anatekeleza. Hao wenye CV nzuri wamefanya nini?
CV ya Mbunge wa Mji kasoro bahari,je inakaidhi viwango vya Sayansi na technolojia ya karne ya 21? Jamaa ni Form 4 tena Failure wa Forst secondary those undefine years back! 2015 vipi hii tukiibadili?
Kwa maoni yangu,Kwa kuwa wakazi wa mji kasoro bahari wamemkubali kwa kumpima na wengine na kumwona anafaa,anafaa na hakuna haja ya kuhoji kwani hakuna malalamiko ya kushindwa kwake kutekeleza majukumu yake ya kibunge.Kigezo cha elimu hakiwezi kuwa hoja kwani Sheria mama ya nchi yetu inamruhusu na ni haki yake ya kikatiba kuchagua na kuchaguliwa kwa elimu aliyonayo ya kidato cha nne.Pia viongozi wengi wanafanya vibaya katika nyazifa zao pamoja na elimu zao kubwa.Hivyo ni busara tu kwa mwaka 2015 kumpima kwa kazi atakayokuwa amefanya na si kwa kigezo cha elimu yake.Nawasilisha!
Member of Parliament CV
Salutation Honourable Member picture
![]()
First Name: Abdul-Aziz Middle Name: Mohamed Last Name: Abood Constituent: Morogoro Mjini Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 127, Morogoro. Office Phone: +255 754 261 888/+255 784 261 888/+255 758 500 000 Ext.: Office Fax: Office E-mail: aabood@parliament.go.tz Member Status: Current Member Date of Birth 27 May 1959
[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]
[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location Bungo Primary School Forest Hill Secondary School
[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
Company Name The Parliament of Tanzania Member - Morogoro Mjini Abood Group Inc. Director
[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of National Executive Committee (NEC) Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of Regional Committee Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of Finance Committee
[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]
[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
Wabunge ni public figures. Wana nafasi ya kututungia sheria na kuathiri namna tunavyoishi leo na jinsi watoto na wajukuu wetu watakavyoishi.
Kuwatathmini wabunge kwa vigezo vyote ni muhimu, na hata nchi zilizoendelea wanafanya sana. Kigezo kimoja muhimu cha tathmini ni elimu. Kama ana elimu ndogo tuelezeni compensating qualities zake.
Thread hii imeanzishwa kwa ajili ya tathmini ya mbunge wa Morogoro mjini. Hao wengine unaweza kuanzisha thread za kutathmini utekelezaji wao wa majukumu yao ya msingi. Ziko nyingine nyingi tu za kuwatathmini akina Mnyika, Zitto, Mdee n.k.
CV ya Mbunge wa Mji kasoro bahari,je inakaidhi viwango vya Sayansi na technolojia ya karne ya 21? Jamaa ni Form 4 tena Failure wa Forst secondary those undefine years back! 2015 vipi hii tukiibadili?
Member of Parliament CV
Salutation
Honourable
Member picture
![]()
First Name:
Abdul-Aziz
Middle Name:
Mohamed
Last Name:
Abood
Constituent:
Morogoro Mjini
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 127, Morogoro.
Office Phone:
+255 754 261 888/+255 784 261 888/+255 758 500 000
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
aabood@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
27 May 1959
[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL
[/TH]
[TD="width: 20%"] Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member
[/TD]
School Name/Location
Bungo Primary School
Forest Hill Secondary School
[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION
[/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date
[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level
[/TH]
[TD="align: center"]Primary Education
[/TD]
[TD="align: center"]-
[/TD]
[TD="align: center"]-
[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY
[/TD]
[TD="align: center"]Secondary Education
[/TD]
[TD="align: center"]-
[/TD]
[TD="align: center"]-
[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
Company Name
The Parliament of Tanzania
Member - Morogoro Mjini
Abood Group Inc.
Director
[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]
[TH="align: center"] Position
[/TH]
[TH="align: center"] From Date
[/TH]
[TH="align: center"] To Date
[/TH]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
[TD="align: center"]2015
[/TD]
[TD="align: center"]1984
[/TD]
[TD="align: center"]2010
[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member of National Executive Committee (NEC)
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member of Regional Committee
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member of Finance Committee
[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]
[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To
[/TH]
[TD="align: center"]2007
[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2006
[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2000
[/TD]
CV ya Mbunge wa Mji kasoro bahari,je inakaidhi viwango vya Sayansi na technolojia ya karne ya 21? Jamaa ni Form 4 tena Failure wa Forst secondary those undefine years back! 2015 vipi hii tukiibadili?
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
Salutation Honourable First Name: Abdul-Aziz Middle Name: Mohamed Last Name: Abood Constituent: Morogoro Mjini Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 127, Morogoro. Office Phone: +255 754 261 888/+255 784 261 888/+255 758 500 000 Ext.: Office Fax: Office E-mail: aabood@parliament.go.tz Member Status: Current Member Date of Birth 27 May 1959
[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]
[TD="width: 42%"] Member picture[/TD]![]()
[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Bungo Primary School Forest Hill Secondary School
[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]
[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
Company Name The Parliament of Tanzania Member - Morogoro Mjini Abood Group Inc. Director
[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of National Executive Committee (NEC) Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of Regional Committee Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of Finance Committee
[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
Aboud elimu ni chini na utendaji katika majukumu ya msingi ya mbunge pia ni chini. Kama una ushahidi kupinga hili nakaribisha.Mkuu mbona unanikwepa? Unasemaje kuhusu elimu ya Jacob Zuma na utendaji kazi wake kama rais wa taifa tajiri kuliko yote Afrika?
Aboud elimu ni chini na utendaji katika majukumu ya msingi ya mbunge pia ni chini. Kama una ushahidi kupinga hili nakaribisha.
Tunaomba utoe rekodi ya utendaji wa Aboud katika majukumu yake ya msingi kama mbunge, sio kama Project manager wa NGO au kiongozi wa organisation ya kutoa misaada.
Daima hoja yangu imejikita katika kuhoji utekelezaji wa majukumu ya msingi ya mbunge.Mbona unakuwa kigeugeu mkuu? Comment yangu ya kwanza nimesema mumhukumu huyu mtu kwa utendaji kazi wake lakini si kwa elimu yake!Maana wengi wenye elimu tumewaona wanafika majimboni kipindi cha uchaguzi tu muda mwingine wapo busy na ufisadi! nNa suala la kutokuwajibika kwa wananchi ni tatizo la kitaifa halina kabisa uhusiano na elimu! Jimboni kwetu tumeshawahi kuwa na mbunge profesa lakini nadhani ni mbunge aliyeboronga kuliko wote kwa kipindi hiki tangu siasa za vyama vingi zimeanza nchini!
Anzisha thread Yake....to hell na ccm yako.Tuwekeeni na ya Mbowe.
Uzuri wake ni mtu wa vitendo tu. Akiahidi kitu anatekeleza. Hao wenye CV nzuri wamefanya nini?
Kazi ya Mbunge wa Morogoro mjini ni kujenga barabara ya Mazimbu?You have written well my brother! kuna maana gani kupiga kelele bungeni na hakuna kinachofanyika, kwa muda mfupi tu aliokaa katika ofisi ya mbunge Abood kafanya mengi hapa morogoro mjini! Barabara ya Mazimbu ilikuwa haipitiki kwa miaka nenda rudi lakini sasa hivi ni mkeka! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, this businessman/politician deserve second term and that is if he will contest in the coming election! Thumb up and keep it up Abood! waache waseme na kuandika midomo na mikono imeubwa kwa kazi hizo!
Kazi ya Mbunge wa Morogoro mjini ni kujenga barabara ya Mazimbu?