Huyu ndiye mbunge wa Morogoro mjini!

Huyu ndiye mbunge wa Morogoro mjini!

Mwanaukweli kweli wewe mkweli manake umemsomesha jamaa mabaye akili imejaa umagamba tupu! Hat haoni reality of out World today,Nenda state kama utakuta Mbunge Form 4 Failure,anayway USA mbali sana ruka hapo Kenya tu,Hakuna Mbunge Kilaza kama huyu nayetambikia watu kwa magari ya Kuzikia.

Pia Huyu Micha ananifanya nione kichefuchefu,Hajui huyu ambaye nidye Mbunge nasaidia kwa Unafiki? hajui kwamba yeye alipewa viwanda Vitatu na kimoja kakifanya TV and Redio Abood na Kingine anafugia Mbuzi, kanyima watu zaidi ya 3000 ajira? leo anajifanya anawasaidia.! Shame on Abood Aziz

Hiki ndicho ninachokisema.

TUMEPUMBAZWA! Na tumekubali kuwa wapumbavu.

Hatuoni kama huyu tajiri kwa kuwa mbunge, amepata nafasi ya kuendeleza maslahi yake, na kupata uwezo wa 'kutudanganyia vimisaada visivyo na tija'.
 
Anakujali wewe Gamba mwenzake,na lazima ang'oke tu 2015 ingawa anapretend kwamba hatogombea still alikuwa anapanga safu zake kumsaidia 2015!!
 
Kuwa form 4 cyo insu kabisa,kuna watu ni standard seven lakin wanafanya mambo as if graduate,ila kuusu uyu jamaa bila kumung'unya maneno nikiradha sanaaaa akufaa kabisa kuwa kiongozi ila waliomchagua kwa tafri nzuri ambayo ukweli mchungu ndiyo viradha zaidi wamemchagua kiradha mwenzao mwenye afadhali akawawakilishe,teh teh teh mi mbunge wangu MNYIKA.
 
Achana na CV angalia utendaji wake kwenye jimbo lake, kuna Majimbo walichagua Maprof na MaDk lakini hawafanyi kitu majimboni mwao. Ubunge siyo kazi ya kusomea na wala mbunge siyo CEO au MD, Mbunge ni mtumishi wa watu na siyo lazima uwe na degree ndiyo utumikie wananchi wako, huyo jamaa ana resource za kuwasaidia wananchi wake kukabiliana na hali ngumu ya maisha.

acha ujinga Micha, kazi ya mbunge siyo kuwasaidia wananchi wake kukabiliana na ugumu wa maisha kwa resource zake bali kuwawakilisha wananchi katika mhimili wa bunge kuhakikisha serikali inatumia ipasavyo kodi ka ajili ya vvipaumbele vya maendeleo. resource ni zake na warithi wake.unataka kusema watu wasio na mali hawafai kuwa wabunge siyo?
 
Last edited by a moderator:
aiseeeeeee babaangu katiba mpya mbunge digri kama hauna kalime kudadadadaki hii ni kukejeli taifa
 
Naomba kuelimishwa. Kwani mbunge anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu? Hivi kule bungeni hakuna waliomaliza Darasa la Saba kweli?
 
Naomba kuelimishwa. Kwani mbunge anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu? Hivi kule bungeni hakuna waliomaliza Darasa la Saba kweli?

Kwa katiba ya sasa, hakuna kiwango cha elimu kilichotajwa.
  • Awe raia wa Tanzania aliyetimiza umri wa miaka 21 au zaidi.
  • Awe mgombea aliyependekezwa na chama chake cha siasa.
  • Awe hajatiwa hatiani kwa kosa lolote pamoja na lile la kukwepa kulipa kodi katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya uchaguzi .
  • Awe anajua kusoma na kuandika Kiswahili na Kiingereza.
Katika mada hii, pamoja na elimu ya mbunge huyu, watu wanatathmini utendaji wake katika majukumu ya msingi ya mbunge.

Hata wenye digrii kama akina Mnyika na Mdee, na hata mawaziri kama Mulugo/Shukuru Kawambwa huwa wanafanyiwa tathmini kama hizi.
 
jamaa ananiachaga hoi ana basi maalumu la kwenda kuzikia watu msiba ukitokea tu gari linapelekwa ,sijawahi ona akitoa gari kumpeleka mgonjwa hosipitali ,ila kwenye msiba haraka, mpaka kunakamati maalumu ya mazishi

wewe nao unaropoka maneno bila ya kuwa na uhakika, hood ndio mwenye gari la kuzikia sio abood
 
CV ya Mbunge wa Mji kasoro bahari,je inakaidhi viwango vya Sayansi na technolojia ya karne ya 21? Jamaa ni Form 4 tena Failure wa Forst secondary those undefine years back! 2015 vipi hii tukiibadili?





Member of Parliament CV

SalutationHonourableMember picture
1648.jpg
First Name: Abdul-Aziz
Middle Name:Mohamed
Last Name:Abood
Constituent:Morogoro Mjini
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 127, Morogoro.
Office Phone: +255 754 261 888/+255 784 261 888/+255 758 500 000
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: aabood@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 27 May 1959

[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]

[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
School Name/Location
Bungo Primary School
Forest Hill Secondary School

[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]

[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]

[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]

[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
Company Name
The Parliament of TanzaniaMember - Morogoro Mjini
Abood Group Inc.Director

[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]

[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]

[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]

[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of National Executive Committee (NEC)
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Regional Committee
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Finance Committee

[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]

[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]

[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: center"]2000[/TD]


Lakini ana AKILI ya KIBIASHARA; na ELIMU SIO SIASA BORA... Angalia wenye ELIMU wanavyotuvuruga BUNGENI!!!
 

Lakini ana AKILI ya KIBIASHARA; na ELIMU SIO SIASA BORA... Angalia wenye ELIMU wanavyotuvuruga BUNGENI!!!

Akili ya kibiashara, ni pamoja na uwezo wa kuwazuga watu wa Morogoro kwa vitu visivyo vya msingi, wakapumbazika, wakaendelea kumchagua.

Hapo yeye anapata access ya kupatiwa tenda (hata kama kuna conflict of interests), kuuziwa viwanda, na ni wazi kukuza biashara zake.

Kwa misingi hiyo kweli ana elimu ya kibiashara na ananufaika nayo.

Lakini, na hili ni la msingi zaidi, watu wa Morogoro wananufaika vipi kuwakilishwa naye kama mbunge bungeni?

Na kwa kuwa bunge ni muhimili mmojawapo wa dola, na linahusika na kutunga sheria na kusimamia serikali, je na wewe kama mwananchi wa Tanzania uliye popote pale unanufaika vipi na uwepo wa mtu kama huyo bungeni?
 
Akili ya kibiashara, ni pamoja na uwezo wa kuwazuga watu wa Morogoro kwa vitu visivyo vya msingi, wakapumbazika, wakaendelea kumchagua.

Hapo yeye anapata access ya kupatiwa tenda (hata kama kuna conflict of interests), kuuziwa viwanda, na ni wazi kukuza biashara zake.

Kwa misingi hiyo kweli ana elimu ya kibiashara na ananufaika nayo.

Lakini, na hili ni la msingi zaidi, watu wa Morogoro wananufaika vipi kuwakilishwa naye kama mbunge bungeni?

Na kwa kuwa bunge ni muhimili mmojawapo wa dola, na linahusika na kutunga sheria na kusimamia serikali, je na wewe kama mwananchi wa Tanzania uliye popote pale unanufaika vipi na uwepo wa mtu kama huyo bungeni?

Mbona SUGU Darasa la SABA na anaiwakilisha MBEYA MJINI vizuri sana??
 
Mafisadi wote wana maCV mazuri, wananchi waliona anawafaa wakamchagua.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa katika Karne hii swala la elimu ni mhimu sana katika uongozi. Japokuwa hakuna sio kweli kwamba kila mwenye elimu anaweza kuwa kiongozi bora, bado elimu inazidisha upeo/uwezo wa mtu kuchaganua mambo. Tatizo kubwa la wananchi wetu wanaona wanapopewa gari na mbunge kihiyo kama abood kwenda kuzikia basi wanaona wamesaidiwa kuliko kawaida, kumbe anawateka kisaikolojia ili muendelee kupanda mabasi ya kampuni ya abood. Waliomchagua nao ni vilaza pia.
 
Mbona SUGU Darasa la SABA na anaiwakilisha MBEYA MJINI vizuri sana??

Kitu hicho ndicho cha msingi. Tunatafakari utendaji wake, na utekelezaji wake wa majukumu kama mbunge. Kwa hilo Abood ni poor. Elimu inaweza kuwa inachangia.
 
.............. Haya mambo ya CV hayana msingi wowote..... kuna wabunge kibao CHADEMA, CCM na CUF ambao elimu yao si kubwa ... cha msingi ni utendaji wa kazi na kuhudumia wananchi ipasavyo.... omba pia CV ya Mh. Arfi wa Sumbawanga, uiangalie vizuri
 
.............. Haya mambo ya CV hayana msingi wowote..... kuna wabunge kibao CHADEMA, CCM na CUF ambao elimu yao si kubwa ... cha msingi ni utendaji wa kazi na kuhudumia wananchi ipasavyo.... omba pia CV ya Mh. Arfi wa Sumbawanga, uiangalie vizuri
Wabunge ni public figures. Wana nafasi ya kututungia sheria na kuathiri namna tunavyoishi leo na jinsi watoto na wajukuu wetu watakavyoishi.

Kuwatathmini wabunge kwa vigezo vyote ni muhimu, na hata nchi zilizoendelea wanafanya sana. Kigezo kimoja muhimu cha tathmini ni elimu. Kama ana elimu ndogo tuelezeni compensating qualities zake.

Thread hii imeanzishwa kwa ajili ya tathmini ya mbunge wa Morogoro mjini. Hao wengine unaweza kuanzisha thread za kutathmini utekelezaji wao wa majukumu yao ya msingi. Ziko nyingine nyingi tu za kuwatathmini akina Mnyika, Zitto, Mdee n.k.
 
Back
Top Bottom