Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Hao wanaoelewa wamefanya nini ???????????????
Na wenyewe kama hawatekelezi majukumu yao pia wanakumbushwa!
There are no sacred cows in politics.
Hao wanaoelewa wamefanya nini ???????????????
Kwaani hao wasomi wamefanya nini? si wezi tu. bora hata abood anatujari watu Morogoro tukiwa na matatzi mbalimbali. Wasomi ni wezi tu.
p-u-m-b-a-fu, yaan mbunge anatakiwa atumie pesa yake kuwajenga shule/ hospt au barabara?Achana na CV angalia utendaji wake kwenye jimbo lake, kuna Majimbo walichagua Maprof na MaDk lakini hawafanyi kitu majimboni mwao. Ubunge siyo kazi ya kusomea na wala mbunge siyo CEO au MD, Mbunge ni mtumishi wa watu na siyo lazima uwe na degree ndiyo utumikie wananchi wako, huyo jamaa ana resource za kuwasaidia wananchi wake kukabiliana na hali ngumu ya maisha.
p-u-m-b-a-fu, yaan mbunge anatakiwa atumie pesa yake kuwajenga shule/ hospt au barabara?
watu km nyie mnaishi tu coz illegal to shoot You
CV ya Mbunge wa Mji kasoro bahari,je inakaidhi viwango vya Sayansi na technolojia ya karne ya 21? Jamaa ni Form 4 tena Failure wa Forst secondary those undefine years back! 2015 vipi hii tukiibadili?
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
Salutation Honourable First Name: Abdul-Aziz Middle Name: Mohamed Last Name: Abood Constituent: Morogoro Mjini Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 127, Morogoro. Office Phone: +255 754 261 888/+255 784 261 888/+255 758 500 000 Ext.: Office Fax: Office E-mail: aabood@parliament.go.tz Member Status: Current Member Date of Birth 27 May 1959
[TH="colspan: 3, align: left"] GENERAL [/TH]
[TD="width: 42%"] Member picture[/TD]![]()
[TD="width: 20%"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
Bungo Primary School Forest Hill Secondary School
[TH="colspan: 5, align: left"] EDUCATION [/TH]
[TH="width: 35%"] School Name/Location [/TH]
[TH="width: 27%"] Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"] Start Date [/TH]
[TH="width: 13%, align: center"] End Date [/TH]
[TH="width: 10%, align: center"] Level [/TH]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[TD="align: center"]Secondary Education[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
Company Name The Parliament of Tanzania Member - Morogoro Mjini Abood Group Inc. Director
[TH="colspan: 4, align: left"] EMPLOYMENT HISTORY [/TH]
[TH="align: center"] Position [/TH]
[TH="align: center"] From Date [/TH]
[TH="align: center"] To Date [/TH]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of National Executive Committee (NEC) Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of Regional Committee Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of Finance Committee
[TH="colspan: 4, align: left"] POLITICAL EXPERIENCE [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position [/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
Uzuri wake ni mtu wa vitendo tu. Akiahidi kitu anatekeleza. Hao wenye CV nzuri wamefanya nini?
Achana na CV angalia utendaji wake kwenye jimbo lake, kuna Majimbo walichagua Maprof na MaDk lakini hawafanyi kitu majimboni mwao. Ubunge siyo kazi ya kusomea na wala mbunge siyo CEO au MD, Mbunge ni mtumishi wa watu na siyo lazima uwe na degree ndiyo utumikie wananchi wako, huyo jamaa ana resource za kuwasaidia wananchi wake kukabiliana na hali ngumu ya maisha.
kama ni hivi safi sana
jamaa ananiachaga hoi ana basi maalumu la kwenda kuzikia watu msiba ukitokea tu gari linapelekwa ,sijawahi ona akitoa gari kumpeleka mgonjwa hosipitali ,ila kwenye msiba haraka, mpaka kunakamati maalumu ya mazishi
Achana na CV angalia utendaji wake kwenye jimbo lake, kuna Majimbo walichagua Maprof na MaDk lakini hawafanyi kitu majimboni mwao. Ubunge siyo kazi ya kusomea na wala mbunge siyo CEO au MD, Mbunge ni mtumishi wa watu na siyo lazima uwe na degree ndiyo utumikie wananchi wako, huyo jamaa ana resource za kuwasaidia wananchi wake kukabiliana na hali ngumu ya maisha.
Amesaidia nini kwenye ugumu wa wana morogoro???
Kwaani hao wasomi wamefanya nini? si wezi tu. bora hata abood anatujari watu Morogoro tukiwa na matatzi mbalimbali. Wasomi ni wezi tu. Sawa je amesaidia nini? au nyie ndo wale mkifiwa mnapata gari lakupeleka maiti makaburi ndo msaada?
Moja ya sehemu ambayo CCM wanajivunia kama ngome ni Morogoro, na sababu ni rahisi..........mjomba,nisaidie!!! yaanai dawa hukuweza nunua, ndugu kafariki, mtu analeta gari kwenda kuzika, unafurahi? huyo si ndo mchawi??? kwnn asitoe matibabu na dawa bure? tena moro mjini?? poleni
wakatabahu
yap,elimu ndogo lakini anasimamia biashara kubwa na zinakwenda fresh tu,je angesoma kama wadau wanavyopendekeza c angekuwa zaidi ya hatari,jamani eeh,tuangalie utendaji wa mtu na c vyeti vyake,kama una mivyeti miingi halafu hamna kitu unachofanya kinachoonekana,elimu yako haitakuwa na umuhimu pia,gpa kubwa kazini kaputi,ptuuuuuuuu