masanjasb
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 2,364
- 869
Amani iwe kwenu wote mliohakikisha hujuma na mbinu chafu za ccm zinashindwa,Naiamini chadema pamoja na viongozi wake wote,pamoja na Molemo,Mohamed mtoi,Tumaini makene,ben saanane na makamanda wote tuliomo humu JF nawapa big up sana kwa kutokata tamaa pamoja na purukushani za hapa na pale za Magamba fc aka wazee wa buku7,daima letu liwe moja,USHINDI TU ALL THE WAY