Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,515
Molemo mimi sina wasiwasi na Arusha viongozi wa kata tu wanawakimbiza mawaziri wazima kina Savimbi ulimi nje, leo nitakuwa Mianzini kumpa tafu Mwita Maranya.Mkuu Feedback ni kama yule Rafiki yangu mwana CCM alivyonidokeza mapema.Hilo ndilo lengo lao kuu kwa sasa.