Huyu ndiye Godbless Lema Mwamba wa Kaskazini.

mamii umechamka sana kwanza sikujua kwamba siasa zenu ni za kibaguzi sio??
so wewe unawapa mikono ambao ni CDM wenzako tu sio?? FYI mm sinaga chama ingawa huwa napenda kuchallenge kila chama na sio mshabiki wa chama na wala sifungaman na upeande wowote so ukiassume mm ni ccm usinipe mkono poa tu.
Kuliko kunikuta nashabikia siasa ni heri ukanikuta darasani najitolea kufundisha hata mida ya prepo

So baada ya kushindwa ndiyo hunaga chama? Acha hizo mwanamke, just be your self!!
 
Ooh.... Ahsante MOSSAD II ... Bora umekuja tushangae pamoja kuwa toka lini ameacha kuwa na chama? Chezeiya wanafiki wewe
 
Last edited by a moderator:

Mnafiki kama fast jet anayefurahia kupigiwa saluti na Green Guard halafu anajifanya kushangaa CHADEMA kuimarisha RED BRIGADE!!
 
Hawa wanafiki siku zao zinahesabika.... Mtu anaumwa roho na mafuta ya chopa wananchi tunayochangia kwa mapenzi yetu wenyewe afu eti leo hana chama... Duuuh hiyo siku aliyokuwa bize anachangia huu uzi alikosa shule ya kujitolea kufundisha au? Aibuuuuuuu!!!
 
gfsonwin, nadhani matokeo umeshayapata! Good nite!!

Hahahaha leo anajishaua eti hana chama .... Makubwaaaa haya, ukistaajabu ya mwigulu utayaona ya gfsonwin na ccm oyeeeeeee!!!!

So baada ya kushindwa ndiyo hunaga chama? Acha hizo mwanamke, just be your self!!

Ooh.... Ahsante MOSSAD II ... Bora umekuja tushangae pamoja kuwa toka lini ameacha kuwa na chama? Chezeiya wanafiki wewe

Mnafiki kama fast jet anayefurahia kupigiwa saluti na Green Guard halafu anajifanya kushangaa CHADEMA kuimarisha RED BRIGADE!!

Hawa wanafiki siku zao zinahesabika.... Mtu anaumwa roho na mafuta ya chopa wananchi tunayochangia kwa mapenzi yetu wenyewe afu eti leo hana chama... Duuuh hiyo siku aliyokuwa bize anachangia huu uzi alikosa shule ya kujitolea kufundisha au? Aibuuuuuuu!!!
unless kama huwaga badhi ya nyuzi za siasa hamsomi hapa jamvini.
Niliwah kutangaza hapa jamvini kwenye baadhi ya nyuzi kwamba nimejitoa kuwa mfuasi wa chama chochote cha siasa. nakumbuka ulikuwa ni uzi wa EMT na nilizisema sababu ambazo kwangu ndizo nilizoziona kwamba ni za msingi.

sio mwanachama wa chama chochote na wala sitaipigia kampeni siasa ya aina yyte ile na hata leo nikiulizwa na Mungu nikufanyie nini nitamwambia Mungu ondoa katika uso wa dunia vyama vya ccm na cdm kabisa.

imagine ni wananchi wangapi ambao wameumizwa kwa kuwepo hivi vyama?? watu wanapigwa mabomu tu, wanapigwa risasi wanauwawa sasa hakuna sababu ya kuwa na hivi vyama.

tanzania bila cdm na ccm inawezekana kabisa. wala sijaona siku siasa imejena madaraja wala kupunguza ugumu wa maisha kwa watanzania zaid ya kuwaletea fujo na kuhatarisha amani waliyo nayo.

kwangu mimi huu ndio msimamo wangu na ukweli nachukia siasa hasa vyama vya ccm na cdm havina tija kabisa kwa mtanzania period.
 
Last edited by a moderator:
Kumeza maneno kazi! Hasa ukisema maneno meengi!
Hongera mke mwenza.

Hebu nitumie msg whatsup, una nini wewe?
Aisee.... Aibuuuu..... Sikujua kumbe nawe ni walewale, walah ulivikuja arusha last time ningekuwa nishafahamu hivi nisingekupa hata mkono wangu wewe! Tumeshinda kwa kishindo, wenye wivu mjinyonge! Copy Masanilo, Mungi, Arushaone, Crashwise na makamanda wote...
 
Last edited by a moderator:
Siipendi ccm

Simpendi yeyote ambaye anaishabikia ccm

Yaani nikimkuta mwana ccm mahali ananyongwa nashangilia kutoka moyoni..... Siogopi kumbagua yeyote anaeishabikia ccm hata kama ni ndugu yangu wa damu!..... Naichukia ccm na wafuasi wake wote, siogopi kusema hivyo na kama ni dhambi kesho kwa Mungu nikahukumiwe kwa kosa hilo niko tayari!!!

Hao si wapenzi kuliko dhdhambi

Mch Masa
 
Niliwah kutangaza hapa jamvini kwenye baadhi ya nyuzi kwamba nimejitoa kuwa mfuasi wa chama chochote cha siasa. nakumbuka ulikuwa ni uzi wa EMT na nilizisema sababu ambazo kwangu ndizo nilizoziona kwamba ni za msingi.

Achana nao hao uliowa-quote. Jana habari iliyokuwa inayoongoza kwenye vyombo vya habari nchini Uingereza ilihusu wanajeshi wao wawili waliofariki juzi wakati wakifanya mazoezi.

Hapa kwetu wanajeshi saba wameuawa tena wakiwa kazini huko Darfur, lakini habari iliyoyoongoza na inayoendela kuongoza kwenye vyombo vyetu vya habari ikiwemo hata JF ni uchaguzi mdogo wa wanasiasa kwenye kata nne za Arusha.

Inasikitisha sana maana hao wafuasi wa CCM na Chadema wakipatwa na matatizo lazima watawakimbilia wanajeshi kuomba msaada na siyo hao madiwani wa kata nne.

mkuu mimi nimesema siyo CDM wala CCM wenye mapenzi mema na nchi hii.
toka juzi nimeskitika sana niliposkia hii habari and believe me kila mwenye ndugu yake mjeda tumbo lilikuwa joto. mbaya zaid mawasiliano yalikuwa mabovu sana watu walikuwa wanajililia hovyo.

huku jeshini unaambiwa habari kamili bado hazijatolewa nashindwa kuelewa hivi kweli hii ndo tz tunayoitaka??
 
unless kama huwaga badhi ya nyuzi za siasa hamsomi hapa jamvini.
Niliwah kutangaza hapa jamvini kwenye baadhi ya nyuzi kwamba nimejitoa kuwa mfuasi wa chama chochote cha siasa. nakumbuka ulikuwa ni uzi wa EMT na nilizisema sababu ambazo kwangu ndizo nilizoziona kwamba ni za msingi.

sio mwanachama wa chama chochote na wala sitaipigia kampeni siasa ya aina yyte ile na hata leo nikiulizwa na Mungu nikufanyie nini nitamwambia Mungu ondoa katika uso wa dunia vyama vya ccm na cdm kabisa.

imagine ni wananchi wangapi ambao wameumizwa kwa kuwepo hivi vyama?? watu wanapigwa mabomu tu, wanapigwa risasi wanauwawa sasa hakuna sababu ya kuwa na hivi vyama.

tanzania bila cdm na ccm inawezekana kabisa. wala sijaona siku siasa imejena madaraja wala kupunguza ugumu wa maisha kwa watanzania zaid ya kuwaletea fujo na kuhatarisha amani waliyo nayo.

kwangu mimi huu ndio msimamo wangu na ukweli nachukia siasa hasa vyama vya ccm na cdm havina tija kabisa kwa mtanzania period.

We ticha ni gamba kabisa usilete unafiki humu eti huna chama, sema we msaharifu kuna moja ya siasa memba mmoja alikuambia ww panakufaa MMU ukaja juu sana tena ukaweka msisitizo tupende tusipende 2015 rais atakuwa Lowasa. Nashangaa leo unasema ww si shabiki wa chama chochote wakati coment zako znakuchora ww ni shabiki wa magamba kama sio mwanachama!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo,

Siasa siyo uadui mwisho wa siku tunabaki kuwa Watanzania ndugu, marafiki, pamoja na jamaa.

Ngoja tusubiri kesho angalia lakini msijiaminishe sana dakika za mwisho Roben anaweza kuwainua watu kwenye viti.

Tukifikia hatua hiyo ndo Tanzania itajidai kuwa nchi ya kidemokrasia tofauti na wakati huu ambao mara nyingi chama kinachotawala huwa na uhakika wa kushinda kwa mbinu zozote.
 
We ticha ni gamba kabisa usilete unafiki humu eti huna chama, sema we msaharifu kuna moja ya siasa memba mmoja alikuambia ww panakufaa MMU ukaja juu sana tena ukaweka msisitizo tupende tusipende 2015 rais atakuwa Lowasa. Nashangaa leo unasema ww si shabiki wa chama chochote wakati coment zako znakuchora ww ni shabiki wa magamba kama sio mwanachama!!

naona leo mnatokwa na povuuuuuu kisa ticha.

nimekambia rejea kwenye post yangu nilipokiri wazi kwamba si mfuasi wa chama chochote kile na sijawah kumiliki kadi ya chama cha siasa.

sion sababu ya nyie kushabikia uchaguzi ilihali kuna wanajeshi wenzetu 8 wamekufa huko darfur na mpaka sasa haijulikani hatima ni ipi.

to me tanzania bila ccm na cdm inawezekana.

mm hata nra ana tlp nitawapa kura so long as watanibariki lkn sio ccm ama cdm
 
Tukiwapiga za uso baada ya matokeo kutangazwa (hii ni kwa uhakika), uje hapa kuomba radhi kwa kutumia huu huu uzi wako, kwani una danganya makamanda kwa kuwapa matumaini kuwa kata ni zenu huku Lema mwenyewe hali yake ni tete, kwani atakuwa amekosa posho za vikao bungeni na kata zote.

Kama bado upo, basi itakuwa na moyo mgumu sana!
 
naona leo mnatokwa na povuuuuuu kisa ticha.

nimekambia rejea kwenye post yangu nilipokiri wazi kwamba si mfuasi wa chama chochote kile na sijawah kumiliki kadi ya chama cha siasa.

sion sababu ya nyie kushabikia uchaguzi ilihali kuna wanajeshi wenzetu 8 wamekufa huko darfur na mpaka sasa haijulikani hatima ni ipi.

to me tanzania bila ccm na cdm inawezekana.

mm hata nra ana tlp nitawapa kura so long as watanibariki lkn sio ccm ama cdm

Hebu ticha tuambie ile "ccm oyeeee, CDM ziiii" yako uliyoi-post kwenye thread hii hii ilikuwa na maana gani? Au ndio definition yako ya neutrality?
 
Ngumu kumeza mama kubali yaishe na uache unafiki hapa!
 
Hebu ticha tuambie ile "ccm oyeeee, CDM ziiii" yako uliyoi-post kwenye thread hii hii ilikuwa na maana gani? Au ndio definition yako ya neutrality?

Hahahahaha..... Ccm oyeeeeee na chadema ziiiiiii kwa ticha ilimaanisha hana chama chochote.....
 
Back
Top Bottom