unless kama huwaga badhi ya nyuzi za siasa hamsomi hapa jamvini.
Niliwah kutangaza hapa jamvini kwenye baadhi ya nyuzi kwamba nimejitoa kuwa mfuasi wa chama chochote cha siasa. nakumbuka ulikuwa ni uzi wa
EMT na nilizisema sababu ambazo kwangu ndizo nilizoziona kwamba ni za msingi.
sio mwanachama wa chama chochote na wala sitaipigia kampeni siasa ya aina yyte ile na hata leo nikiulizwa na Mungu nikufanyie nini nitamwambia Mungu ondoa katika uso wa dunia vyama vya ccm na cdm kabisa.
imagine ni wananchi wangapi ambao wameumizwa kwa kuwepo hivi vyama?? watu wanapigwa mabomu tu, wanapigwa risasi wanauwawa sasa hakuna sababu ya kuwa na hivi vyama.
tanzania bila cdm na ccm inawezekana kabisa. wala sijaona siku siasa imejena madaraja wala kupunguza ugumu wa maisha kwa watanzania zaid ya kuwaletea fujo na kuhatarisha amani waliyo nayo.
kwangu mimi huu ndio msimamo wangu na ukweli nachukia siasa hasa vyama vya ccm na cdm havina tija kabisa kwa mtanzania period.