Huyu ndiye Godbless Lema Mwamba wa Kaskazini.

Huyu ndiye Godbless Lema Mwamba wa Kaskazini.

Tambo za CCM na CDM mwisho kesho:

NB: Angalau Nina uhakika by 120% kwamba kura za CDM zitapungua hazitakuwa kama za 2010.
Afadhali wewe umekiri na ndicho alichosema Molemo kuwa mnataka msishindwe kwa aibu kubwa mlivyoshindwa 2010.
 
Tukiwapiga za uso baada ya matokeo kutangazwa (hii ni kwa uhakika), uje hapa kuomba radhi kwa kutumia huu huu uzi wako, kwani una danganya makamanda kwa kuwapa matumaini kuwa kata ni zenu huku Lema mwenyewe hali yake ni tete, kwani atakuwa amekosa posho za vikao bungeni na kata zote.

Ninakuonea huruma sana.Huijui Arusha wewe
 
Tukiwapiga za uso baada ya matokeo kutangazwa (hii ni kwa uhakika), uje hapa kuomba radhi kwa kutumia huu huu uzi wako, kwani una danganya makamanda kwa kuwapa matumaini kuwa kata ni zenu huku Lema mwenyewe hali yake ni tete, kwani atakuwa amekosa posho za vikao bungeni na kata zote.

Akili ni nywele na sio kila mtu ana nywele!! Kwa Lema swala la posho za ubunge ni kipaumbele cha mwisho; alipoondoka Bungeni Dodoma kuja Arusha kuongoza mapambano hakulazimishwa na alikuwa anajua kuwa hatapata posho. Kwa Lema Ukombozi wa mwananchi ndio kipa umbele kikuu; na amekuwa akisistiza jambo hilo katika mikutano yake yote. msema kweli mpenzi wa Mungu;

Lema ni silaha ya maangamizi ya CCM
 
Afadhali wewe umekiri kuwa mtashidwa lakini si kama mlivyoshindwa 2010.

Mkuu Feedback ni kama yule Rafiki yangu mwana CCM alivyonidokeza mapema.Hilo ndilo lengo lao kuu kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi unamjua vizuri Lema au huwa unamona kwenye TV, huyo si mtu wa kuhangaikia posho za vikao.

Wewe upambe wako kwa Lema umekufanya mpaka umekuwa kipofu, Lema ana nini? Kila siku Chadema wenzako wanalalamika anatafuna pesa za M4C, wewe unayemjua tuambie ile Chopa aliopiganayo picha Uingereza imeishafika?
 
Kama maelezo hayo yamefanyiiwa utafit basi ushindi ni kwa cdm

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wewe upambe wako kwa Lema umekufanya mpaka umekuwa kipofu, Lema ana nini? Kila siku Chadema wenzako wanalalamika anatafuna pesa za M4C, wewe unayemjua tuambie ile Chopa aliopiganayo picha Uingereza imeishafika?

Rafiki yangu Ritz nipe tathmini yako kuhusu uchaguzi.
 
Last edited by a moderator:
nyie kila kitu mnakijua ngoja mushangazwe na matokeo ya uchaguzi mdogo.
nijuavyo mimi CCM ushindi ni wake 2015

Mkuu mbona umechanganyikiwa mapema hivyo? Hatuzungumzii uchaguzi wa 2015
 
Chadema kama mnakubalika Arusha yote mnafanya kampeni za nini wakati mnasema Arusha hakuna tena CCM.

CC: chama,
 
Last edited by a moderator:
Chadema kama mnakubalika Arusha yote mnafanya kampeni za nini wakati mnasema Arusha hakuna tena CCM.

CC: chama,

Mkuu Ritz mbona nyie mlitumia milioni 100 kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji Iramba?
 
Last edited by a moderator:
Rafiki yangu Ritz nipe tathmini yako kuhusu uchaguzi.

Mkuu Molemo,

Kwa tathimini yangu mnaweza kuzigawana kata mkifanya mchezo CCM watazipitia zote.

Arusha ni kambi yenu lakini kumbuka lolote linaweza kutokea hata Maradona aliepeleka Argentina nusu fainali kwa goli la mkono, ha ha ha haa, angalieni sana mawakala wenu Bavicha wanaendekeza njaa.

CC: Mungi, Crashwise,
 
Last edited by a moderator:
Chadema kama mnakubalika Arusha yote mnafanya kampeni za nini wakati mnasema Arusha hakuna tena CCM.

CC: chama,
Nilishakwambia Chadema-Arusha inajiendesha kama auto gear car, mawaziri wazima pamoja na akina Mwigulu, Nape and co. wanatolewa jasho na viongozi ngazi ya kata haulioni hilo.
 
Mkuu Molemo,

Kwa tathimini yangu mnaweza kuzigawana kata mkifanya mchezo CCM watazipitia zote.

Arusha ni kambi yenu lakini kumbuka lolote linaweza kutokea hata Maradona aliepeleka Argentina nusu fainali kwa goli la mkono, ha ha ha haa, angalieni sana mawakala wenu Bavicha wanaendekeza njaa.

CC: Mungi, Crashwise,

Mkuu Ritz unanifurahishaga sana.Niseme ndani ya moyo wangu huwa nakuheshimu sana hapa jamvini kwa sababu haujibu watu kwa matusi kama wapuuzi wengine walivyo.

Nikuhakikishie mkuu Chadema itashinda kata zote
 
Last edited by a moderator:
CCM wao hapendwi mtu, wao ni rushwa, wizi, vitisho, uchakachuaji na kila hila mbaya, hivyo mkiweza kudhibiti haya bac, ushindi ni wenu na jamaa wanakula kona
 
kinachonishangaza ni kwamba kila mCDM ni mchambuzi wa maswala ya uchaguzi, lkn hakuna hata uchambuzi mmoja uliokuwa na ile picha halisi ya mwelekeo wa chaguzi zenyewe.

nijuavyo mimi kata/vijiji/haviongozwi na wapiga kelele ama fujo.

Aisee!
 
Back
Top Bottom