Huyu ndiye Godbless Lema Mwamba wa Kaskazini.

mkuu mimi nimesema siyo CDM wala CCM wenye mapenzi mema na nchi hii.
toka juzi nimeskitika sana niliposkia hii habari and believe me kila mwenye ndugu yake mjeda tumbo lilikuwa joto. mbaya zaid mawasiliano yalikuwa mabovu sana watu walikuwa wanajililia hovyo.

huku jeshini unaambiwa habari kamili bado hazijatolewa nashindwa kuelewa hivi kweli hii ndo tz tunayoitaka??

Una ushahidi wa kuthibitisha hayo maneno yako kwenye RED? Btw: Ulipokuwa una-comment kuhusu "uhakika" wako wa ccm kushinda Arusha na 2015 habari ya wanajeshi kuuawa hukuwa unaijua? Nawaonea huruma wanafunzi wako kama mwalimu mwenyewe ndie wewe ambae huonyeshi kuwa na msimamo katika kauli zako. Be a real person and admit what every one can deduce from your very own comments!
 
naona leo mnatokwa na povuuuuuu kisa ticha.

nimekambia rejea kwenye post yangu nilipokiri wazi kwamba si mfuasi wa chama chochote kile na sijawah kumiliki kadi ya chama cha siasa.

sion sababu ya nyie kushabikia uchaguzi ilihali kuna wanajeshi wenzetu 8 wamekufa huko darfur na mpaka sasa haijulikani hatima ni ipi.

to me tanzania bila ccm na cdm inawezekana.

mm hata nra ana tlp nitawapa kura so long as watanibariki lkn sio ccm ama cdm

Hilo povu chukua ukasuuzie hiyo roho yako iache unafiki.....

ccm oyeeeeeeeeeeee..... 2015 mtake msitake lazima lowasa awe rais source: gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Una ushahidi wa kuthibitisha hayo maneno yako kwenye RED? Btw: Ulipokuwa una-comment kuhusu "uhakika" wako wa ccm kushinda Arusha na 2015 habari ya wanajeshi kuuawa hukuwa unaijua? Nawaonea huruma wanafunzi wako kama mwalimu mwenyewe ndie wewe ambae huonyeshi kuwa na msimamo katika kauli zako. Be a real person and admit what every one can deduce from your very own comments!

Hehehehe...... Mwambie huyo.....leo ndio ana uchungu na wanajeshi eeh..... Walipigwa watu mabomu arusha na hao police wa chama chake wala hakuonyesha kushtuka.... Au binadamu ni mpaka awe mwanajeshi pekee!

Narudia tena gfsonwin acha unafiki!
 
Last edited by a moderator:
Hebu ticha tuambie ile "ccm oyeeee, CDM ziiii" yako uliyoi-post kwenye thread hii hii ilikuwa na maana gani? Au ndio definition yako ya neutrality?

tatizo ni kwamba mnakurupukia post moja mnaaacha nyingine ambazo nilishajidefine siku nyingi. Kuna post kibao hapa huwaga nasema mimi sio mwanachama wa chama chochote na mpaka muda mwinginehuwa nasema mwisho wa siku hata NRA nitaipigia kura sijui hili huwa hamlioni??

mimi huwa namjibu mtu kulingana na jins alivyokuja na mimi nazidi kusema kwamba CDM na CCM ni vitu vya kwanza ambavyo sivipendi hapa tanzania. na ukweli siasa za Tanzania ninazichukia sana sana sana. nikikoment post yyte ni ama nataka kumkebeh mtu juu ya hoja yake lkn si kwamba mimi ni mfuasi wa chama cha siasa.

sijawah kuwa na kadi ya chama wala siwez kuwa nayo.

nahitimisha kwa kusema hivi, iteni mnafiki iteni nini ila uhalisia wangu najua mimi so to wewe na sweetlady iteni mnavyotaka manake ndicho kitu cha mwisho mnachokiwaza nyie
 
Last edited by a moderator:
Hilo povu chukua ukasuuzie hiyo roho yako iache unafiki.....

ccm oyeeeeeeeeeeee..... 2015 mtake msitake lazima lowasa awe rais source: gfsonwin

jinsi mlivyokuwa wajinga mmeacha kujadili uzi na siasa zenu mmechepuka kunidiscuss kapuku mie nisiye kuwa hata na moyo wa kupiga kura toka nimekuwa mtu mzima. nawaonea huruma tu kwa jins mnavyozidi kujaza seva.

Nenda kakague daftari la wapiga kura kama utakuta jina ama kadi yangu ya kupigia kura. sijawah hata kujiandikisha ili hata kupata hiyo kadi ya kura. kwangu mimi siasa ni ugonjwa.

laki haimaanish kwamba siijui ama siifuatilii siasa.
 
Hehehehe...... Mwambie huyo.....leo ndio ana uchungu na wanajeshi eeh..... Walipigwa watu mabomu arusha na hao police wa chama chake wala hakuonyesha kushtuka.... Au binadamu ni mpaka awe mwanajeshi pekee!

Narudia tena gfsonwin acha unafiki!
at least uwe una involve cognitive thinking when urguing!!

Huu uzi uliwekwa lini?? na je wanajeshi wamefariki lini?? hivi unafikiri kwa nchi kama hii yenye mikoa zaid ya 26 tutashinda kujadili siasa za Arusha tuache kujadili juu ya wenzetu 8 waliokufa juzi huko darfur?? ama tuache kujadili juu ya mabomba ya gesi yaliyotua dar kwa mbwembwe utafikiri ni kontena la almasi??

hakuna mantiki yyte kujadili uchaguzi wa arusha kutwa kucha wakati kuna vitu sensitive vya kujadili katika taifa hili. uchaguzi umepita kwa amani hilo ndilo la msingi. walioshinda wajipange kujenga taifa sasa haya ya kutulazimisha tuongelee arusha na uchaguzi tena wa kata na vijiji kwangu ni ujinga.
 
Unaweza kuchangisha hela halamu kanisani,lakini huwezi kuongeza kura ukasaidia ushindi ktk Uchaguzi LEMA wewe ni kiboko ya EL.Wacha wajanja waendelee kula Hela yake Mwisho wasiku Mhesh.Lowasa atakuwa kama Tingatinga litengenezalo barabara kisha linazuiwa kuitumia.....
 
at least uwe una involve cognitive thinking when urguing!!

Huu uzi uliwekwa lini?? na je wanajeshi wamefariki lini?? hivi unafikiri kwa nchi kama hii yenye mikoa zaid ya 26 tutashinda kujadili siasa za Arusha tuache kujadili juu ya wenzetu 8 waliokufa juzi huko darfur?? ama tuache kujadili juu ya mabomba ya gesi yaliyotua dar kwa mbwembwe utafikiri ni kontena la almasi??

hakuna mantiki yyte kujadili uchaguzi wa arusha kutwa kucha wakati kuna vitu sensitive vya kujadili katika taifa hili. uchaguzi umepita kwa amani hilo ndilo la msingi. walioshinda wajipange kujenga taifa sasa haya ya kutulazimisha tuongelee arusha na uchaguzi tena wa kata na vijiji kwangu ni ujinga.

Hakuna mahali nimekulazimisha ujadili uchaguzi wa arusha ... Kuwalazimisha wewe na nani? Acha unafiki wewe
 
jinsi mlivyokuwa wajinga mmeacha kujadili uzi na siasa zenu mmechepuka kunidiscuss kapuku mie nisiye kuwa hata na moyo wa kupiga kura toka nimekuwa mtu mzima. nawaonea huruma tu kwa jins mnavyozidi kujaza seva.

Nenda kakague daftari la wapiga kura kama utakuta jina ama kadi yangu ya kupigia kura. sijawah hata kujiandikisha ili hata kupata hiyo kadi ya kura. kwangu mimi siasa ni ugonjwa.

laki haimaanish kwamba siijui ama siifuatilii siasa.

Wewe ndie mjinga unaeuma na kupuliza na hujui umesimamia wapi.... Wanasemaga heri ya mchawi kuliko mnafiki..... Ukome kukurupukia usiyoyajua mama! Unafiki unakusumbua!
 
Hakuna mahali nimekulazimisha ujadili uchaguzi wa arusha ... Kuwalazimisha wewe na nani? Acha unafiki wewe

Wewe ndie mjinga unaeuma na kupuliza na hujui umesimamia wapi.... Wanasemaga heri ya mchawi kuliko mnafiki..... Ukome kukurupukia usiyoyajua mama! Unafiki unakusumbua!

gal gimme a break khaaa!!!!!!!!!
unatokwa na povuuuuuuuu halafu mtu mwenyewe ndo kwanzaaaaaaaaa hata habari na wewe sina

FYI basi mimi ni mnafiki na mchawi umeridhika na siwiez kuziacha hizi tabia umeridhika?? sasa tafuta tusi jingine tena uniite.
 
tatizo ni kwamba mnakurupukia post moja mnaaacha nyingine ambazo nilishajidefine siku nyingi. Kuna post kibao hapa huwaga nasema mimi sio mwanachama wa chama chochote na mpaka muda mwinginehuwa nasema mwisho wa siku hata NRA nitaipigia kura sijui hili huwa hamlioni??

mimi huwa namjibu mtu kulingana na jins alivyokuja na mimi nazidi kusema kwamba CDM na CCM ni vitu vya kwanza ambavyo sivipendi hapa tanzania. na ukweli siasa za Tanzania ninazichukia sana sana sana. nikikoment post yyte ni ama nataka kumkebeh mtu juu ya hoja yake lkn si kwamba mimi ni mfuasi wa chama cha siasa.

sijawah kuwa na kadi ya chama wala siwez kuwa nayo.

nahitimisha kwa kusema hivi, iteni mnafiki iteni nini ila uhalisia wangu najua mimi so to wewe na sweetlady iteni mnavyotaka manake ndicho kitu cha mwisho mnachokiwaza nyie

Wewe unachokiweza cha mwisho ni nini???? Jana ulinishangaa mimi kusema kuwa naichukia ccm, leo wewe tena unayala matapishi yako.... Hehehehe umechemka mama , ushindi wa chadema arusha umekuuma na utakuuma sana ..... Shilingi mia mia zetu tulizochangia kwenye mikutano ya kampeni hazijaenda bure.... Poleeee manake najua ni ngumu sana kumeza!
 
Last edited by a moderator:
gal gimme a break khaaa!!!!!!!!!
unatokwa na povuuuuuuuu halafu mtu mwenyewe ndo kwanzaaaaaaaaa hata habari na wewe sina

FYI basi mimi ni mnafiki na mchawi umeridhika na siwiez kuziacha hizi tabia umeridhika?? sasa tafuta tusi jingine tena uniite.

Ungekuwa huna habari na mimi usingeniquote hapa.... Hehehehe nimefurahi ulivokubali kwamba wewe ni mnafiki.....

Karibu arusha tusherehekee ushindi wa kishindo
 
at least uwe una involve cognitive thinking when urguing!!

Huu uzi uliwekwa lini?? na je wanajeshi wamefariki lini?? hivi unafikiri kwa nchi kama hii yenye mikoa zaid ya 26 tutashinda kujadili siasa za Arusha tuache kujadili juu ya wenzetu 8 waliokufa juzi huko darfur?? ama tuache kujadili juu ya mabomba ya gesi yaliyotua dar kwa mbwembwe utafikiri ni kontena la almasi??

hakuna mantiki yyte kujadili uchaguzi wa arusha kutwa kucha wakati kuna vitu sensitive vya kujadili katika taifa hili. uchaguzi umepita kwa amani hilo ndilo la msingi. walioshinda wajipange kujenga taifa sasa haya ya kutulazimisha tuongelee arusha na uchaguzi tena wa kata na vijiji kwangu ni ujinga.

Watanzania wangapi wanakufa kila siku? kama unataka kujadili suala la wanajeshi anzisha uzi watu wajadili lakini usiwaforce watu wajadili kile unachokitaka.
 
Wewe unachokiweza cha mwisho ni nini???? Jana ulinishangaa mimi kusema kuwa naichukia ccm, leo wewe tena unayala matapishi yako.... Hehehehe umechemka mama , ushindi wa chadema arusha umekuuma na utakuuma sana ..... Shilingi mia mia zetu tulizochangia kwenye mikutano ya kampeni hazijaenda bure.... Poleeee manake najua ni ngumu sana kumeza!

jamani si nimesha kujibu?? ama ??

nARUDIA TENA MAMII MIMI NAUWEZA UNAFIKI KAMA ULIVYOSEMA NA UCHAWI SO HUNA HAJA YA KUHANGAIKA NA MIMI KABISA!!!

sion kwann unatokwa povu kwa mtu ambaye yuko kama alivyo.
 
Ungekuwa huna habari na mimi usingeniquote hapa.... Hehehehe nimefurahi ulivokubali kwamba wewe ni mnafiki.....

Karibu arusha tusherehekee ushindi wa kishindo

niko leave and i jst want to win your attention so lets keep on.

sasa umeshamjua mnafiki will yu be bothered anymore??
 
Watanzania wangapi wanakufa kila siku? kama unataka kujadili suala la wanajeshi anzisha uzi watu wajadili lakini usiwaforce watu wajadili kile unachokitaka.
nitonye umepitia post zote kujua kwan nimesema hvi?? ama umerukia kusoma hii post moja ndo ukaja na conclusive remark??

Btw karibu kijiweni
 
Last edited by a moderator:
Nikisikiliza hotuba zake huwa namfananisha na Steven Biko

Sasa ni dhahiri kwamba Godbless Lema ni mwamba wa Kaskazini na mtu hatari zaidi kwa uhai wa CCM Arusha.

Kampeni za uchaguzi wa Kata nne jijini Arusha zimechukua sura ya kitaifa kutokana na umuhimu wake.Kwamba ushindi wa Chadema katika kata zote maana yake Meya wa CCM Gaudence Lyimo afungashe virago na akabidhi utawala wa jiji hilo kwa Chadema.

Godbless Lema ameongoza kampeni za Chadema tangu kampeni zianze na amekuwa akikusanya umati mkubwa wa watu katika mikutano yake.Kutokana na mamia ya watu wanaomfuata kila anakokwenda Lema anaonekana kama shujaa halisi wa siasa za Arusha.

Nguvu ya Lema Arusha imesababisha CCM kutoka mafichoni na kuleta karibu viongozi wote wa kitaifa hapa Arusha kukabiliana na nguvu ya mpiganaji huyu.Mawaziri kadhaa waandamizi wamekuwa wakipishana kila kata kujaribu kukabiliana na Lema bila mafanikio.

Kwa upande wake Chadema imemuamini Lema pekee akisaidiwa tu na vijana wadogo maarufu kama Makamanda wa Arusha Town.Hakuna kiongozi yeyote wa kitaifa wala Kamati kuu aliyekuja Arusha zaidi ya Freeman Mbowe aliyealikwa kufunga kampeni leo.

CCM wametumia mamilioni ya pesa kukabiliana na Lema lakini walichoambulia ni Zomeazomea kila wanakopita.Wakati mikutano ya Lema inahudhuriwa na watu karibu elfu moja kila inapoitishwa,CCM kwa upande wake wanahudhuria watu wasiozidi mia moja tena wengi wao wakiwa watoto na watu wanaohama nao kutoka kata moja hadi nyingine.

Hata hivyo CCM wamejifunza kitu kimoja kwamba Lema si mtu rahisi kama wanavyodhani bali mwanasiasa huyo kijana ni tishio kuu kwa uhai wa CCM Arusha.Pia wamefahamu kwamba Lema anapendwa hapa Arusha mfano wa mama mzazi anavyompenda mtoto wake wa kumzaa mwenyewe.

Kwa hali ilivyo hapa Arusha ushindi wa Chadema kwa kata zote nne hauna shaka yoyote.Tena utakuwa ushindi mkubwa kuwahi kutokea siku za karibuni.Rafiki yangu mmoja aliyeko kwenye kamati ya kampeni ya CCM alinieleza lengo la CCM kwa sasa si kushinda bali walau kupunguza idadi ya kura za Chadema ili CCM isishindwe kwa kura za aibu.
 
Tukiwapiga za uso baada ya matokeo kutangazwa (hii ni kwa uhakika), uje hapa kuomba radhi kwa kutumia huu huu uzi wako, kwani una danganya makamanda kwa kuwapa matumaini kuwa kata ni zenu huku Lema mwenyewe hali yake ni tete, kwani atakuwa amekosa posho za vikao bungeni na kata zote.

Well said Molemo, Godbless Lema ni mwamba wa Kaskazini na mtu hatari zaidi kwa uhai wa CCM Arusha na Tanzania yote.
 
Last edited by a moderator:
uchaguzi mdogo umeisha. nipe tathmini. nimekumiss

halafu sijui umekimbilia wapi wewe mtu.
Hivi unajua juzi kidogo nife presha?? kisa dada mdogo?? but Mungu ni mwema sana.

Kuhusu uchaguzi mdogo unakumbuka maneno yangu niliyokwambiaga siku moja ukiwa na Remmy??
yakumbuke vizuri utapata jibu la swali lako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom