Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Wewe kiboko ya mengi embu toa ushahidi ni kwa jinsi gani mengi ametaka kitalu cha bure? Procurement procedure ya vitalu vya gesi ikoje? Na mengi ameikiuka vipi?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kwanini team Muhongo wote ni wajinga-wajinga wa sampuli hii ya mleta mada?
 
Unadandia JF kwa mbele!shauri yako utaiona chungu from the first day.
 
Misadaa anayowapa Mzee mengi lazima mtetee mpaka tone la mwisho la damu maana usipofanya hivyoo utakufa kwaa njaa
 
Ikutoshe tu mtoa mada na hao vimada wako muelewe kuwa mwenyekiti(Mzee mengi)utajiri wake hautegemei gesi wala vitaru vya gesi.ikutoshe tu kuwa wakati muongo anahangaika kurudia darasa LA 7 Mara 3 shule tofauti..familia ya mengi ikiongozwa na Mzee eritila mengi ilikuwa na pesa.kwa mantiki hiyo mengi utajiri wake ulikuwepo..upo utaendelea kuwepo.bila vitaru vya gesi
 
Sasa kama ana uwezo wa kuwekeza kwenye gas siaende aka bid uzawa unakujaje hapaa hivi madini tuu yanakushinda utaweza gas kwelii sivichekeshoo
 
hivi kauli ya watabzania hawana uwezo wa kueekeza katika mafuta na gesi unaiona ni ya kizalendo? kama serikali ili kuhakikisha uchumi wa tz unabaki tz, serikali imewasaidia vipi wazawa kutumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya taifa?

Mwee haya mambo mengine mnaionea bure serikali, bajeti yake tu haijiwezi sembuse kuwezesha watanzania kuwekeza kwenye utafiti wa gesi, hizo trilioni za utafiti itazitoa wapi.
 
Dalali Mengi anasumbuka sana......hakuna mwizi na dalali mkubwa hapa nchini kama Mengi......kila siku kupigana na viongozi tu. Imefikia kipindi sasa kahamishia ugomvi katika familia, muda wowotw kuanzia sasa mke wake wa ndoa mama Regina anaenda mahakamani kuomba divorce
 
Nimekuelewa kiasi, lakini hapo kwenye kukwepa kodi kwanini serikali haimchukulii hatua au ndo udhaifu wenyewe!!!!
 
Hela ya Muhongo aliyokupa ziarani inakuwasha,unajidhalilisha sana IPP haifai kuwa na mtangazaji kilaza kama wewe mkoa wa mara.Na safari hii utatengeneza ID feki bao lakini huchomoki
 
ujinga wa Mengi nadhani unakolezwa na kule kuoa wajukuu zake
 
Hela ya Muhongo aliyokupa ziarani inakuwasha,unajidhalilisha sana IPP haifai kuwa na mtangazaji kilaza kama wewe mkoa wa mara.Na safari hii utatengeneza ID feki bao lakini huchomoki

mkuu weka video inayomuonesha Muhongo akihutubia mara na mwanza ili tumuone mleta mada mi muongo, la sivyo vibaraka wa Mengi mmeumbuka mchana kweupe
 
Nimekuelewa kiasi, lakini hapo kwenye kukwepa kodi kwanini serikali haimchukulii hatua au ndo udhaifu wenyewe!!!!
miaka mingi mkurugenzi wa TRA amekuwa akitokea kaskazini na kuwa vigumu kuchukuliwa hatua na wachaga wenzake
 
Dalali Mengi anasumbuka sana......hakuna mwizi na dalali mkubwa hapa nchini kama Mengi......kila siku kupigana na viongozi tu. Imefikia kipindi sasa kahamishia ugomvi katika familia, muda wowotw kuanzia sasa mke wake wa ndoa mama Regina anaenda mahakamani kuomba divorce
mwaka huu amekutana na kiboko yake
 
kiboko ya mengi nakushauri kakae kijiweni unywe gahawa huna uwezo wa kuongelea suala la gesi wewe.
Mengi anaweza kuongelea hilo suala kwa sababu anauza juice ila hawezi kuwekeza (by muongo) ila wewe ni sufuri-a(0) .

Unataka Mengi apewe kitalu halafu watanzania tujue siri zote? VP wewe.

Subiri Muongo afanye udalali kwa kina Harbinder wewe uje urukeruke hapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom