Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

mkuu weka video inayomuonesha Muhongo akihutubia mara na mwanza ili tumuone mleta mada mi muongo, la sivyo vibaraka wa Mengi mmeumbuka mchana kweupe

Huyu mwandishi wa ItV mkoa wa mara aliambatana naye kwenye ziara anashindwa nini kuweka badala yake anakuja na ID feki kutetea ugolo
 
kiboko ya mengi nakushauri kakae kijiweni unywe gahawa huna uwezo wa kuongelea suala la gesi wewe.
Mengi anaweza kuongelea hilo suala kwa sababu anauza juice ila hawezi kuwekeza (by muongo) ila wewe ni sufuri-a(0) .

Unataka Mengi apewe kitalu halafu watanzania tujue siri zote? VP wewe.

Subiri Muongo afanye udalali kwa kina Harbinder wewe uje urukeruke hapa.

Huyu jamaa njaa imemtawala akili,kwa mara ya kwanza ITV imekuwa inafuga mwandishi kanjanja mkoa wa mara kama anajiamini si aje na ID yake amtetee muhongo hadharani
 
Last edited by a moderator:
Nimerudi sasa najibu hoja zenu.
 
Huyu jamaa njaa imemtawala akili,kwa mara ya kwanza ITV imekuwa inafuga mwandishi kanjanja mkoa wa mara kama anajiamini si aje na ID yake amtetee muhongo hadharani
Haya nimerudi wale mnaokula pesa za mafisadi njooni niwajibu hoja zenu zote mengi ni fisadi kama nilivyosema na kiboko yake ni muhongo nani asiyejua kuwa mengi ni fisadi.
 
bora mengi ana makampuni na viwanda vinavyowasaidia wavuja jasho kupata hela ya kula kuliko hao wakina chenge,mlamba,muhongo na wengine wanaiba hela wanaendea kuhongea mademu ambao ni sawa na watoto wao wakuwazaa
 
ID Name yako tayari inakuondolea credibility ya kupost kitu chochote against Mengi. Hao unaowatuhumu kuwa ni mapandikizi ya Mengi wako JF kabla hata huyo Muhongo hajateuliwa hivyo viti Maalumu. Kwanini tusiseme wewe ndio Pandikizi la Muhongo?
Id haijalishi nenda kwenye mantiki kwani niliyosema ni uongo?
 
bora mengi ana makampuni na viwanda vinavyowasaidia wavuja jasho kupata hela ya kula kuliko hao wakina chenge,mlamba,muhongo na wengine wanaiba hela wanaendea kuhongea mademu ambao ni sawa na watoto wao wakuwazaa
Muhongo kaiba wapi kwa nani huyu mzalendo asiyetiliwa shaka acha chuki binafsi lakini mengi ni mwizi hata watumishi wake anawaibia ajabu.
 
gesi angepewa kidogo at least tungefaidika kwa vijana kupata ajira sasa wamepewa hao wachina kuanzia management nzima na kuendelea wako wao tu huu si useng*
 
gesi angepewa kidogo at least tungefaidika kwa vijana kupata ajira sasa wamepewa hao wachina kuanzia management nzima na kuendelea wako wao tu huu si useng*
Amepewa vitaru vya madini vingi sana sijui umenuifaka kiasi gani kwenye hilo.
 
Hivi uwekezaji wa mengi kwenye madini una impact gani kwenye uchumi wa nchi ,nasikia kawekeza kwenye madini kweli matajiri wa kibongo ni majangaa kwelii
 
Back
Top Bottom