Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Mtoa mada ametiririka na habari hii kwa mpangilio wa matukio. Hayo yote nakumbuka yalitokea. Hilo la kwanza lilihusu kuonyesha kombea la Dunia mwaka 1994. Wakati huo ndio TV zinaanza na TV station ya kwanza Tanganyika ilikuwa CTN.

Hawa jamaa wa CTN waliliteka soko baada ya kuonyesha live kuapishwa kwa Madiba kule bondeni. Baadaye ITV ikaanza, kukawa na tetesi kwamba CTN ndio wataonyesha kombe la dunia huku ITV nao wakinyemelea kibali cha kuonyesha.

Basi ukaibuka ugomvi na mkubwa na mzee wa ITV akasema wahindinwanataka kumuua na kwamba alikamata kikaratasi kinasema Goro (mweusi). Wananchi nao wakamuonea huruma! Nakumbuaka hilo kwa mbali na hayo mrngine pia nimeyakumbuka.
 
Hivi kabla ajafeli mtihani mara tatu na kuhamua kubadili jina alikuwa anaitwa nani?
 
Mengi amezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Utajiri wake kaukuza kilaghai i.e kwa kichoma makampuni na kulipwa bima ndefu. Mbulula wengi wanamuona mtetezi wa wanyonge. Waapi bwana

Si ni heri Mzee Mengi kafanya unavyosema kafanya lakini kawekeza hapa nchini na kuajiri watanzania wengi kitu ambacho serikali yao imeshindwa kutengeneza ajira.

Je analingana na hao wanaoiba na kuweka fedha mabenki ya nje na kunufaisha nchi hizo?

Tumieni akili kidogo mnapokuwa mna- critic. watu kama Mzee Mengi.
 
Hivi waliolamba hela za Esrow hawajajinufaisha na familia zao tu?

Alafu hivi ile ripoti ya CAG iliandaliwa na Mengi?

Hivi Mengi ndio alimwambie Muhongo asifanye due diligence?

Ni mengi ndie aliemshauri Muhongo aseme zile pesa hazikuwa mali ya umma?

Hivi ni Mengi ndie aliemshauri Muhongo aseme kuwa ile hukumu ya mahakama ilihusu pia mgawanyo wa hela za Escrow?

Hivi ni Mengi ndie aliemuandalia Muhongo ule utetezi wake wa uongo aliousoma ndani ya bunge na kuwachefua wabunge?

Hivi ni Mengi ndie aliemtia upofu waziri Muhongo asione wala kushituka ukakasi uliokuwa unaendelea katika wizara yake kuhusu account ya Escrow?

Je,ni kwanini Maswi kasimamishwa kazi?

Kama Maswi anawajibika,inakuwaje waziri wake asiwajibike?

Kama Lowassa aliwajibika kwa makosa ya walio chini(siamini sana katika hili kwani nae mwenyewe si msafi) inakuwaje Muhongo nae asiwajibike kwa makosa ya walio chini yake?

Hivi kilichokuwa kinaendelea bungeni kuhusu Escrow kiliKuwa kinarushwa na ITV au TBC1?

Inawezekana kweli Mengi nae ana matatizo yake lakini katika hili, Mengi ame-take advantage tu ya makosa ya mbaya wake na kuvitumia vyombo vyake vya habari kuujulisha umma kuhusu madudu ya Muhongo.

Je,hilo ndio kosa la Mengi?

Je,Kashifa hii inaripotiwa na IPP media tu?

Kwa hali hii, Muhongo kachafuliwa na Mengi au kajichafua mwenyewe?
 
Hana lolote huyo mzee. Ana roho mbaya kupindukia. Kama kweli ni mtu mwema kwa nini kila wakati anagombana na viongozi wa serikali? Ameshawafanyia watu wengi ukatili wa kutisha hadi wengine wamepoteza maisha. Si huyu ndiye aliyetajwa na Mtikila hata kwenye mauaji ya Chacha Wangwe? Siku ile alienda Dodoma kufanya nini? Huyu mtu ni wa kumulikwa.

Unamsema nani wewe?
 
FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA:
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali na baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali. Mmiliki huyu amekuwa akitumia kivuli cha utetezi wa wanyonge kuanzisha vurugu dhidi vya viongozi wa serikali kwa kuaminisha uma kwamba anatetea maslahi ya watanzania. Jambo ambalo hata siku moja halijawahi kuwa na ukweli hata kidogo kwani siku zote amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi kwa kigezo cha uzawa, kisha ya serikali na baadaye wananchi wa mwisho. Sote tunafahamu ufisadi aliokwisha wahi kuufanya kwa kivuli cha uzawa kupitia NBC, NICO, Commodity Import Support (CIS), TANPACK Industries Ltd na mengine mengi.
Kama ambavyo iliwahi kutamkwa huko nyuma, historia ya Mengi inamuonyesha kwamba ni mtu anayependa kuanzisha ugomvi katika mambo yanayohusu maslahi yake binafsi lakini unapopamba moto na kuona anazidiwa, hutafuta hifadhi kwa kulia lia na kutaka aonewe huruma na kutaka kuliingiza Taifa zima. Katika kufanikisha hayo, amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kuwapotosha wananchi ili waone anaonewa au eti anapigania maslahi yao. Historia inaonyesha amewahi kuanzisha ugomvi na watu wafuatao kwa sababu anazozijua yeye.
a) Alianzisha ugomvi na wamiliki wa vituo vya televisheni vya DTV na CTN mwaka 1994 kwa hofu tu ya kwamba watakuwa washindani wa kituo chake cha ITV na akafika hatua ya kuwazushia kwamba wanataka kumuua, akaufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

b) Alianzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora, Mheshimiwa Wilson Masilingi, baada ya kushindwa zabuni ya ubinafsishaji wa Hoteli ya Kilimanjaro, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima. Katika kudhihirisha jinsi alivyo mtu wa chuki na visasi, kutokana na kuikosa tu hoteli hiyo, amekuwa hakanyagi na hata hashiriki shughuli yoyote inayofanyika katika hoteli hiyo.

c) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mheshimiwa Shamim Khan, kwa kutakiwa afute maelezo katika maji ya kunywa yanayozalishwa na kampuni yake kwamba yalikuwa ya chemchem wakati hayakuwa hivyo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

d) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Mazingira, Mheshimiwa Edward Lowassa, aliyemkanya Mengi asitumie nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Mazingira kuwakomoa washindani wake wa biashara kwa kuwazushia tuhuma za kuchafua mazingira na kuvifungia viwanda vyao, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

e) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Basil Mramba, baada ya kumnasa akikwepa kodi katika uendeshaji wa biashara yake ya bahati nasibu ya BINGO, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

f) Akaanzisha ugomvi na kampuni ya Habari Corporation iliyokuwa inaongozwa na Jenerali Ulimwengu baada ya kufichua habari za jinsi alivyoifilisi benki ya NBC, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

g) Akaanzisha ugomvi na mfanyabishara Yusuf Manji ambaye kwanza walikuwa wakigombea uendeshaji wa mchezo wa bahati nasibu, na baadaye akajenga chuki naye binafsi kwa sababu tu alifanikiwa kuusuluhisha mgogoro wa Yanga ambao Mengi ulimshinda, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

h) Akaanzisha ugomvi na Mheshimiwa Adam Malima ambaye alihoji Bungeni jinsi Mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

i) Akaanzisha ugomvi na mfanyabiashara Tanil Somaiya baada ya kumuona kijana huyo aliyekuwa wakala wa kuuza bidhaa za viwanda vyake Mengi (kabla ya kuviua mwenyewe), ameweza kujiimarisha na kupata mafanikio makubwa ya kibiashara hata kumshinda yeye Mengi, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

j) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Lawrence Masha, kwa kuja na madai ya kutaka kuhujumiwa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

k) Akaanzisha ugomvi na Ndugu Rostam Azizi, baada ya kuona kwamba amekuwa mshindani wake mkubwa katika umiliki wa vyombo vya habari hapa nchini, na aka ufanya ni ugomvi wa wa nchi nzima.

l) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa Makame baada ya serikali kupitisha azimio la kubadili mfumo wa matangazo kutoka analojia kwenda digitali ambapo alikuwa akishinikiza watanzania wakatae kwa lengo la yeye mwenyewe kujinufaisha binafsi.

m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

n) Na siku za karibuni kaanzisha ugomvi mkali na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospter Muhongo baada ya kuona harakati zake za kutaka kupewa vitalu vya gesi bure kwa kigezo cha uzawa kugonga mwamba.
Watanzania tuna haja na kila sababu ya kujiuliza mara mbili mbili juu ya uhalali wa mtu huyu kuamua kutumia kigezo cha utetezi wa wanyonge (uzawa) kwa minajili ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake. Kamwe hatuwezi kukubali hili na tunatoa wito sasa ni wakati ambao serikali ina bidi ichekue hatua kali dhidi ya mmiliki huyu ambaye amekuwa akichochea vurugu na kuivuruga serikali pasipo sababu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.

Unalipwa kiasi gani kukaa chini ukatunga hii hadithi ya kumtetea huyu kuwadi wa wakoloni eti leo mnawaita investors. we ni kibaraka wa wakoloni muhongo ni kuwadi wa wakoloni kwenye soko huria. profesa chachage njoo uwazodoe hawa wakuda
 
Wewesio tu kutumiwa ila ama hufikiri hata kidogo au unadhani watanzania bado ni mbumbumbu hawawezi ona,kusoma au hata kujua, wanasubiri wewe uwajuze.

Haihitaji hata cheti cha ngumbalu kujua kuna uhujumu wa hali wa juu kwa wanyinge wa nchi hii na serikali ya CCM. Mataji wote hata huyu unayemsema si ajabu ni mwanachama wa CCM.Tofauti ni kuwa tu yeye anajipambanua na ufisida. Wala hatumhitaji yeye ili tujue.

Kama huna hoja kaa kimya lakini usidhani ibadani upuuzi wako huu waweza badili wimbi la mageuzi la wananchi kurudisha nchi yao mikononi mwao wenyewe.
 
Huo ni ukweli mtupu kuhusu Mengi. Endeleeni kutukana lakini habari ndio hiyo. Yeye mwenyewe anaujua ukweli huo, na hawezi kusimama popote kupinga.
 
Hivi waliolamba hela za Esrow hawajajinufaisha na familia zao tu?

Alafu hivi ile ripoti ya CAG iliandaliwa na Mengi?

Hivi Mengi ndio alimwambie Muhongo asifanye due diligence?

Ni mengini aliemshauri Muhongo aseme zile pesa hazikuwa mali ya umma?

Hivi ni Mengi ndie aliesema hukumu ya mahakama ilihusu pia mgawanyo wa hela za Escrow?

Hivi ni Mengi ndie aliemuandalia Muhongo ule utetezi wake wa uongo aliousoma ndani ya bunge na kuwachefua wabunge?

Hivi kilichokuwa kinaendelea bungeni kuhusu Escrow kiliKuwa kinarushwa na ITV au TBC1?

Inawezekana Mengi nae ana matatizo yake lakini katika hili Mengi ame-take advantage tu ya makosa ya mbaya wake na kuvitumia vyombo vyake vya habari kuujulisha umma kuhusu madudu ya Muhongo.

Je,hilo ndio kosa la Mengi?

Mkuu hapo ndo ushangae sasa! Hivi Mengi ndo alisema account ya escrow ifunguliwe? Hivi ni Mengi aliyeruhusu zichukuliwe hela zote zilizokuwemo kwenye escrow account?

Hivi ni Mengi aliyemtuma Rwakatale agawe fedha kwa watu wa TRA, Mahakama kuu na Makanisani?
Waswahili bwana.
 
Huo ni ukweli mtupu kuhusu Mengi. Endeleeni kutukana lakini habari ndio hiyo. Yeye mwenyewe anaujua ukweli huo, na hawezi kusimama popote kupinga.

akili za kuambiwa changanya na mumeo
 
Hapo naona kichwa cha habar kingekuwa machache ni mgomvi
 
Hivi waliolamba hela za Esrow hawajajinufaisha na familia zao tu?

Alafu hivi ile ripoti ya CAG iliandaliwa na Mengi?

Hivi Mengi ndio alimwambie Muhongo asifanye due diligence?

Ni mengini aliemshauri Muhongo aseme zile pesa hazikuwa mali ya umma?

Hivi ni Mengi ndie aliemshauri Muhongo aseme kuwa ile hukumu ya mahakama ilihusu pia mgawanyo wa hela za Escrow?

Hivi ni Mengi ndie aliemuandalia Muhongo ule utetezi wake wa uongo aliousoma ndani ya bunge na kuwachefua wabunge?

Hivi ni Mengi ndie aliemtia upofu waziri Muhongo asione wala kushituka ukakasi uliokuwa unaendelea katika wizara yake kuhusu account ya Escrow?

Je,ni Mengi ndie aliesababisha Maswi kusimamishwa kazi?

Kama Maswi anawajibika,inakuwaje waziri wake asiwajijike?

Kama Lowassa aliwajibika kwa makosa ya walio chini(siamini sana katika hili kwani nae mwenyewe si msafi) inakuwaje Muhongo nae asiwajibike kwa makosa ya walio chini yake?

Hivi kilichokuwa kinaendelea bungeni kuhusu Escrow kiliKuwa kinarushwa na ITV au TBC1?

Inawezekana Mengi nae ana matatizo yake lakini katika hili Mengi ame-take advantage tu ya makosa ya mbaya wake na kuvitumia vyombo vyake vya habari kuujulisha umma kuhusu madudu ya Muhongo.

Je,hilo ndio kosa la Mengi?

tungependa kujua una elimu gani?? na umri wako
 
I don't care about maugomvi yao, namshukuru mengi kwa kusaidia kupitia vyombo vyake vya habari kufahamu jinsi ambavyo wachache wa nchi hii wanatafuna pesa za umma as if nchi hii ni ya familia.zao pekee.

Sasa wewe kuanza kumkaanga mengi kupitia maugomvi yao wakati sisi tunaona hali halisi ni kama kutwanga maji kwenye kinu. Nadhani umekosea timing ya kuleta mada yako.

Afu waambie hatujasahu zile hela zetu aiseee, watazirudisha tu hata kama si leo basi kesho
 
Mengi ni mfanyabiashara anayesaidia jamii. Hayo mengine ni hisia ty
 
Back
Top Bottom