Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

haya sasa jaribu bahati yako kwa mwana acrobat Franky angalia avatar yangu hapo ilikuwa Burj Khalifa kitu cha dubai, njoo mrembo uruke nami kwenye skyscrapper mbalimbali duniani...dah hadi najitamani
 
Last edited by a moderator:
usije mwendea na spidi 180....
mwenyewe imebidi nishike break asee.... ameeoa!!!!!!
hahaha hebu mwacheni Thanda my brother ameoa na ana watoto we unakuja mnadi mmeo huku jf ataondoka ukujiona hivi hivi.haha Thanda ni kaka na baba mwenye utu sana na huruma sana na hutenda mambo bila kujali fadhila na huamini kuwa anapotenda jambo jema kama sio yeye hata mwanae atatendewa.big up thanda nimekumis sana humu jamvini heri ya chris maa na mwaka mpya stay blessed with the family.
 
mmmmh umekuja kunimaliza nguvu eeh!!!
haya bwana hata hivo nlikuwa bado sijaanza riadha....
 
hahaha hebu mwacheni Thanda my brother ameoa na ana watoto we unakuja mnadi mmeo huku jf ataondoka ukujiona hivi hivi.haha Thanda ni kaka na baba mwenye utu sana na huruma sana na hutenda mambo bila kujali fadhila na huamini kuwa anapotenda jambo jema kama sio yeye hata mwanae atatendewa.big up thanda nimekumis sana humu jamvini heri ya chris maa na mwaka mpya stay blessed with the family.

I miss you too Nivea, I was away for a while. I really enjoyed moving around in Africa. I was in Abbeysinia (Ethiopia) for X-mas and came back on 29th Dec 2012.

I will be enjoying fireworks at home. Thanks for remembering this "Luckiest Man On Earth With Happy Marriage"

hapana bana, we endelea tu kusearch hapa niachie Thanda nimtafute tuongee kwa marefu na mapana....
mwenyewe napataka pale!!!!!

E.S, ok just PM if you need me...and I will tell something which will be supported by our lovely friend whom I mostly trust, gfsonwin karibu sana.
 
E.S, ok just PM if you need me...and I will tell something which will be supported by our lovely friend whom I mostly trust, gfsonwin karibu sana.

Nivea kisha kuja kuvuruga plani zangu hapa, basi tena bwana......
kila laheri kwenye ndoa yako uwe the same Thanda all your life
 
nivea miss u mingi....umekwenda bahamas na hubby nn???
hahaha hebu mwacheni Thanda my brother ameoa na ana watoto we unakuja mnadi mmeo huku jf ataondoka ukujiona hivi hivi.haha Thanda ni kaka na baba mwenye utu sana na huruma sana na hutenda mambo bila kujali fadhila na huamini kuwa anapotenda jambo jema kama sio yeye hata mwanae atatendewa.big up thanda nimekumis sana humu jamvini heri ya chris maa na mwaka mpya stay blessed with the family.
 
Last edited by a moderator:
Nivea kisha kuja kuvuruga plani zangu hapa, basi tena bwana......
kila laheri kwenye ndoa yako uwe the same Thanda all your life

My DearE.S, I've got a problem with my translation device, but all in all I can write up to FOUR different languages.....anyway Nivea is my good dada, na hajaaribu kitu but she prompted to "break the ice". It is true that I am baba Thando (my wife), Hanan Zulu, Shaddai I and Nipha

Habari zenu wana jf,
Kabla mwaka haujaisha nimeona nilete ombi langu la kutafuta mume,wadada mnaweza mkanisaidia kuchagua from vigezo vyangu, na wakaka anayejiona atafit anijulishe as sun as aipatapo hii thread,

Namtaka mume asiwe mgegedaji kama mzabzab
mwenye experience kumzidi Mwanamalundi au Mentor
Ajue kuchambua vitu kama Mtambuzi au akikosekana basi hata Mzizimkavu
Awe vizuri kichwani kama The Boss. ,Asiwe msababisha Bann kama Bazazi.
Asiwe na love bite kama fabinyo wala mlinzi kama King Kong III
Avatar iwe nzuri kama Mr Rocky au kama ya Erickb52
Awe anajua mashairi kama Rutashubanyuma ili nikiboreka aniimbie
Awe na upendo kama SnowBall hata akiamua kucheat iwe responsibly , nadhani snowhite hataona tabu kuniita wifi.
Asiwe best watu8 wala aliyetangaza nia kama MKATAKIU,
Ajue nyimbo kama BAK ili nikipost thread aisindikize kwa nyimbo
Napenda mwenye misuli ila asiwe Nyani Ngabu maana nsije pigwa na Mwali au aunt yake AshaDii
Simtaki mlalamishi kama MbwigaNyuki wala asiwe mwanafunzi wa ticha gfsonwin kama Wakishua.
Asiwe ladies choice kama Prisoner 46664, competition ya lara 1 na Ciello icje nitoa ngeu.
Asitokee Arusha wing kama PakaJimmy au Arushaone angalau iwe Tanga kama Dark City
Awe mwenye busara kama father of all ila asiwe mzee sana kama babu Asprin ,

Nawasilisha wadau, am waiting for ur response,
kwa kua MUNGU hana upendeleo sidhani km hiyo ndoto itakuja kua active cuz kupata m2 1 mwenye ku mit hizo sifa zote sahau kabisa may be ungetuma proposal kwa ALAH akuumbie m2 wa mtindo huo. Mtambuz + father of all + the boss + rutashubanyuma ............ at once not ize, yaani hii haipogo
 
Back
Top Bottom