Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

Habari zenu wana jf,
Kabla mwaka haujaisha nimeona nilete ombi langu la kutafuta mume,wadada mnaweza mkanisaidia kuchagua from vigezo vyangu, na wakaka anayejiona atafit anijulishe as sun as aipatapo hii thread,


Awe vizuri kichwani kama The Boss. ,Asiwe msababisha Bann kama Bazazi.


Nawasilisha wadau, am waiting for ur response,
Suprise hujanitendea haki kabisa;
Sijawahi msababisha ban awaye yote.
Pamoja na upole wangu bado umenipiga chini.
Hujanitendea haki;
Ni lazima nilalamike.
​

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe ujue nakutafuta...hebu leo uje darasani basi...mwalimu gani unakuwa mzembe bana?.
c.c Kaizer na Asprin
wanafunzi mmekuwa wavivu sana sijui ndo habari za kusherekea mwaka mpya darasani hakuna mwanafunzi hta mmoja,na mjue kabisa bonge la mtihani lawasubiri!
 
Suprise hujanitendea haki kabisa;
Sijawahi msababisha ban awaye yote.
Pamoja na upole wangu bado umenipiga chini.
Hujanitendea haki;
Ni lazima nilalamike.
​

Bazazi!

heri ya mwaka mpya Bazazi, nilivyoona tu nilidhani mtu anajazwa upepo hapa, hahahha,ni vina tu sometime vinakata,peace n love
 
nilivyoona tu nilidhani mtu anajazwa upepo hapa,

Ma dear Suprise!
Si kila siku ni jumatatu!
Si kila king'aacho ni dhahabu!
Si kila aliyevaa suruwali ni mwanaume!
Si kila alaye nyasi ni nyama!
Si kila ............................
​

Sina tabia ya kuwajaza upepo wapendwa wangu;
Ingawa huwa sijali hisia za watu;
Ingawa pia sio "SADIST".


Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Ma dear Suprise!
Si kila siku ni jumatatu!
Si kila king'aacho ni dhahabu!
Si kila aliyevaa suruwali ni mwanaume!
Si kila alaye nyasi ni nyama!
Si kila ............................
​

Sina tabia ya kuwajaza upepo wapendwa wangu;
Ingawa huwa sijali hisia za watu;
Ingawa pia sio "SADIST".


Bazazi!

nashukuru nimefahamu hilo, sory for offence if any
 
Yaani vigezo ulivyovitaja nilidhani unanizungumzia mimi!
Halafu natoka Tanga mmmh naamini hata madam gfsonwin, lara 1 wataniombea kura.
 
Yaani vigezo ulivyovitaja nilidhani unanizungumzia mimi!
Halafu natoka Tanga mmmh naamini hata madam gfsonwin, lara 1 wataniombea kura.

nimetaja vingi, vipi unafit
 
Huu mchujo umefikia wapi manake miye mtazamaji tu Surprise
 
Last edited by a moderator:
haya baba , i respect , sun nami ntakua ocupied nimeshampata, anaitwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom