mie hata sina hiyana naHabari zenu wana jf,
Kabla mwaka haujaisha nimeona nilete ombi langu la kutafuta mume,wadada mnaweza mkanisaidia kuchagua from vigezo vyangu, na wakaka anayejiona atafit anijulishe as sun as aipatapo hii thread,
Namtaka mume asiwe mgegedaji kama mzabzab
mwenye experience kumzidi Mwanamalundi au Mentor
Ajue kuchambua vitu kama Mtambuzi au akikosekana basi hata Mzizimkavu
Awe vizuri kichwani kama The Boss. ,Asiwe msababisha Bann kama Bazazi.
Asiwe na love bite kama fabinyo wala mlinzi kama King Kong III
Avatar iwe nzuri kama Mr Rocky au kama ya Erickb52
Awe anajua mashairi kama Rutashubanyuma ili nikiboreka aniimbie
uAwe na pendo kama SnowBall hata akiamua kucheat iwe responsibly , nadhani snowhite hataona tabu kuniita wifi.
Asiwe best watu8 wala aliyetangaza nia kama MKATAKIU,
Ajue nyimbo kama BAK ili nikipost thread aisindikize kwa nyimbo
Napenda mwenye misuli ila asiwe Nyani Ngabu maana nsije pigwa na Mwali au aunt yake AshaDii
Simtaki mlalamishi kama MbwigaNyuki wala asiwe mwanafunzi wa ticha gfsonwin kama Wakishua.
Asiwe ladies choice kama Prisoner 46664, competition ya lara 1 na Ciello icje nitoa ngeu.
Asitokee Arusha wing kama PakaJimmy au Arushaone angalau iwe Tanga kama Dark City
Awe mwenye busara kama father of all ila asiwe mzee sana kama babu Asprin ,
Nawasilisha wadau, am waiting for ur response,
Babu umeona wahanga tupo wengi eeenh
We unadhani akijibu anakupenda atakuwa anampenda uhuru na umoja au ni Mkereketwa_Huyu
Te te te, acha bwana unaua!
duuh anipe hata mdogo wake aisee, nahic atakua hivyohivyo, mbona ctajuta
Habari zenu wana jf,
Kabla mwaka haujaisha nimeona nilete ombi langu la kutafuta mume,wadada mnaweza mkanisaidia kuchagua from vigezo vyangu, na wakaka anayejiona atafit anijulishe as sun as aipatapo hii thread,
Namtaka mume asiwe mgegedaji kama mzabzab
mwenye experience kumzidi Mwanamalundi au Mentor
Ajue kuchambua vitu kama Mtambuzi au akikosekana basi hata Mzizimkavu
Awe vizuri kichwani kama The Boss. ,Asiwe msababisha Bann kama Bazazi.
Asiwe na love bite kama fabinyo wala mlinzi kama King Kong III
Avatar iwe nzuri kama Mr Rocky au kama ya Erickb52
Awe anajua mashairi kama Rutashubanyuma ili nikiboreka aniimbie
Awe na upendo kama SnowBall hata akiamua kucheat iwe responsibly , nadhani snowhite hataona tabu kuniita wifi.
Asiwe best watu8 wala aliyetangaza nia kama MKATAKIU,
Ajue nyimbo kama BAK ili nikipost thread aisindikize kwa nyimbo
Napenda mwenye misuli ila asiwe Nyani Ngabu maana nsije pigwa na Mwali au aunt yake AshaDii
Simtaki mlalamishi kama MbwigaNyuki wala asiwe mwanafunzi wa ticha gfsonwin kama Wakishua.
Asiwe ladies choice kama Prisoner 46664, competition ya lara 1 na Ciello icje nitoa ngeu.
Asitokee Arusha wing kama PakaJimmy au Arushaone angalau iwe Tanga kama Dark City
Awe mwenye busara kama father of all ila asiwe mzee sana kama babu Asprin ,
Nawasilisha wadau, am waiting for ur response,
You are still making my day gfsonwin, what a woman!!
Umeonaa eee? Ngoja nikae kimya lakn natumaini ujumbe umefika..Hapa sasa unamtafuta ubaya dada wa watu...
Namshauri Zion Daughter asifanye kosa kama hilo...
Babu DC!!
kama umegundua vizuri wengi niliowaweka nimesema asiwe kama so we upo katika position nzuri Saudari