Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Habari zenu wana jf,
Kabla mwaka haujaisha nimeona nilete ombi langu la kutafuta mume,wadada mnaweza mkanisaidia kuchagua from vigezo vyangu, na wakaka anayejiona atafit anijulishe as sun as aipatapo hii thread,

Namtaka mume asiwe mgegedaji kama mzabzab
mwenye experience kumzidi Mwanamalundi au Mentor
Ajue kuchambua vitu kama Mtambuzi au akikosekana basi hata Mzizimkavu
Awe vizuri kichwani kama The Boss. ,Asiwe msababisha Bann kama Bazazi.
Asiwe na love bite kama fabinyo wala mlinzi kama King Kong III
Avatar iwe nzuri kama Mr Rocky au kama ya Erickb52
Awe anajua mashairi kama Rutashubanyuma ili nikiboreka aniimbie
Awe na upendo kama SnowBall hata akiamua kucheat iwe responsibly , nadhani snowhite hataona tabu kuniita wifi.
Asiwe best watu8 wala aliyetangaza nia kama MKATAKIU,
Ajue nyimbo kama BAK ili nikipost thread aisindikize kwa nyimbo
Napenda mwenye misuli ila asiwe Nyani Ngabu maana nsije pigwa na Mwali au aunt yake AshaDii
Simtaki mlalamishi kama MbwigaNyuki wala asiwe mwanafunzi wa ticha gfsonwin kama Wakishua.
Asiwe ladies choice kama Prisoner 46664, competition ya lara 1 na Ciello icje nitoa ngeu.
Asitokee Arusha wing kama PakaJimmy au Arushaone angalau iwe Tanga kama Dark City
Awe mwenye busara kama father of all ila asiwe mzee sana kama babu Asprin ,

Nawasilisha wadau, am waiting for ur response,
 
Kama unataka mwenye misuli napatikana bure kabisaaa. Au huioni picha yangu hapo juu?

Asante powerG, tuma maombi officially nna kazi ya kupitisha michujo
 
umesema mwanaume wa "ndoto" zako?! so just keep dreaming!!
 
Kwenye malovee nakuombea awe kama Thanda he he he!!!
usiniulize kwanini.....
 
:majani7:Yaaap, ombi lako limesikiwa, mm ndiye:mwaaah:
 
sasa wewe mwanamke anaenda kwa mwanaume for wat kama sio dushelele na kugegedwa
 
usije mwendea na spidi 180....
mwenyewe imebidi nishike break asee.... ameeoa!!!!!!

duuh hapo itabidi nisubiri wadau watakavyomshauri Lara juu ya mume wa mtu then ntamfikiria
 
Back
Top Bottom