Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

mie hata sina hiyana na
mradi ujue kupenda,kupika,kulia,kucheka,kugegedeka,kucheza nachi,kucheza lizombe,kuweka nyumba safi,kuimba,
mradi tu pacha wangu asipate shida ya aina yoyote!kama vipi songesha CV yako!
Ebana pacha enh?mi nasoma kabisa barua ya posa ikiwa poa nainywea dompo utalipa mtakapoonana!
cc SnowBall

Asante ticha kwa kunikubali, muhusika sasa
 
Siku zote najua wewe mwanaume kumbe nilikuwa nakunyanyasa kijinsia Surprise
 
Last edited by a moderator:
weee Suprise utaendelea kuota hizo ndoto,labda ufanye vais vesa hayo unayoyataka!lol

hahaha fabinyo kisa staki lovebite ndo univunje moyo, sun ntamtangaza mwandani
 
Watu weweeeee....watoto wa mjini tushasoma btn the lines.
Mamii Suprise, do urself a favour...jibu PM yangu.

..and I don't wanna brag...but I'l be THE BEST U'V EVER HAD....

thanx for giving me golden chance
 
Na mimi je mie, nina features zote ila kwenye kugegeda hapo itabidi uniwekee kale kakunasana
 
haya sasa jaribu bahati yako kwa mwana acrobat Franky angalia avatar yangu hapo ilikuwa Burj Khalifa kitu cha dubai, njoo mrembo uruke nami kwenye skyscrapper mbalimbali duniani...dah hadi najitamani

jamani avatar ndio nahakikishiwa fastjet au?????????????????????????//
 
Back
Top Bottom