Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

Huyu ndio mwanaume wa ndoto zangu

huu utani wako peleka chit chat maana kule ndo mmezoea kuandikiana ujinga kama huu. huku tupo serious tunajifunza toka experience za watu.
tafadhali mods pelekeni jukwaa husika.
 
Nimekupendaje Suprise.......???

Unajua unachokitaka na hata picha yake waweza kuichora...

Kamchukue basi kabla mwaka haujaisha....

Mie nitakuja kuwapa neno la kuwatakia kila la heri kwenye ndoa yenu,

Na mzee mwenzangu, teacher gfsonwin atatupigia sala!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hebu Suprise mtazame jamaa aitwaye GodfreyTajiri. huwezi jua labda ndiye umtafutae
 
Last edited by a moderator:
Kumbuka wewe unatafutwa, kwa hiyo inategemea hao uliowataja, je wanakuhitaji? for anything also i beg to remain neutral
 
ukideki anafua, ukiosha vyombo anapika nimemtamanije huyo wife wake!!!!
hadi nikaona kama nimepishana na gari la mshahara.......

duuh anipe hata mdogo wake aisee, nahic atakua hivyohivyo, mbona ctajuta
 
Nimekupendaje Suprise.......???

Unajua unachokitaka na hata picha yake waweza kuichora...

Kamchukue basi kabla mwaka haujaisha....

Mie nitakuja kuwapa neno la kuwatakia kila la heri kwenye ndoa yenu,

Na mzee mwenzangu, teacher gfsonwin atatupigia sala!

Babu DC!!

Bado hajajitokeza mzee wa TA,
 
Kumbuka wewe unatafutwa, kwa hiyo inategemea hao uliowataja, je wanakuhitaji? for anything also i beg to remain neutral

hahaha ctegemei tu hao niliowataja maana wengi sifa zao sijazipenda ,
 
Lol, nafikiri huyo hajazaliwa na kama ameshazaliwa bado hajajiunga JF

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom