Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
point less nasema ajibu hoja za msingi tuu na sio viroja kama vya mwenye thread au wewe na mwigulu got it?

Kama upo hapo ukidhani Dr Slaa ni mtu maalumu sana kwenye hii nchi, basi umepotoka. Humu JF wapo mpaka mawaziri na uwa wanajibu maswali na hoja mbalimbali za members. Sasa sijui kati ya mawaziri na huyo Slaa ni nani ana thamani kwenye taifa. Kwa mwenye akili timamu, bila shaka atajibu waziri.

Lakini pia, nadhani kumwambia babu Slaa asiingie humu ni kama una mdhalilisha. kwa maana gani, kwa maana kwamba, inaonyesha babu Slaa ajitambui au ni nini hasa kimemfanya aingine na ajibu hoja ambayo hapaswi kujibu?
 
point less nasema ajibu hoja za msingi tuu na sio viroja kama vya mwenye thread au wewe na mwigulu got it?

My point is, kama babu Slaa anajibu "viroja", then huyo Dr Slaa anatutia hofu Watanzania, kwa kuwa kwa kiongozi kama yeye kujibu "viroja" wewe huoni huo ni upungufu mkubwa wa weledi wa kiongozi?

Nadhani pro CHADEMA mnapaswa kumshangaa babu Slaa kwa hili, kwanini uwa anajibu "viroja"?, ana jitambua kweli?
 
Kama upo hapo ukidhani Dr Slaa ni mtu maalumu sana kwenye hii nchi, basi umepotoka. Humu JF wapo mpaka mawaziri na uwa wanajibu maswali na hoja mbalimbali za members. Sasa sijui kati ya mawaziri na huyo Slaa ni nani ana thamani kwenye taifa. Kwa mwenye akili timamu, bila shaka atajibu waziri.

Lakini pia, nadhani kumwambia babu Slaa asiingie humu ni kama una mdhalilisha. kwa maana gani, kwa maana kwamba, inaonyesha babu Slaa ajitambui au ni nini hasa kimemfanya aingine na ajibu hoja ambayo hapaswi kujibu?

Dada hamida mambo vipi? Mzima wewe? Mumeo mwigulu chemba hajambo?
 
Dada hamida mambo vipi? Mzima wewe? Mumeo mwigulu chemba hajambo?

Jiheshimu mkuu. Hivi kwanini mnafanya jinsia ya kike iwe kama mkosi, bahati mbaya au matusi?

Hivi kweli unadhani ukiniita dada ndio utanikera?!

Achani kudhalilisha jinsia ya kike. Wanawake ni mama zetu, shangazi zetu, dada zetu. Angalau tuwe na heshima kwao.
 
Aunt hamida, mbona hasira? Au hujalipwa buku 7 zako na mwigulu chemba?
 
Dada hamida mimi sio mkuu wako, mkuu wako ni nepi...alafu iweje dada hamida umetumikia magamba kwa miaka mingi , ila hujapata promotion yoyote zaidi ya buku 7.wenzako stella mwampamba na juliana shenzy wamekuja wamejiunga na magamba tayari vyeo juu....wewe unaishia kukesha na keyboard shauri ya buku 7 da pole sana.
 
Aunt hamida, mbona hasira? Au hujalipwa buku 7 zako na mwigulu chemba?

As I said...usitarajie unikere kwa kunifanya mimi kuwa wa jinsia ya kike. Because that doesn't change the fact that, HAMY-D is a man.

I can tell it a wastage of time and resources. Why can't you try something else?, something that is going to really touch me, if that what keeps you in here.
 
Last edited by a moderator:
As I said...usitarajie unikere kwa kunifanya mimi kuwa wa jinsia ya kike. Because that doesn't change the fact that, HAMY-D is a man. It a wastage of time and resources. Why can't you try something else?, something that is going to really touch me.
Dada hamida, inabidi uende English course, dah umeongea kingereza kama kile cha kikwete kwenye press conference na obama alipokuja Tanzania. Dah bora uongee kiswahili kuliko kujidhalilisha.dada hamida unatia aibu.
 
Last edited by a moderator:
Dada hamida, inabidi uende English course, dah umeongea kingereza kama kile cha kikwete kwenye press conference na obama alipokuja Tanzania. Dah bora uongee kiswahili kuliko kujidhalilisha.dada hamida unatia aibu.

Nilikuwa sijui kama najibizana na "under 18". Kumbe humu JF watoto mmekuwa wengi hivi?
 
Heshima yako Dr,

Mimi sikukosoi ila nakushauri tu kuwa siku nyingine ungemjibu mleta mada kuwa mhasibu mkuu wa chadema ni nani na aliajiriwa kwa vigezo vipi

Je nafasi ya kazi ilitangazwa?

Kama ilitangazwa, kwenye gazeti lipi?

Pia tungependa kujua kama unamfahamu huyu mtu anayeitwa Mwaluisi tafadhali.

Nadhani majibu hayo kama yangetolewa ungekuwa ndio mwisho wa hii thread ....

Chilli Sosi mzee wa kuinama na kubeba maboksi ukweli Dr. Slaa amewashika pabaya,
Hivi wewe jitu zima Lukosi unabaki kuchokonoa vitu vidogo.vidogo huko CDM vikusaidie nini wakati ulishatoka huko??
1.Kwanini ww kama ni mzalendo usimhoji waziri wako mropokaji John Mangufuri ambaye amesababisha mgomo wa wasafirishaji tz hali inayotishia ustawi wa nchi kwa sababu ya kiburi chake cha kushamba kishamba
2.Kwanini usihoji vyanzo vya utajiri wa Billionea Riz JK kama ni safi na salama??
3.Kwanini usihoji Abdalla Bulembo alivyohujumu na kunajisi tume ya mabadiriko ya katika???
4.Kwanini usihoji kwanini bajeti ya serikali na MaSISIEMU Wenzako bado ni tegemezi tangu Uhuru miaka 45 iliyopita???
5.Uwe serious na vitu vya msingi kaka acha ujinga ujinga.
 
Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?

Haya majibu kama vile yametolewa na Josephine Mashumbusi kwa sababu hii ID kwa sasa haiaminiki hapa JF.

Huwezi kuamini kwa Katibu Mkuu wa chama cha siasa ambaye ni mtendaji mkuu ashindwe kutoa jibu mbadala na kusema mhasibu mkuu wa chama chake ni nani na procedure gani zilitumika kumwajiri kama mhasibu mkuu wa chama. Finito.
 
Masalia wengi wapo chadema hata wenye tabia sugu kama za sugu ndiyo waliko hatushangai make katibu wa chadema mwenyewe histiria yake kila mtu anaifahamu imejaa makovu.
 
Haya majibu kama vile yametolewa na Josephine Mashumbusi kwa sababu hii ID kwa sasa haiaminiki hapa JF.

Huwezi kuamini kwa Katibu Mkuu wa chama cha siasa ambaye ni mtendaji mkuu ashindwe kutoa jibu mbadala na kusema mhasibu mkuu wa chama chake ni nani na procedure gani zilitumika kumwajiri kama mhasibu mkuu wa chama. Finito.
Mkuu naona kunaukweli fulani ndani ya maelezo yako lakini hata slaa naye siyo mzuri kivile anaweza akatoa haya maelezo usishangae mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom