Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Well & Good!Na sisi na hasa mimi nataka aendelee kujibu kwa sababu anatimiza wajibu wake ipasavyo.isipokuwa tu awe makini sana na majibu yake humu jamvini.

Nasema hivyo kwa sababu humu kumejaa wasomi wanaomzidi,waelewa wanaomzidi,wajanja wanaomzidi,wenye kung'amua mambo kumzidi,asijibu kama anajibu watoto watogo.

Pili,ajibu kama mtu ambae ana wafuasi nyuma yake,ni mbaya sana kama wapenzi na wafuasi wake wanajikuta wakiumizwa na majibu yake,ndio maana wenye akili zao timamu wnamsihi ajitahidi kujibu kisomi zaidi,na kwa utulivu.

Kuna watu wanamtegemea Dk Slaa kuwa rais wa nchi hii mwaka 2015(mimi si miongoni mwzo),hivyo anapotoa majibu mepesi tena ya kihuni wanaumia sana,mfano ni Mkuu Mungi leo ameumizwa sana na majibu ya Dk Slaa.Pole sana Mkuu Mungi!!

Majibu ya Dr Slaa mi sioni Kama mabaya na Labda niseme Labda mtu atakavyopenda kuyachukulia hayo majibu na Pia niseme unaweza ukatoa majibu ata Kama ni mazuri na watu wakaamua kukuponda ili wakuchokoze! Na kwa Hili Dr Slaa anafahamu!
Majibu alojibu Dr ni mazuri tena alichotaka ni kuweka wazi Kama huyo mhasibu alikua hafai na kahama almashauri nyingi kwanini asifungwe au kwanini waziri wa Tamisemi asijiuzuru? Mi sioni Kama kuna shida katika hayo majibu Kwani hii habari ni uzushi tu!
 
Exactly, sasa uwe balozi kwa pro CHADEMA wenzako ambao wamekuwa wakimkanya babu asiwe anajibu hoja humu jamvini.

NB: verified ID ya Dr Slaa uwa inatumiwa na Josephine. Tafadhari kuweni makini na majibu yake.
Nakuwa na muda wa kukujibu siku ukitumia ile ID yako verified user hii bandia namuachia@Pasco akujibu
 
Exactly, sasa uwe balozi kwa pro CHADEMA wenzako ambao wamekuwa wakimkanya babu asiwe anajibu hoja humu jamvini.

NB: verified ID ya Dr Slaa uwa inatumiwa na Josephine. Tafadhari kuweni makini na majibu yake.
Haina haja ya wewe kutuambia hive na wewe huoni ni Mara ngapi Dr Slaa anakujibu hoja zako Kwani wewe ni Muhimu sana?
 
Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?

Hahahaha Dr Slaa bana.
 
Na hapo kwenye kusoma ndio tunasoma kwa interest,sawa mkuu!!!!!

Haya majibu yako ndio yalitakiwa kutolewa na muhusika sasa!!!!!!

Ukawashauri sasa jinsi ya kuwasiliana na umma kitaalamu,thanx mkuu tuendelee kujenga nchi

Akili zako ni nzito sana kuelewa, nadhani zimejaa ukakasi. Inahitajika cerebral surgery kukusaidia nadhani kuna nati imelegea kichwani.
 
Kwa serikali hii, byeusi kwao ni nyeupe, na mahakamani hata ukienda wana watu wao, mahakamani hakuna uhuru kihivivyo kama unavyodhani dada FaizaFoxy, kumbuka hata wale majaji makini wanaoamua vyesi fair hasa against CCM wamefikia hatua ya kutajwa hadharani na mmoja wa mabosi wako kuwa hao wanaihujumu CCM. Na labda nikusaidie tu huyo bosi wako ni Nape, alitoa arodha fulani ya majaji kitu ambacho ni upuuzi kwa kiongozi wa level yake. Maana tuanajua wapo watu wana vyeo vikubwa/ ama vinavyowazidi uwezo kama yeye lakini inabidi ujitahidi kuendana na cheo chako.

Nitakupa mfano kuhusu hilo, Katibu mkuu wa ccm, bosi wako Kinana, pamoja na kuwa na kashifa nyingi za kifisadi zinazotajwa juu yake ambazo unaweza kusema labda hazijasibitishwa lakini kwa position aliyopo huwezi kusema amepwaya ama vinginevyo tofauti na huyo kijana mwenzenu ambaye amekuwa akilopoka kila kukicha na yote anayoropoka yamekuwa ya ovyo kupindukia.

Wewe unaongelea kashfa "kutajwa" si magwanda mnajulikana kwa uongo. Mbona Mbowe na Slaa wana kashfa nyingi sana za wazi wazi za ufisadi wa kupindukia tena wa kukifisadi chama chao wenyewe, zinaongelewa kila siku humuhumu JF, huzijuwi?

Wacha porojo.
 
HII NI AIBU KWA BABU, NA CHADOMO.
Hivi inakuwaje huyu mzee anakurupuka to this extent..? halafu hii akaunti si alipewa ben saanane aiendeshe sasa imekuwaje tena..?

Siku hizi amepewa na Mushumbusi aka mama junia aiendeshe
Dont trust this id anymore
 
Kumbe CHADEMA inataka kuwa CCM?! Basi mkuu samahani nilikuwa sifahamu.

kama CHADEMA mmekuwa mkilaani mfumo uliopo na nyie CHADEMA kimya kimya mnautumia mfumo uliopo (mfumo CCM), then whats the point ya kuondoa CCM na kuweka CHADEMA madarakani wakati hakuna mbadala wowote; kwa maana yale yale ya CCM ndio hayo hayo ambayo CHADEMA mnafanya na kuyahalalisha.

CCM itaendelea kuwa madarakani (hata milele) kama upinzani wenyewe ndio huu.

cc: Ritz, ZeMarcopolo..

Slaa jana amesema sera za CCM ni nzuri na inachotafuta Chadema ni kupata fursa za kuzitekeleza tu.

Slaa alipofika Marekani amekuta sera za CCM zinaheshimika, ikabidi abadilishe msimamo na kuanza kuziunga mkono. Walaghaika wake sasa kawaacha njia ya panda!!!
 
Kitu ambacho kinanipa shida kwenye majibu ya slaa hayana mantiki yanaelea sna juujuu hakuna yaliposhika,
Naadhani ninkweli kuwa hii id ya mzee slaa anaiendesha mshumbushi make nimmajibu ya kitoto sana.
 
Slaa jana amesema sera za CCM ni nzuri na inachotafuta Chadema ni kupata fursa za kuzitekeleza tu.

Slaa alipofika Marekani amekuta sera za CCM zinaheshimika, ikabidi abadilishe msimamo na kuanza kuziunga mkono. Walaghaika wake sasa kawaacha njia ya panda!!!
Slaa anafahamu kila kitu cha ccm ni kizuri ila hujifanya kiburi tu lakini ukweli anaufahamu vema.
 
Majibu ya Dr Slaa mi sioni Kama mabaya na Labda niseme Labda mtu atakavyopenda kuyachukulia hayo majibu na Pia niseme unaweza ukatoa majibu ata Kama ni mazuri na watu wakaamua kukuponda ili wakuchokoze! Na kwa Hili Dr Slaa anafahamu!
Majibu alojibu Dr ni mazuri tena alichotaka ni kuweka wazi Kama huyo mhasibu alikua hafai na kahama almashauri nyingi kwanini asifungwe au kwanini waziri wa Tamisemi asijiuzuru? Mi sioni Kama kuna shida katika hayo majibu Kwani hii habari ni uzushi tu!

Mkuu usijitie wazimu na upofu wakati wewe ni mtu mzima na akili zako timamu
Hivi Dr Slaa alipotaja list of shame pale Mwembe yanga hao aliowataja walikuwa wameshitakiwa popote? Au kuna waziri alijiuzulu?
Issue hapa si kushtakiwa au la, habari hapa ni uadilifu wa mtu period
 
Akili zako ni nzito sana kuelewa, nadhani zimejaa ukakasi. Inahitajika cerebral surgery kukusaidia nadhani kuna nati imelegea kichwani.

Kama unaweza ku diagnose a brain abnormality kwa dialogue basi tatizo la huu uzi umeshalijua!!!!!!

Ndio uzuri wa kuwasiliana na mtu timamu anayejifanya hayawani!!!!!!!

Ukawashauri sasa
 
Kama upo hapo ukidhani Dr Slaa ni mtu maalumu sana kwenye hii nchi, basi umepotoka. Humu JF wapo mpaka mawaziri na uwa wanajibu maswali na hoja mbalimbali za members. Sasa sijui kati ya mawaziri na huyo Slaa ni nani ana thamani kwenye taifa. Kwa mwenye akili timamu, bila shaka atajibu waziri.

Lakini pia, nadhani kumwambia babu Slaa asiingie humu ni kama una mdhalilisha. kwa maana gani, kwa maana kwamba, inaonyesha babu Slaa ajitambui au ni nini hasa kimemfanya aingine na ajibu hoja ambayo hapaswi kujibu?

Tutajie majina yao ya humu ili tuwaulize maswali hao mawazili wako.
Maana kama wanaingia kwa majina ya kujificha hao tutakua na mashaka nao.
Dr.Slaa anaingia kwa jina lake hajifichi, ndio maana watu wanapata fulsa ya kumuuliza maswali, sasa hao mawazili wanaogopa nini kuingia kwa majina yao watu wakauliza maswali?
 
Ben Saanane

Nilikueleza juzi ukaishia kuleta ujeuri,soma hii maneno na ukiwa sobber digest calmly!!!!

The alarm is getting louder!!!!!!

Be pre cautious or burry the dead!!!!!!

Sina muda wa kupoteza kwenye mambo ya kipuuzi
 
hivi vyama vya siasa ni miradi ya wajamaa hao,lazima atafutwe bingwa wa kukwepa auditing ili siri zisivuje,wewe mzee tulia huko ulipo waachie vijana wako wajibu,you are very senior here
Hapa ndio nafahamu
kwanini wananchi hawataki kuipa Chadema ridhaa ya kuongoza nchi.

Endapo Chadema itakuwa madarakani watakuwa na one big simple excuse kwa
kila failure na excuse yao itakuwa "CCM did this thats why we can not
accomplish that". Kwa hili jibu lako simple inaashiria hampo tayari
mzee. Bora uendelee na ziara ya marekani ukitoka pitia Europe
kabisa.
 
Mkuu Mungi,unajua na unatambuw kwamba mara nyingi post zako huwa siziungi mkono kwa sbb huwa zinabase upande mmoja.Lakini naomba leo nikwambie kwamba unastahili kuwa katibu mkuu w Chadema.FULL STOP!!!!

Hao mamluki mlio wapandikiza cdm hawajatosha unataka mumuongeze na huyu, kweli kazi ipo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom