mwagavumbi 11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,254
- 44
miaka yote wezi huwekeana kifua sijui umetumia akili gani kujibu hii hoja wakati hunafaham fika jinsi huyo bwana alivyo mbaya kwenyekufoji pesa, au kwasababu aliizinisha mkopo wa Dr wa milioni 500 kwa shughuli binafsi, ok mnalindana ata wewe pia ulifukuzwa upadri kwa kula lushwa sana. naanza kuamini Chadema ni genge la wahuni.Janjaweed, Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?