Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

Learning from you boo to stand firm in what I believe in.

Ameen Ya Rabbi. Atujaze sote khayr.

Aamin ya Rabbi; atuepushie shari za dunia na kesho akhera!!!!!!!!!!

We farkhina badala ya kuitikia dua we umejipa u busy kushangaa mitandio ya wenzio!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
1795529_686048148114759_882512011_n.jpg

Afghan kitten.. hahahaaa...! lovely.
 
Learning from you boo to stand firm in what I believe in.

Ameen Ya Rabbi. Atujaze sote khayr.

Aamin ya Rabbi; atuepushie shari za dunia na kesho akhera!!!!!!!!!!

We farkhina badala ya kuitikia dua we umejipa u busy kushangaa mitandio ya wenzio!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Aamin ya Rabbi; atuepushie shari za dunia na kesho akhera!!!!!!!!!!

We farkhina badala ya kuitikia dua we umejipa u busy kushangaa mitandio ya wenzio!!!!!!!!!!

Hahahhahahahaha hiyo mitandio nnayo ya kila dizaini wala sishangai usinchokoze babu weeeee

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hahahhahahahaha hiyo mitandio nnayo ya kila dizaini wala sishangai usinchokoze babu weeeee

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Huyu babu utamuwezaaaa?

halafu ukimkuta anga zake ni mbishi huyoo?

Itikia dua tu yaishe mama weee
 
Hahahhahahahaha hiyo mitandio nnayo ya kila dizaini wala sishangai usinchokoze babu weeeee

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Umefurahi kutajiwa mambo yako!!!!!
Haya Allah ulakupe wepesi juu ya hayo mahitajio yako
 
Back
Top Bottom