Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

MziziMkavu asingeuliza maswali yale kama hakumaanisha uislam, naamini kuwa anajua kama kweli uvaaji ule ni culture ya mwarab kwann aulize?
Hilo ni moja ya mavaz yanayoutambulisha uislam na hata mahujaji wengi tu huvaa vile waendapo macca.

Sio kila anaevaa hivo ni muislam, ata wewe vaa na hakuna atakae kuuliza. Ni mara ngapi mmiliki wa IPP na wengine wanavaa na kushiriki maulid na waislam? Jee ni muislam? Kafanya kosa? Hilo ni vali tu mkuu
attachment.php


Rais Mstaafu Mzee Mkapa naye pia muislam jamani.........................Acheni ulimbukeni huo............................
 

Attachments

  • mkapa.jpg
    mkapa.jpg
    485.2 KB · Views: 206
MziziMkavu asingeuliza maswali yale kama hakumaanisha uislam, naamini kuwa anajua kama kweli uvaaji ule ni culture ya mwarab kwann aulize?
Hilo ni moja ya mavaz yanayoutambulisha uislam na hata mahujaji wengi tu huvaa vile waendapo macca.

Mzizi umeamua kuyadharirisha mavazi na haiba yenu ya kiislam? wewe si ulisema kuwa ni maalim? ndio maana mwenzako jana kauawa huko mbagala!

Asante The Vacuum. Hii picha angeluwa amepost mtu mwingine hapa pasingetosha. ILA hii inasaidia kuelewa mentality za watu tofauti tofauti

Kama unaona hajadharirisha uislam, mwambie amvike hivyo then aende nae msikitini aone kitakachomtokea!

Mkuu kama umekojolea itikaf wenyewe watakujibu

IRAQ, PALESTINA,LEBANON kuna WAkristu.Je Saudi Arabia,Kuweit,Oman,Muungano wa falme za Kiarabu,Bahrin,Qatar ,Yemen kuna waarabu Wakristu ? naombeni kujulishwa tafadhali .

Ukitaka niache du ze nidifu
Rais Mstaafu Mzee Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu lowasa Je nao ni Waislam? acheni ulimbukeeni huo vazi alilovaa huyu paka ni vaa la Waarabu wa Mashariki ya Kati Sio vaa vazi la Kiislam.



 

Attachments

  • lowasa.jpg
    lowasa.jpg
    45.9 KB · Views: 52
  • LOWASSA.jpg
    LOWASSA.jpg
    87.8 KB · Views: 54
  • LOWASSA5.jpg
    LOWASSA5.jpg
    55.1 KB · Views: 54
  • LOWASSA6.jpg
    LOWASSA6.jpg
    62.4 KB · Views: 60
  • Mzee lowassa.jpg
    Mzee lowassa.jpg
    9.7 KB · Views: 133
i dont know who says but kwa mujibu wa waislamu hao ndio kiooo chao ndio walioleta hiyo dini na hata mtume wao ni mwarabu so culture yoyote ya kiislamu ni ya kiarabu pia
Nani amekwambia yesu ni mzungu? Maana ukristo uliletwa na wazungu lakini je yesu ni mzungu?
 
Kuvaa hivyo haina maana wewe ndio muislam safi hayo mavazi tu kama mengine, uislam kwa mwanaume unatakiwa uvae mavazi ya kuweza kuvuka kitovu(kwa kwenda juu) na kuvuka magoti(kwa kwenda chini), kwa akina mama inatakiwa wajistiri ionekane viganja vya mikono na uso tu na mwisho wa visigino, kwahiyo tusichanganye mavazi ya jangwani na uislamu

Samahani, naongea kwa upande wangu
Mimi mara ya mwisho kuvaa kanzu ilikuwa utotoni tena za kununuliwa na wazazi, lakini tokea niwe na akili yangu(balu balu) sijawahi vaa kanzu au hayo mavilemba na wala sitokuja vaa hayo mavilemba. Nitavaa nguo za kujisitiri kama vile ninavyotakiwa kufuata lakini sio hayo mavilemba

Sijamlenga mtu ni mtazamo wangu tu, na wala simpotoshi mtu, ninyi wa kuvaa vilemba endeleeni na kanzu endeleeni na wala msiache
 
kahtaan njoo pande hizi umueleeshe Karucee maana ajitoa ufahamu huku.
Muislam yeyote mtiifu lazima avae hivyo na nilazima afuge ndevu kama unavyomuona nyau hapo juu!
Si ndo nyinyi mnashauri wanawake wa kiislam wavae kininja je, hiyo siyo culture ya waarab? Na tangu lini mmeanza kupinga utamaduni wa walio waletea dini?
Hiyo kufuga madevu/midevu ni suna, nini maana ya suna ukifanya unapata thawabu, usipofanya hupati dhambi

Kama niko sawa waalim watanikosoa kama nimekosea
 
Nani amekwambia yesu ni mzungu? Maana ukristo uliletwa na wazungu lakini je yesu ni mzungu?

ohooooooooooo nadhani umedandia tren kwa mbele weye
hujaelewa tulianzia wapi
huko unakotaka tuelekeeee hakuna njia bora tuishie hapa tusije tukapotea
 
kahtaan njoo pande hizi umueleeshe Karucee maana ajitoa ufahamu huku.
Muislam yeyote mtiifu lazima avae hivyo na nilazima afuge ndevu kama unavyomuona nyau hapo juu!
Si ndo nyinyi mnashauri wanawake wa kiislam wavae kininja je, hiyo siyo culture ya waarab? Na tangu lini mmeanza kupinga utamaduni wa walio waletea dini?

Huyu lzm atakuwa mgalatia wa kiarabu!
We huoni sharubu zile!?

Waislamu tunafuga ndevu,
wagalatia sharubu kama paka mwizi!

Teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom