Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

kahtaan njoo pande hizi umueleeshe Karucee maana ajitoa ufahamu huku.
Muislam yeyote mtiifu lazima avae hivyo na nilazima afuge ndevu kama unavyomuona nyau hapo juu!
Si ndo nyinyi mnashauri wanawake wa kiislam wavae kininja je, hiyo siyo culture ya waarab? Na tangu lini mmeanza kupinga utamaduni wa walio waletea dini?
Akija usione aibu tu.

Ngoja na mimi nikuitie wenzangu watoe maoni yao.
utafiti, OLESAIDIMU
 
Last edited by a moderator:
But you are not being realistic.

Hilo si vazi la Kiislam. Ni vazi la Kiarabu. It is therefore not a symbol of religion but one of culture. A people's way of life my friend.

uarabu na uislam havitenganishiki ujue Karuceee
 
Last edited by a moderator:
Hahahhaha yaani kuna comments zimenichekesha sana jamani hayo ni mavazi tu wengi wenye utamaduni wa kiarabu ndio wanavaa hayana kiashirio chochote cha dini....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hapo pagumu sana MM wengine watasema unadhalilisha....ingawa wewe ni mjumbe
hutakiwi kuuwawa(kulaumiwa)
 
kahtaan njoo pande hizi umueleeshe Karucee maana ajitoa ufahamu huku.
Muislam yeyote mtiifu lazima avae hivyo na nilazima afuge ndevu kama unavyomuona nyau hapo juu!
Si ndo nyinyi mnashauri wanawake wa kiislam wavae kininja je, hiyo siyo culture ya waarab? Na tangu lini mmeanza kupinga utamaduni wa walio waletea dini?

Mkuu The Vacuum..Kwanza hilo siyo vazi la uislam..Pili kufuga ndevu ni sunna na siyo lazima..

Wanawake wanatakiwa kusitiri Miili yao na siyo Kuvaa Ninja..

Dini haijaletwa na Arabs..

Uislam na Arabs ni vitu viwili tofauti..

Pengine Arabs wanaweza kuufuata Uislam..Lakini Siyo Uislam kuufuata Uarabu..
 
Last edited by a moderator:
Says who?

Mfano Lebanese, wao ni Waarabu. But they are not all Muslims.

i dont know who says but kwa mujibu wa waislamu hao ndio kiooo chao ndio walioleta hiyo dini na hata mtume wao ni mwarabu so culture yoyote ya kiislamu ni ya kiarabu pia
 
Hajadhalilisha uislam hapo. Tusifanye dini ionekane complicate ivo

MziziMkavu asingeuliza maswali yale kama hakumaanisha uislam, naamini kuwa anajua kama kweli uvaaji ule ni culture ya mwarab kwann aulize?
Hilo ni moja ya mavaz yanayoutambulisha uislam na hata mahujaji wengi tu huvaa vile waendapo macca.
 
Last edited by a moderator:
i dont know who says but kwa mujibu wa waislamu hao ndio kiooo chao ndio walioleta hiyo dini na hata mtume wao ni mwarabu so culture yoyote ya kiislamu ni ya kiarabu pia

Thats a misconceived notion. Kioo cha Waislam hakipo kwenye culture yoyote.

Kioo cha Waislam ni Quran na mafundisho aliyaleta Mtume.

Unaposema waarabu ndo kioo cha Waislam inakuwa wrong kwa sababu Islam as a religion cannot be equated to a culture. It is above that.
 
MziziMkavu asingeuliza maswali yale kama hakumaanisha uislam, naamini kuwa anajua kama kweli uvaaji ule ni culture ya mwarab kwann aulize?
Hilo ni moja ya mavaz yanayoutambulisha uislam na hata mahujaji wengi tu huvaa vile waendapo macca.

Sio kila anaevaa hivo ni muislam, ata wewe vaa na hakuna atakae kuuliza. Ni mara ngapi mmiliki wa IPP na wengine wanavaa na kushiriki maulid na waislam? Jee ni muislam? Kafanya kosa? Hilo ni vali tu mkuu
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu asingeuliza maswali yale kama hakumaanisha uislam, naamini kuwa anajua kama kweli uvaaji ule ni culture ya mwarab kwann aulize?
Hilo ni moja ya mavaz yanayoutambulisha uislam na hata mahujaji wengi tu huvaa vile waendapo macca.

The thing is, you are not seeing it as it is. You are seeing things as you would like them to be.

There really is no deeper meaning.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom