Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

IRAQ, PALESTINA,LEBANON kuna WAkristu.Je Saudi Arabia,Kuweit,Oman,Muungano wa falme za Kiarabu,Bahrin,Qatar ,Yemen kuna waarabu Wakristu ? naombeni kujulishwa tafadhali .

Wapo ila asilimia ndogo sana kama oman 2.5% ni wakristo, na hao waislam wapo wa madhehebu tofauti:

1)Sunni
2)Ibadhi
3)Shia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Na waishi vizuri tu wenzao wa imani nyingine?yaani wanapata huduma za jamii sawa na wenzao Waislamu? Maana Misri hali si swari kwa Wakristo waCoptic.sinauhakika kama hizo tarakimu nimepatia.
 
Karucee , farkhina , utafiti , Nicas Mtei wote mpo sahihi, lakini jamii inayotuzunguka ndio tatizo, wameshakariri kanzu na mavazi yote ya kiarabu ni mavazi ya uislam/kiislam. wanasahau kama hayo ni mavazi ya utamaduni wa watu wa mashariki ya kati hata jews wanavaa kanzu na vilemba.

liliwahi tokea tukio kimara mwisho mtu alivaa hivyo akaenda baa akawa anakula kitimoto na washikaji zake, na yeye sio muislam anapenda tu kuvaa kanzu na bazee za kinaijeria, asikwambie mtu alianza muislam mmoja wakaitana wakawa wengi fujo kubwa sana ilitokea wakataka wamgawane mshikaji vipande vipande.

hakufanya kwa makusudi wala kwa lengo la kumdhihaki mtu, na wala msikiti haupo karibu na wanaomjua wanafahamu ndio mavazi anayoyapenda, hivyo walipaswa kuelewa. aliyekuja kuamua varangati ni polisi na mzee mmoja wa kiislam kuwaelewsha vijana hayo ni mavazi ya utamaduni wa watu wa mashariki ya kati na wala sio muislam tu anayevaa.

kwahiyo naungana na miss neddy kwa hili ijapokuwa hayo ni mavazi ya kiarabu lakini jamii isiyo elewa ndio tunayoishi nayo, mwanaume avae hivyo au mwanamke avae hijabu au kininja halafu akae bar uone moto wake.
 
Last edited by a moderator:

Hao waliotaka kumdhuru jamaa Uislamu wenyewe hawaujui. Uislamu is alot more than dressing.

Kubadili mawazo ya jamii iliyotuzunguka begins with you and me.

It might take time but watu watakuwa na mawazo tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Aaaaanh kuna watu hawataki kusikia ukweli ila wao wanataka yale yaridhishayo nafsi zao tu Karucee uko sawa so far am very much pleased with the way you handle this!!!!!!

Allah akujaze kheir mam
Learning from you boo to stand firm in what I believe in.

Ameen Ya Rabbi. Atujaze sote khayr.
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu ina maana hujamtambua huyo?

huyo si yule rais wa nchi ya vipofu? watu wa kila itu ndio..?

hujamjua tu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom