Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

Thats a misconceived notion. Kioo cha Waislam hakipo kwenye culture yoyote.

Kioo cha Waislam ni Quran na mafundisho aliyaleta Mtume.

Unaposema waarabu ndo kioo cha Waislam inakuwa wrong kwa sababu Islam as a religion cannot be equated to a culture. It is above that.

karecee be calm hio kwa mujibu wa niyasikiayo huko mitaaani so usinipige madongo
but culture yoyote ya kiarabu inaendana na mafundisho ya quran na waarabu mara nying huwa wanazingatia sana mafundisho hayo huko uarabuni ndo mana waislamu mara nying hawajitenganishi nao
 
Last edited by a moderator:
da farkhina hio
ni kwa mujibu wa tetesi tetesi

Mama ushasema ni tetesi so hazina ukweli wowote....

Huyo nyau kivazi alichovaa sana wanavaa watu wa UAE (united arab emmirates) tena kwa wote waislamu na wa wakristo...na thobe (kazu kwa kiswahili) pia wanavaa wote tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
kahtaan njoo pande hizi umueleeshe Karucee maana ajitoa ufahamu huku.
Muislam yeyote mtiifu lazima avae hivyo na nilazima afuge ndevu kama unavyomuona nyau hapo juu!
Si ndo nyinyi mnashauri wanawake wa kiislam wavae kininja je, hiyo siyo culture ya waarab? Na tangu lini mmeanza kupinga utamaduni wa walio waletea dini?
Hayo mavazi sio ya kislamu. Ni mavazi ya Kiarabu. Ukienda katika nchi za kiarabu utawakuta watu wengi wameyavaa mavazi hayo na sio kwamba wote wanaovaa hivyo ni waislamu. Msikariri
 
Last edited by a moderator:
Mama ushasema ni tetesi so hazina ukweli wowote....

Huyo nyau kivazi alichovaa sana wanavaa watu wa UAE (united arab emmirates) tena kwa wote waislamu na wa wakristo...na thobe (kazu kwa kiswahili) pia wanavaa wote tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

ohooooooo sawa nimekupata sawia itabidi niache kuamini hivi vitetesi
 
karecee be calm hio kwa mujibu wa niyasikiayo huko mitaaani so usinipige madongo
but culture yoyote ya kiarabu inaendana na mafundisho ya quran na waarabu mara nying huwa wanazingatia sana mafundisho hayo huko uarabuni ndo mana waislamu mara nying hawajitenganishi nao
No, siwezi kukurushia madongo. This is an open debate wala mtu yeyote asihisi ana shambuliwa.

Of course ndo watu wengi wanavyojuaga. Kwamba one defines the other kwa hiyo haupo alone kwenye mawazo hayo.
 
Last edited by a moderator:
No, siwezi kukurushia madongo. This is an open debate wala mtu yeyote asihisi ana shambuliwa.

Of course ndo watu wengi wanavyojuaga. Kwamba one defines the other kwa hiyo haupo alone kwenye mawazo hayo.

ohooooooo hata mimi nilikuwaga naaamini kuwa kila anaevaa kiarabu ni muislam na dhana yangu ilifikaga mbali kudhani uarabuni uislam ni 99% but kwa mujibu wa maelezo yenu itabidi nibadilishe mtazamo
 
Hiyo dishdasha (kanzu) na Hiyo kaaffiyeh (kilemba) na agal (kamba ya kuzungusha kichwani) inawazuzua kuona eti sawa na mavazi ya waumini wa kiislam.....poor u

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Jamani climate ya nchi nyingi far east ni joto kali during the day so mavazi hayo yanaendana na hali ya hewa ya huko. Mbona hata Yesu Kristo alivaa kanzu maisha yake yote. Na alipokuwa akitembea/akisali alikuwa akijifunika kichwani. Tofauti tu yeye hakuwa anaweka hiyo band kichwani. Hata wakistro kule salaam yao ni Asalaam Aleykhum.
 
ohooooooo hata mimi nilikuwaga naaamini kuwa kila anaevaa kiarabu ni muislam na dhana yangu ilifikaga mbali kudhani uarabuni uislam ni 99% but kwa mujibu wa maelezo yenu itabidi nibadilishe mtazamo

Kwanza hata nchi yenye Waislam wengi duniani sio ya Kiarabu.
 
IRAQ, PALESTINA,LEBANON kuna WAkristu.Je Saudi Arabia,Kuweit,Oman,Muungano wa falme za Kiarabu,Bahrin,Qatar ,Yemen kuna waarabu Wakristu ? naombeni kujulishwa tafadhali .
 
Huyo ni mwafrika tena kutoka kule kijiji cha mwenda pole, hayo mavazi aliyatinga kwenda kuhiji hadi leo hajarudi

Usipotoshe, huyu anatoka kijiji cha mwandiga, waulizeni wanaotoka huko.
 
Jamani climate ya nchi nyingi far east ni joto kali during the day so mavazi hayo yanaendana na hali ya hewa ya huko. Mbona hata Yesu Kristo alivaa kanzu maisha yake yote. Na alipokuwa akitembea/akisali alikuwa akijifunika kichwani. Tofauti tu yeye hakuwa anaweka hiyo band kichwani. Hata wakistro kule salaam yao ni Asalaam Aleykhum.

Na wanawake wa enzi hizo wote walikua wavivaa nguo ndefu na kujifunika kichwa hakuna hata mmoja alokua akivaa kimini.....nao pia walikua wakiristo waislamu? Wajiulize

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom