CMT
Senior Member
- Apr 29, 2016
- 172
- 87
Mtaweza? na mlivyoumbwa hurumaHivi hatuwez anzisha campaign ya #KataaFreePu-)-)…"-!9℉mbu?"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaweza? na mlivyoumbwa hurumaHivi hatuwez anzisha campaign ya #KataaFreePu-)-)…"-!9℉mbu?"
Kwa uwezo wa Mungu tutafanikiwa tu japo ngumu kichizi kumnyima chiu mtu unaemfeel
Hahahahah hatare sanaKwa uwezo wa Mungu tutafanikiwa tu japo ngumu kichizi kumnyima chiu mtu unaemfeel
Majibu haya yanaonyesha wewe una matatizo. Mwezi mmoja ni kidogo na kama amekula kwako ni milo 60 tu. Huyu ni dume la kuoa muombe sometimes hela ya gesi au mboga kiujanja atatoa. Yupo serious na ndoa huyo1) mwezi 1
2)kuna sehem tulienda nilikua ninashida ilitakiwa nilipe elf 10 akatoa yeye...baada ya hapo tukaenda lunch akalipa yeye....siku ya pili niliharibikiwa kitu akakinunua kwa elf 10 akakuleta basi.
3)hua anaongea tu kufikia mwaka kesho tuwe pamoja
4)yes hua ananiambia like nipo kazin,,nimetoka,,nipo napika
Ndo kupotezana nyie akinadada. Mwache afunge ndoaMmmh...mkuu acha kumpoteza dada wa watu...
Yaani mwanaume ule bure, wiki mwezi hujistukii?
Ni tabia moja chafu sana mwanaume akiwa nayo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vumilia banda lijaeJamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.
Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.
Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana
Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.
Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Hujawahi kupenda mwanamke wewe..Majibu haya yanaonyesha wewe una matatizo. Mwezi mmoja ni kidogo na kama amekula kwako ni milo 60 tu. Huyu ni dume la kuoa muombe sometimes hela ya gesi au mboga kiujanja atatoa. Yupo serious na ndoa huyo
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.
Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.
Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana
Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.
Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Kwakweli hata mimi nilitaka kumwambia hivyo Huyu anayemshauri mwenzie hivyo. Kwanza hana uhakika wa kumuoa hiyo kutambulishana yawezekana hata asiende kwani si ni gea tu saa ingine wanaume wanatumia. Yaani aanze kuvumilia kwenye mahusiano eti kwenye ndoa atajirekebisha. Huyu hajaona wanaume walio kwenye ndoa Lakin kila kitu anafanya mwanamke yeye hata hajali, shituka mwaya dada yangu acha kumhudumia anza kutafta plan B hata kama hutomwambia ila Anza kujiengua mana inaonekana ww ndio unapenda zaidi bora uumie saa hv ila usonge mbele unaweza jifanya wife material kwa kuvumilia kumbe mwenzio yupo na mwingine wanaplan zao siku ya siku akishajipanga anasepa unaachwa hapo Hakuna utakalokuwa umefanyammmmh acha kumdanganya huyu mrembo kuliko aingie kwenye ndoa huyu bora asiolewe me siwezi