Nimesoma Majibu yako!
Ushauri wangu:
Kwanza kabisa huo muda ni mdogo sana kuweza kuamua na kufanya wanavyokushauri wengine.
Hata hivyo ni muda unaotisha kupiga hatua moja mbele angalau kwa miezi miwili.. Kuna changamoto kubwa sana kwenye kupata MKE au MUME wa kweli na halisi ktk maisha ya sasa.Kwahiyo inawezekana yeye anakutega kama nyie mnavyotutega nenda rudi mpaka miezi sita hujatoa papuchi.
Mambo ya kufanya ni pamoja na:
1.Usimwambie kabisa kuhusu chakula.
Mwambie jambo lolote kubwa na la kifamilia mf. Baba/mama/dada au yeyeto wa karibu yak kwamba anaumwa na unahitaji angalau 50elf ili utume huko.
2.Jaribu kumpa idea zako za mipango ya maendeleo mf. Nyumba au mtaa unapenda mjenge nyumba ynu, biashara gani mnaweza fanya, shamba n.k
Kwa sababu kwa umri wenu hivyo ndivyo vitu mnavyotakiwa ku-focus kwa hiyo kama yuko serious utaona reaction yake.
NB:Haya yote usiyafanye kwa wkt mmoja jipe na umpe nafasi ya kuendelea kusomana..
4.Uendelee kumpa papuchi kwani hakuna utakachopoteza ukizingatia keshakutomba tayari. Tena ******* hasa kwani kwa umri huo itakua ushatombwa sana na hutokua na cha kupoteza.. I mean kwamba ukizila kwa maneno unayoambiwa ww ndo utakua umepoteza. Sasa bora upoteze wkt umeshatimiza wajibu wako vya kutosha.
5.Acha kuzungumzia sana mambo ya hanging out na fashion na vitu vya aina hiyo labda aanzishe yy na usimsapot sana. Ww jikite kwenye mipango ya maendeleo.
6.Mfatilie kwa karibu kuona kama ana mahusiano mengine makubwa zaidi yako... Kama anayo ya kawaida usijinyonolote sana isipokuwa ww inyesha umuhimu wako zaidi. Yy atachuja mwenyewe.
Mwisho: Kua mke na kua mume ni kamari kama zilivyo kamari zingine.. Usiogope kupoteza.. Ukiona hayo yote hupati support ujue hapo ni chenga.Jipange na uanze upya.
Sent using
Jamii Forums mobile app