Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Jamaa atakuwa na msimamo sana hasa wa kutopoteza hela kwa wanawake lakin baadae akija kuridhika na upendo wako kwake ndo ataanza kugharamikia tena sana,,,mim nilikaa na bint miez minne anakuja geto nakula tunda then anasepa ,nilipolizika nae ndo nikaanza kugharamikia shopping za 500000 mpe mda pia ungeza upendo,,,hakuna mkate mgum mbele ya chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa msosi tu, ndio uache mwanaume kwa sababu hiyo tu au una sababu nyingine??? Chakula chenyewe unakula afu baadae unapeleka chooni, Dada kuwa siriasi. kuna wenzako wanatafuta hata hao wa kuwalisha hawawapati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh...mkuu acha kumpoteza dada wa watu...

Yaani mwanaume ule bure, wiki mwezi hujistukii?

Ni tabia moja chafu sana mwanaume akiwa nayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahhah mbn uelewek unataka uachane nae or unataka umwambie ukwel juu ya tabia zake?

sent from aifoni seveni plasi
 
sawa mkuu na naomba isinitokee ila mwanaume kama wa mleta mada mmmh mmh siwezi
Mimi mbona wanawake huwa wananipelekesha sana basi tu nikija humu najifanya ngangari ukinikuta nmebananishwa utasema yule kaka ndio huyu.



Huwa nasema i was born to do this
 
ha hahahaha mi akitaka hata kunikopa naweza lipuka .. eti unalea ha hahaha bora akachukue watoto yatima alee atapata baraka
On a serious note....mwanaume bila kujitoa kwangu I mean kunicare, vizawadi, pesa za matumizi huwa simpendi!

Na nikigundua una tabia hizo za uchoyo na ubahili nakuchana live na nakumwaga! Na siku nikikuona na demu mwingine nakutangaza mpaka dunia uione chungu...

Hakuna papuchi ya bure hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mbona wanawake huwa wananipelekesha sana basi tu nikija humu najifanya ngangari ukinikuta nmebananishwa utasema yule kaka ndio huyu.



Huwa nasema i was born to do this
ahahaaa kweli mkuu hata chupi unafua nakuaminia
 
kujiendekeza eti asione na shida au omba omba mfyuuu ndugu unakuja kula njoo na samaki kilo kumi na nyama na kuku.. chupa ya wine khee mpaka akitaka kuja kwangu lazima awe ana cash kwa sababu hiyo akiwa njiani akifika kuna mengine hufuata niongezee umeme ha hahahaha miss mie huruma sina
Wee ndo unajua kuwatumia...

Na mwanaume rijali inabidi ufanye hayo yote kwa mwanamke!

Yaani mi tu kuombwa hela na mwanaume sijui namwonaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri huo sikushauri kuachana naye... Jikaze tu uipate ndoa, at least kama hujatongozwa na wanaume angalau watatu zaidi ya three months, sikushauri kabisa kumuacha... Ukiingia ndani ya ndoa atakoma maana itabidi ayabebe hayo majukumu. Vumilia tu bado siku kidogo umalize la saba!
acha upumbavu,wengine wana issue serious wanahitaji msaada serious.
 
Back
Top Bottom