Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Huyu mwanaume simwelewi kabisa

On a serious note....mwanaume bila kujitoa kwangu I mean kunicare, vizawadi, pesa za matumizi huwa simpendi!

Na nikigundua una tabia hizo za uchoyo na ubahili nakuchana live na nakumwaga! Na siku nikikuona na demu mwingine nakutangaza mpaka dunia uione chungu...

Hakuna papuchi ya bure hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
yani anatoa papuchi na bado anaunguza vidole vyote bure ote mae
 
Mimi mbona wanawake huwa wananipelekesha sana basi tu nikija humu najifanya ngangari ukinikuta nmebananishwa utasema yule kaka ndio huyu.



Huwa nasema i was born to do this
yani wewe ni mwanume tena unayejitambua .. HONGERA MKUU
 
Usipoteze bahati kwa vitu vidogo kama ivyo.Mpe mda na pia inabidi uwe muwazi kwake kwamba inabidi kufanyike cost sharing.Kama Marioo utajua ukimwambia ukweli na atajiengua mwenyewe.Lakini swala la kumpiga chini wakati hujamfungukia utakuwa umepoteza wewe.Kama unampenda mwambie ukweli hupendi iyo tabia yake ya kula na kutochangia chochote.Kwani kwako Msikitini
Bahati gani huo ni mzigo tena wa mavi nakushauri tena bure usipuuze dalili zozote za mapema hiyo ndo tabia yake mroho yeyote ni mchoyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani anatoa papuchi na bado anaunguza vidole vyote bure ote mae
Haa Haa...

1) papuchi bure

2) Msosi bure

3) lunch lunch hakosi

4) na hela anampa

5) anasave hela ya guest or hotel ( coz papuchi anampea kitandani kwake)

6) Anawapikia hadi marafiki zake!

Huku kutumika si kwa nchi hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom